Haha, that food was so good asee!
Jamani huyu kaka kanitia huruma, most men wangekuwa hivi dunia ingekuwa paradise ndogo.
Inatia sana faraja kujua kuna men wa hivi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]espy, hivi mlianzaje kujongea wakati mlipokuwa mnapata mlo wa jioni ili kupata details za kilichokuwa kinatokea. I mean, how? Samahani, huwa napenda kuchukua vipengele vya 'hadisi' kuuliza maswali[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji16] [emoji16] njoo unichape, na ubaridi huu..njoo usichelewe!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eli takuchapa!!
BAK itakuwa anawaza namna ya kukusaidia kuandamana muende ikulu kumbembeleza trump amuachie nchi kilintoni.
Tuma bwana acha maneno!!
We haya tu!!
Kabisa! ndo maana mimi siwezi kusema fulani dem wangu kabla sijasuuza rungu, hata kama kanikubali 10yrs ago!Lazima aangue kilio, alikuwa mpenzi mtazamaji..
Hio muhimu mkuu, hawa viumbe hawaeleweki kabisa.Kabisa! ndo maana mimi siwezi kusema fulani dem wangu kabla sijasuuza rungu, hata kama kanikubali 10yrs ago!
kingine wanachokosea mkuu, ni kutokusuuza rungu eti hadi ndoa mhhh! mimi siwez aisee. Tongoza dem, akikubali hatua ya pili iwe ni kupima oil, hapo ukiachwa hautoumia sana! halafu tupunguze kupenda, true love wamejaaliwa njiwa tu! hata simba nyegere wanacheatWapo tu hadi humu wamejaa.... kuna watu wanapenda mpaka kujisahau na kuiachia akili.
Pole kwa huyo jamaa
Mapenzi yanakuwepo, tena mapenzi ya dhati.
Haha...umemaliza mkuukingine wanachokosea mkuu, ni kutokusuuza rungu eti hadi ndoa mhhh! mimi siwez aisee. Tongoza dem, akikubali hatua ya pili iwe ni kupima oil, hapo ukiachwa hautoumia sana! halafu tupunguze kupenda, true love wamejaaliwa njiwa tu! hata simba nyegere wanacheat
true, kwanza unaposuuza mapema unaepuka hata mizinga isiyo na maana!Hio muhimu mkuu, hawa viumbe hawaeleweki kabisa.