Yanaitwa Majiji Ila Mwaka Unapita Ujenzi wa Magorofa Mapya Hayafiki 10. Mbeya & Tanga Mjitafakari, Mnazidiwa Hadi na Morogoro

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,785
Kiufupi Majiji ya Mbeya na Tanga Yako nyuma sana linapokuja Suala la Ujenzi wa Majengo ya Magorofa be it ya biashara au Serikali ukilinganisha na Mwanza,Arusha,Dom na baba lao Dar.

Yaani hata Manispaa ya Morogoro inazidi.
Inakuaje Mwaka mzima kuanzia January Hadi disemba ndani ya Jiji wanajenga mogorofa chini ya 10?

Kwa upande wa Viwanda Wanafanya vizuri ila Kwa Magorofa hapana tena afadhari hata Tanga sio Mbeya.Hadhi na heshima ya Jiji ni Uwepo wa Magorofa.

View: https://www.instagram.com/reel/C13-nxENBY5/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Kigezo hakitoshi ,ulitegemea hayo magorofa wajenge wananchi? Na ujinga wenu hiyo miji mnayoona magorofa yote ni jitahada za serikali. Arusha ni majengo makubwa kama post la juzi hapa ...Mahoteli yote ni biashara za utalii watu mbambali wanajenga kuwa na akili.

Tanga hapana gorofa limejengwa tangu mwaka 90. Serikali sasa inajenga Dodoma.

Bora mkoa kama wa Tanga ungekuwa sehemu ya Zanzibar ungekuwa na projects za mejengo kuliko huku bara.

Mbeya serikali imewatupa pia.
 
Kigezo hakitoshi ,ulitegemea hayo magorofa wajenge wananchi? Na ujinga wenu hiyo miji mnayoona magorofa yote ni jitahada za serikali..Arusha ni majengo makubwa kama post la juzi hapa ...Mahoteli yote ni biashara za utalii watu mbambali wanajenga kuwa na akili.


Tanga hapana gorofa limejengwa tangu mwaka 90 .... Serikali sasa inajenga Dodoma..

Bora mkoa kama wa Tanga ungekuwa sehemu ya Zanzibar ungekuwa na projects za mejengo kuliko huku bara ...

Mbeya serikali imewatupa pia.
Nakubaliana na wewe,Kwa sehemu kubwa jitihada ya Serikali imechangia lakini Mkuu Kwa Sasa ukitoa Dom huko kwingine ni private sector inachangamkia fursa.

Kwa hiyo badala ya kulaumu sana tujitahidi private sector ikue.

Hata takwimu za abiria wa ndege yaani ni chini ya abiria 10,000 Kwa mwaka
Screenshot_20231229-183317.png


Mwisho Kwa Morogoro, Serikali inajenga kipi? Mbona wao wanaporomosha magorofa ya kutosha na marefu?
 
Kiufupi Majiji ya Mbeya na Tanga Yako nyuma sana linapokuja Suala la Ujenzi wa Majengo ya Magorofa be it ya biashara au Serikali ukilinganisha na Mwanza,Arusha,Dom na baba lao Dar.

Yaani hata Manispaa ya Morogoro inazidi.
Inakuaje Mwaka mzima kuanzia January Hadi disemba ndani ya Jiji wanajenga mogorofa chini ya 10?

Kwa upande wa Viwanda Wanafanya vizuri ila Kwa Magorofa hapana tena afadhari hata Tanga sio Mbeya.Hadhi na heshima ya Jiji ni Uwepo wa Magorofa.
Kwa hiyo jiji bila maghorofa ni kijiji?
 
Kwani gholofa inatakiwa ziwe floor ngapi ndio zihesabike? Takwimu ya gholofa chini ya 10 umeitoa wapi? Na unataka yawe wapi ili yaonekane?
Iwe kuanzia Moja and above.Hoja hapa ni idadi ya Magorofa yanayojengwa Kwa mwaka.

Kwenye vibrant City utaona Mji uko busy na Ujenzi kama ilivyo Kwa Dar,Arusha,Dom na Mwanza.
 
Hakuna mahala nimesema sio Majiji ila shida yangu kubwa ni kwamba hadhi ya Jiji inaendana na majengo ya Gorofa.Sasa Kwa Mbeya ni Moja Moja yaani mwaka Unapita hata hakuna magorofa mapya 6 tuu Hayafiki ,Jiji gani Hilo?
Sawa nilikuwa namjibu huyo aliyesema anashangaa Mbeya kuwa jiji

Kwa vigezo vya kibongo Mbeya inastahili kuitwa jiji
 
Back
Top Bottom