Kumbe Uturuki hamna Christmas!..

We lofa kweli sasa uturuki wakipiga chini ckukuu ya kipagani unasema udini?

Hizi dini zetu zote ni mapokeo tu, tarehe 24/12 Kwani ndo siku alizaliwa Mohamed au 25/12 Yesu alizaliwa kweli?. Sasa nani mpagani kama dini zetu hizi si za kipagani.
Jambo moja tu ni kumwamini Mungu na huyo ndo atakaye kufunulia namna ya kumcha Mungu. Otherwise haya madhehebu yenu yote ni makusanyiko tu.
 
Ningekushauri kwanza uijue krismas ni nini,asili yake ni wapi na ina uhusiano gani na kuzaliwa kwa Yesu.Ukishayajua hayo hautokaa ushangae.
 
Kwani Wakristo na Waislam sio jamaa moja?
 
Last edited by a moderator:
Hapa kwetu Tanzania wakristo wa dhehebu la Wasabato hawa sherehekei Xmas sembuse Uturuki ambayo asilimia kubwa ya raia wake Waislamu,
 
Mkuu, waislam Uturuki ni zaidi ya 95%
 
kijanamtanashati 22:02 Yesterday
By Ciprofloxacin.:
Ni wapi kasema kuwa anajitangaza? mbona Watanzania mna akili nusu? kahoji hajajitangaza, uwe unasoma na kuelewa topic.


bora unisaidie mkuu, jamaa haeleweki!! naona ananzia kulia kwenda kushoto!!!

Wewe Mtoa mada umechemka sana tu,bora hata ungekaa kimya ili kuficha Upumbavu wako.
 
Uingereza ndo kabisaa habari ya X -Mass hawataki kuisikia

Uingereza ipi hiyo unayosema wewe. According to 2015 research on religion, belief, gender, ethnicity equlity and diversity ya 2015 wanasema 40 ya waingereza hawaamini dini yeyote na wengi wao ni umri kati ya 16-35, na wengi wao ni Uingereza, Scotland na Ireland bado Ukrito unanguvu. Wengi waaumini ni wazee, kwa sasa niko Uingereza, jana nilikwenda kanisani tulikua familia 6, bahati nzuri familia zote watoto wao walikuja kwa Christmas kutoka nchi mbalimbali kwahiyo tulikuwa takriban kama watu 60.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…