Premierleague
Senior Member
- Jun 6, 2025
- 166
- 254
Baada ya Twitter X kutopatikana nikaona nitafute jukwaa la kutuliza akili
Nimegundua JF Inafaa kuliko Insta
Nipokeeni wapwa
Nimegundua JF Inafaa kuliko Insta
Nipokeeni wapwa
Yah panafaa sana mwanzo nilikuwa sioni picha kumbe Kuna jukwaa maalumu la pichaKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Nimeona hivyo maana X napo hali ilishaanza kuwa mbaya tulibaki kukomenti kwa umakini sanaKaribu sana JF! 👏
Umefanya uchaguzi mzuri—hapa kuna utulivu, hoja za maana, na watu wanaochangia kwa akili.
👉 JF si kelele kama Insta ni mahali pa kupumzika na kufikiri.
Tuko pamoja, mpwa!
Asante ila mi nimeona imeandikwa Jamiiforum Africa basi nitabaki na hiyo jfNi JF siyo JA! Karibu
X sikuwa parody mpwa huku nimeona ni pazuri maana hakuna picha ni hatujuaniHuyu akibanwa vizuri atataja ID yake ya mwanzo.
Inategemeana yuko jukwaa gani ila binafsi nimeona ni nzuri hata bando halikimbii sana Leo napita na nyuzi mbalimbali nimeona Moja inaitwa "kimasihara"Mshauri na huyu Marry Diana anasema jf mbaya
Hilo jina la mpwa linanitafakarisha kuna mtu wa michezo analitumiaga sana kwenye tv na redioX sikuwa parody mpwa huku nimeona ni pazuri maana hakuna picha ni hatujuani
KaribuBaada ya Twitter X kutopatikana nikaona nitafute jukwaa la kutuliza akili
Nimegundua JA Inafaa kuliko Insta
Nipokeeni wapwa
Hahaha Tigana lukinja teacher au sio!?Hilo jina la mpwa linanitafakarisha kuna mtu wa michezo analitumiaga sana kwenye tv na redio