Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Naomba usinifanyie hivyo kabisaaa.

We subiri tu

Achana na hayo mawazo aisee, usinifanye nikawa kama wa kwenye hii thread

Na ndiko na wewe unakoelekea ujue

Ukilia kwa sauti mbele ya watu aibu, sa si unaona anavyozungumziwa humu!

Halafu huyo alipoambiwa tu alianza kulia.

Huenda ikawa hata huyo alitokea huko mwisho wa siku kalia kwa sauti

Endlea kuzunguka mbuyu tu mwisho wako mbaya
 
Protect from what acha wivu mkwe mwanao kashanteka long kwa kifup tumetekana
Teh teh teeeh!! Protecting her from wazinifu like you.
Kumteka mwanangu unahitaji bonus, kitu ambacho huna!!
 
Mkwe kuna siri nyengne za familia ila dota kashaniambia so nakaa kimya tu hapa
Dota wangu kutoa siri za familia hawezi, hata umuwekee mtutu kichwani.
Nahisi kuna mtu utakuwa unamchanganya nae. Hebu weka mafail yako vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom