Tena atatuita majina yoote mabaya anayoyafikiria kama kuna mmoja niliona anatuita 'wadudu'.
May they rest in peace. Amen.
Hakuna kunuta hapo. Aendelee kupigwa mambo kama kawaAisee kuna wanawake katili jamani. Angemtumia tu sms kaka wa watu kumwambia mimi na wewe basi nimepata mwingine.
Atakuja jutia sana kwa usaliti aliomtendea kaka wa watu.
Kuachwa haijawa mwisho wa dunia, kuna maisha yanaendelea, kutoupa ubongo nafasi ya kufikiri kwa mapana ndipo watu wanapojinyonga, ni ulimbukeni wa hali ya juu, niliacha wazazi wangu nikajitegemea, niliachana na kila niliyemzoea tokea msingi mpaka chuo, sembuse MTU tu tumekutana ukubwani unaniambia nakuacha unalia, wanaume wengine hawajiamini aisee.
Hakuna kunuta hapo. Aendelee kupigwa mambo kama kawa
Pole kamanda. ...tatizo lako nimenigusa saana. Ukachukua hatua gani?Mwenzenu yalinikuta mwaka 2016,nkalea mimba miez9 anazaliwa mtoto naletewa card y clinic kumbe mtoto so wangu binti ana card za clinic 3za watu tofauti tofaut
Ehee nipe ubuyu,valintina anamchuna nani humu??!![emoji102] @shilawaduuuuHilo la kumchuna naona una utani na Valentina[emoji85] [emoji85] [emoji85]
For sure, wakati mwingine ni zaidi ya kupenda.
Yaani na Kaboom angekuwa hivi nahisi ningekuwa na watoto 8 now, ila doooh!! Pasua kichwa yule mwanaume!!Haha, that food was so good asee!
Jamani huyu kaka kanitia huruma, most men wangekuwa hivi dunia ingekuwa paradise ndogo.
Inatia sana faraja kujua kuna men wa hivi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Boss tutakesha ujue ila kaa ukijua haupo peke yako kuna shujaa wengi wasiojua kulilia mwanamke kama huyu jamaaView attachment 471521