Sio wajinga bwana, bali kupenda.Ndugu yangu majinga bado ni mengi sana dunia ya leo.hao wa hivyo sio wanaume wa ukweli sababu mwanaume wa ukweli katu hawezi kua mnyonge au mtumwa wa mapenzi.Mwanaume wa ukweli wanaishi na kauli hii"Kama unampenda mtu na akakuacha mwache aende kwasababu haikupaswa kua nae,chukua mwingine maisha yako yaendelee".
usituingilie mie na mkwe wangu
Wewe sio mlajikama umepikia kwenye simu saw
ndio maaana
Ishia hapo hapo usianze
Ila uko vizuri weyeee
Hahahaaa! Nisianze usianzeIshia hapo hapo usianze
Bora umemshtukiaMuone alivyo mzinzi[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Duuuh!! Eti usituingilie, huu muingiliano mubashara.
Hahahaaa! Nisianze usianze
Mzinzi huyu katu siwezi kumkabidhi binti yangu.
Tatizo sio Hilo tatizo jamaa hata mzigo ajala WTFAisee kuna wanawake katili jamani. Angemtumia tu sms kaka wa watu kumwambia mimi na wewe basi nimepata mwingine.
Atakuja jutia sana kwa usaliti aliomtendea kaka wa watu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Lazima aangue kilio, alikuwa mpenzi mtazamaji..