Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Lazima aangue kilio, alikuwa mpenzi mtazamaji..
upload_2017-2-17_17-11-33.png
 
Na wewe nae ni mbea.

Hata ingekuwa amefiwa, humjuwi mwanzo wala mwisho, inakuhusu nini?
 
Kwa umbeya...nimekushindwa[emoji23]
Huwezi amini...kuna wakaka wapo bado wana ubinadamu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ulivyonifundisha ningefanyaje sasa!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
Alafu sasa bahati mbaya ndio wanavurugwa mwisho wake wawe magume gume kama akina Asprin
 
Hivi kwani sikukukojolea ndani?? Nlikwambia tusitumie kondom ukakataa... ona sasa unavolalamika.
Mfyuuuu!!
Ujikute tu hata na hizo nguvu.
Naongelea mkojo sio hayo mawazo yako potofu.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ulivyonifundisha ningefanyaje sasa!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
Alafu sasa bahati mbaya ndio wanavurugwa mwisho wake wawe magume gume kama akina Asprin
Kumbe unafahamiana na Ms.Lincoln ?? Siku zote nlikuwa natafuta mawasiliano naye nayakosa.

Fanya wema basi uniunganishe naye... nami ntakufanyia mpango wa kutoa hiyo mimba ya Kaizer kwa gharama zangu

Hakika uswahiba wetu utadumu kama wa Makonderr na Masogangeww.
 
Na wewe nae ni mbea.

Hata ingekuwa amefiwa, humjuwi mwanzo wala mwisho, inakuhusu nini?
Mi nimeshangaa... haka kambea kamejuaje kisa chote hiki wakati aliyelia hamjui na anatuambia aliondoka na mzembe mwenzie...

Nimemshauri akajaribu kwa Shigongo kuna nafasi za kazi za watunzi wa Riwaya, lakini hajataka kunielewa.
 
Back
Top Bottom