Wewe umeona huko tu, mbona wapo waliomaliza UDSM/MZUMBE na kichwani wakawa watupu kuliko hata wa IFM/CBE/MUCCOBS?ila huyu jamaa sitaki kumpinga moja Kwa moja kwa sababu kuna shule kibao hua zinapata matokeo mazuri sana kwenye mitihani ya Taifa hasahasa za private ingawa si zote lakini kiuhalisia ukiwapima hao wanafunzi mmoja moja utagundua madudu vichwani mwao halafu unaambiwa alipata Div 1