Kumbe Uturuki hamna Christmas!..


We lofa kweli sasa uturuki wakipiga chini ckukuu ya kipagani unasema udini?
 

Uharo wako peleka machame kwa meku wenzako.. waislamu uturuki ni zaidi ya asilimia 90


https://en.m.wikipedia.org/wiki/Religion_in_Turkey
 
Unasikitika nini wakati huo Ni utamaduni wao????
 
Isa bin maryan na yesu au jesu ni watu tofauti tena sana Isa bin maryan alahsalam ni mtume wa Allah yesu ni mungu wa wakristo na Jesu ni mtoto wa kizungu kwahiyo ndio tofauti
 
Uturuki ni taifa la kiislamu,chepuka ujerumani ukale sikukuu yako

Kanisa kama colintho na wagalatia na maeneo mangine ambapo ukristo ule pure ulipoanzia ni Uturuki na Syria. Karibu robo tatu ya matendo ya mitume ilikuwa ni Turkey ndo kanisa kubwa ambapo Paul alihudhira ibada mara kadhaa lipo Istanbul.Paul mtume amekaa sana Turkey na na hapo na ndipo neno Wakristo lilipoanza kutumika. Inakuwa ngumu kidogo kuamini kwamba Uturuki ni nchi ya kiislam sema things change with time lakin Injili itasimama
 
paul kama sikosei alizaliwa tartus,syria,pale warusi walipo na base yao kwasasa
 
Kuna nchi kadhaa sherehe hizo hazifanyiki kila nchi ina tamaduni zake.

Unashangaa ya Turkey nenda Russia ambako ni Orthodox church na hawana Xmas 25/12 bali huwa ni tarehe 07/01
 
Wanaosherehekea Christmas ni sikukuu ya mapagani,na siyo siku ya kuzaliwa kwa yesu
 

Pumba ni huu uandishi wako wakuandika "rahana badala ya laana,"balaka" badala ya baraka,uandishi huu tuliuzoea kwa mabekitatu wageni wa mji.
 
Mtoa mada ni boya, Urusi mbona hakuna Xmass, China wala Korea. Unataka Umagharibi uwe kila mahali?
 
Kwani siwanamwamini issa bin mariam, sasa kwanini wasisherekee kuzaliwa kwake, hebu wakumbushe quran

wapi kwenye bible au Quran kifungu hata kimoja kinachoonyesha Yesu/Issa bin Mariam alizaliwa tarehe 25. Dec
 

Uingereza ndo kabisaa habari ya X -Mass hawataki kuisikia
 
Upo Sehemu gani Uturuki wewe Mkuu kijanamtanashati? Njoo Tusherehekee Sikukuu ya Krismasi Aleluya ,Bwana Awe Nasi.


Turki hapo Mkuu





 
Last edited by a moderator:
Upo Sehemu gani Uturuki wewe Mkuu kijanamtanashati? Njoo Tusherehekee Sikukuu ya Krismasi Aleluya ,Bwana Awe Nasi.


Turki hapo Mkuu





mkuu mzizi mkavu hizi christmas trees nahisi wanatumia kama mapambo tu!! hata hotel niliyofikia wameweka christmas trees nachojariibu kusema kwamba christmas haitambuliki maana leo ilikuwa ni siku ya kazi kama kawaida. wanafunzi walienda shule na vyuoni na shughuli za kimaendeleo zilikuwa kam kawaida!! ila nimewakubali zaid maana jana ilikuwa maulid day lakini ilikuwa ni siku ya kazi. nimefikia izmir mkuu. barikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…