Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Inaelekea hisia za kumpata bukra zinaendelea kumtafuna
 
Hahahaaa! Numbisa alijichanganya haikutakiwa kuja kwako.

Anhaaa, dah, kijacho chembamba kilianza kunitoka hapa!

o-SALTY-SWEAT-570.jpg
 
Pole yako jamaa angu ila usijar malipo nihapahapa mungu atakupa muke mwema cha kufanya vuta subira
 
Wish ningetunga!!
Nimeghairi, njoo unitongoze face to face at lunch.
Nije wapi. Ni PM direction nakuja kwenye dinner...
Afu natamani sana unibusu kwenye shavu na hizo lips zako maana yake sitanawa uso kwa siku2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom