Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Jana jioni nilikuwa mahali having dinner with a friend, sasa kuna vijana kama wa4 walikuwa meza ya jirani wanakula na kunywa, baada ya muda jamaa mmoja kati ya wale wa4 akaanza kulia hadi ikabidi mwenzao mmoja aondoke nae akampakia kwenye gari haoo wakaondoka.

Sasa ndio tukawa interested kujua ni kitu gani kilikuwa kinaendelea mpaka mtoto wa kiume atoe chozi namna ile, ikabidi tujongee tupate kuuliza maana tulihisi ni msiba.

Ndio tukapewa story;
Jamaa alikuwa na mchumba wake ambae wamedumu kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja na miezi4 na walitaraji mwezi wa6 mwaka huu wafunge ndoa. Na katika mahusiano yao walikubaliana hakuna kugegedana hadi watakapofunga ndoa.

Awali walikubaliana kuanza mipango ya kutambulishana mwezi wa11, na kijana alimpeleka binti kwao, ikawa imebaki kijana kwenda kwa akina binti na walikubaliana waende mwezi wa12, ila baadae binti akahairisha na kumueleza kijana kuwa isingekuwa muda mzuri kwani kwao kuna matatizo ya kifamilia.

Kumbe binti kule alikokua alianzisha mahusiano na kijana mwingine na mapenzi yalikuwa motomoto kabisa na walikuwa wakila tunda kama kawaida, baadae binti akanasa ujauzito na ndio kisa cha kumwambia kijana asubiri kwanza kwenda kujitambulisha.

Baada ya kunasa ujauzito wakakubaliana wahalalishe mahusiano yao kwa kutambulishana na waanze michakato ya kufunga ndoa na mwanaume alompa ujauzito. Mipango ilianza vyema kabisa na wakapanga kufunga ndoa mwezi wa4 mwaka huu.

Binti alishindwa namna ya kumueleza kijana ikabidi aanze visa tu, kwanza akamwambia kijana ameamua kurudi kuishi nyumbani kwao kwa muda maana mambo hayaendi vizuri hivyo hawakuonana tangu disemba, akimuuliza kuhusu mipango ya kutambulishwa ukweni anamjibu asubiri.

Sasa kati ya hao friends wake aliokuwa nao jana alipata habari bibie anaolewa na mipango iko hatua za mwisho kabisa. Jana ndio katika maongezi ndio anamwambia rafiki yake kuwa "yaani wewe na J kwa jinsi mlivyokuwa mnapendana nilijua mngeoana kabisa, kwani nini kilitokea mkaachana?" Jamaa akamjibu, "J bado tunapendana na hatujaachana na mwaka huu lazima tufunge ndoa Mungu akijaalia".

Rafiki mtu akahisi jamaa anatania.
To cut the story short, jamaa akaelezwa kila kitu na ili kuthibitisha akampigia rafiki wa J simu na akamthibitishia kuwa J anaolewa, ndio jamaa kupatwa na mshtuko na kuanza kulia.
Hadithi yako nzuri..Hivi vitu vipo katika jamii.. inaonesha kuwa Demu hakuwa na mapenzi ya kweli kwa jamaa..May be hakupendezwa nae.
 
Barack De Prince nahc ana homon za kike maana unapnd Sana kuwatetea wanawake.. Tunaolia tupo
 
Kwa kweli acha niseme tu...

MOYO sukuma Damu na sio vingine...

TUMBO hifadhi chakula na si vingine....

Uume sukuma mkojo na si vingine....

MACHO ONA tu na si vingine..

FIGO chuja Majisafi/taka na si vingine....
Duuuh!!
 
hahaaa,,eti hakuna kugegedana hadi nda,,,,,,,,
namwambia kabisa siwezi,,hivi anategemea niishi kwa nyeto au???nikikaa sana mwezi mmoja apo nievumilia balaa.....
kama akisema kugegeda hadi ndo namwambia kabisa nitakua nawafanya wengine tukivalishana pete ndo niache,,so apime yeye,teeeeeeeeeh,,,,,
 
Duuuh!! Msifanye hivyo jamani, inawezekana kabisa.
 
Yeah ndio ukweli huo...Maana yangu ni kuwa sometimes inabidi kutulia kwenye mapenzi au kuachana naho kabisa na kufanya ishu nyingine za kimaendeleo..Embu fikiria jamaa kama hivyo anatoa machozi kisa tu mtoto wa kike..it means hakuna usalama hapo...Penzi lao ni unsecured. Tena jamaa wa watu maskini unaweza kukuta anajikaza huko anafight kwa ajili ya 'Sinyorita' wake Lakini upande wa pili "Wanamega kisela" na ndoa washatangaza... Inauma sana kiukweli.!
 
Kila kitu hotokea kwasababu!! Twapaswa kushukuru kwa kila jambo, japo ni ngumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom