Kumbe Uturuki hamna Christmas!..

Ni utaratibu tu wa nchi husika. Ndio maana unaambiwa ukienda kwa watu ishi kama ulivyokuta wanaishi usianze kutaka kuingiza utaratibu wako. Sio kila mtu ana amini unacho amini wewe

Na hapo ndo inshangaza kuwaona waislamu wanataka siku zao za idd zitambuliwe kule marekani na hat ujerumani wakati hizo nchi sio za kiislam
 
Tatizo hakuna andiko linalosema leo ni siku ya kuzaliwa kristo ndo mana wameshindwa kuiadhimisha kama taifa
 

Ni wapi kasema kuwa anajitangaza? mbona Watanzania mna akili nusu? kahoji hajajitangaza, uwe unasoma na kuelewa topic.
 
Uturuki ni taifa la kiislamu,chepuka ujerumani ukale sikukuu yako

Lakini waturuki hao hao wakiwa Ujerumani (waturuki ni asilimia kubwa haswa ya wahamiaji Ujerumani) wanataka mila na tamaduni zao za kiislam zihesimiwe.. Na pia kuhubiri misikitini Ujerumani juu ya ?uozo na kufru? za tamaduni za kimagharibi.mtu unabaki unashangaa tu. Ukiangalia pia Somalia na Tajikistan na brunei pia wamepiga marufuku sherehe hizi. Kama wao hawataki kuruhusu dini/tamaduni za wengine basi nao wasilalame dini/tamaduni zao zikipigwa vita huko wanakohamia
 
Tatizo hakuna andiko linalosema leo ni siku ya kuzaliwa kristo ndo mana wameshindwa kuiadhimisha kama taifa

Hata maandiko ya kuhusu sherehe za Eid hayamo kwenye vitabu vya dini za Kikristo kibuddha wala taosm lakini kote ambako kuna dini hizi kwa wingi waislam (ambao wengi ni wahamiaji) wanataka zitambuliwe kisheria.. Double standards?
 
Basi wamekusikia hawatakubaliwa mila na desturi pamoja na dini kuzipeleka kwenye nchi walizohamia ( maana umeongea kama wewe ni raia wa hizo nchi zinazoombwa kuutambua uislamu na mila zake )
 
Basi wamekusikia hawatakubaliwa mila na desturi pamoja na dini kuzipeleka kwenye nchi walizohamia ( maana umeongea kama wewe ni raia wa hizo nchi zinazoombwa kuutambua uislamu na mila zake )

Kwa response yako hii i take it nawe ni mturuki manake umewasemea nawe
 

Hao ndo waliua ukristo hapo wakati wa ottman empire.
 
Mi naona Waturuki wapo sahihi kutotambua x.mass maana hata kwenye maandiko haipo. Hakuna sehemu inaeleza kuwa Yesu alizaliwa 25 DEC? Kama ushahidi wa vitabu vitakatifu upo bayana basi tuonyeshe hapa. Vinginevo we waturuki wap? sahihi kuliko wewe maana umejitungia kitu kisich?kuwapo.
 

Kwa taarifa yako hata Uingereza siku za Eid hakuna mapumziko kitaifa. Ukiangalia idadi ya waislamu Uingereza ni kubwa kwa mbali sana kulinganisha na idadi ya wakristo waliopo Uturuki.
 
Waziri wa Elimu ni Dk.Ndalichako wa Afya ni Dr.Ummy Mwalimu.wa habari ni Mh.Nape...samahani sijui kama ni Dk au Prof.itoshe mimi kumuita Mh.
 

Mkuu hii asilimia 70 umeipata wapi? Mimi nikichukua sample ya darasa langu la Engineering nililosoma, kati ya wanafunzi 32, wote tulikuwa waislamu. Wenzangu wengi tu waliokuwa wanasoma vyuo mbalimbali sijawasikia wakisema kuna darasa linafikisha hata wanafunzi watatu wasiokuwa waislamu. Mitaani tulikuwa tunaishi wakristo pia hawakuwa wanajulikana. Sasa hii asilimia 30 ya wasiokuwa waislamu inatoka wapi?
 

Mkuu achana nae huyo mropokaji anaendeshwa na Chuki tu ndio maana ana tema Pumba bila kujijua.
 
Ni wapi kasema kuwa anajitangaza? mbona Watanzania mna akili nusu? kahoji hajajitangaza, uwe unasoma na kuelewa topic.

Wewe kiazi acha kubwabwaja kama umekunywa Maji machafu!! Some comment uelewe kwanza,halafu acha kukariri kuwa kila mtu ni mtz,Comment nimetuma mimi kwanini uwajumuishe wa tz wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…