Kumbe shule ya Feza Boys hamna kitu

Kumbe shule ya Feza Boys hamna kitu

Eti Ndo wapambane na tabora boys kwa vibunda au ilboru au kisimili Hahahaa basi bwana kisa pesa tu hawana lolote hao
Dah ! Umenkumbusha mbali enzi hzo za tabora boys hao vibunda ni shida sana wanabundi hadi wanakera wanasema ukishindana na kibunda kusoma unajitafutia kupanic na kula mbwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah ! Umenkumbusha mbali enzi hzo za tabora boys hao vibunda ni shida sana wanabundi hadi wanakera wanasema ukishindana na kibunda kusoma unajitafutia kupanic na kula mbwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nchi yako yenyewe imekataa nchi inayoitwa Tanganyika sasa wanafunzi waijue ili iweje?
Halafu hilo la kuonyeshwa mitihani unajaribu kujipa ahueni ya moyo ila sio kweli.
Wewe ndo unajipa ahueni, nakuhakikishia wakidhibiti kwa 100% shule zote zilizokuwa zinashika nafasi ya kwanza mpaka ya 20 ndiyo utaona miujiza.

Nasubiri kwa hamu kubwa matokeo ya kidato cha nne ya shule moja iliyokuwa maarufu na bora ambayo mwaka jana ilisimamiwa na sungu sungu, mgambo shina, polisi jamii, polisi, TISS na FFU. Safari hii wakiwa kwenye tano bora nitajua wanafanyiwa wivu na husda.
 
Kweli hawa wanafunzi huwa wanaibiwa yaani wanapewa majibu wakati wa mitihani leo nilikuwa naangalia kipindi cha sikonga kinachorushwa na EATV, katika maswali waliyooulizwa hakuna mwanafunzi aliyeweza kujibu, yaani mwanafunzi hajui hata uhuru wa Tanganyika ulipatikana mwaka gani, mwingine kaulizwa ziwa tanganyika linapitia mikoa mitatu itaje haijui, sasa ubora wa shule ya feza uko wapi.
Kuna mmoja alipewa methali, mtaka cha mvunguni shart ainema, je aliye juu? Jamaa sijui, eti! Sijui, nilichoka, hakuna swali hata moja walilojibu.
 
ila huyu jamaa sitaki kumpinga moja Kwa moja kwa sababu kuna shule kibao hua zinapata matokeo mazuri sana kwenye mitihani ya Taifa hasahasa za private ingawa si zote lakini kiuhalisia ukiwapima hao wanafunzi mmoja moja utagundua madudu vichwani mwao halafu unaambiwa alipata Div 1
Hiyo IPO kweli mkuu
 
Kweli hawa wanafunzi huwa wanaibiwa yaani wanapewa majibu wakati wa mitihani leo nilikuwa naangalia kipindi cha sikonga kinachorushwa na EATV, katika maswali waliyooulizwa hakuna mwanafunzi aliyeweza kujibu, yaani mwanafunzi hajui hata uhuru wa Tanganyika ulipatikana mwaka gani, mwingine kaulizwa ziwa tanganyika linapitia mikoa mitatu itaje haijui, sasa ubora wa shule ya feza uko wapi.
Hivi wewe ubongo wako umekalia sehemu gani ya kichwa yaani watoto waliozaliwa 1998-2004 wajue kupatikana kwa uhuru wa nchi ambayo haipo. Tena hao wanafunzi walijisahau tu wangemuuliza muuliza swali hiyo nchi hapa kwenye ramani iko wapi?

Hata hiyo mikoa wangeijuaje wakati uchaguzi ukikaribia inaongezwa kama salio la simu hasa kama ndiko anakotoka waziri mkuu. Utasikia Manyara, mara Katavi mara Njombe n.k
 
watu wanaakili zao bhana feza wanafanya vizur sio nyumbani tuu hata kimataifa hasa kwenye mashindano ya dunia je huko nako wanapewa mitihani? Na huko ndio mambo magumu, kinachoangaliwa pale ni uwezo wa mtu nasio pesa. Mfano mm wakati naanza pale tulifanya interview na interprimary zaidi ya wanafunzi 200 na wakachukuliwa wanafunzi 70 tuu.
 
Nenda na hela zako tuone kama watakuchua, tutajie nani kaenda pale kwa fedha tu na sio uwezo wa mitihani wanayopewa?
Unawajua wanafunzi wa Feza wako wapi baada ya form 4 na 6?
Hawajui, waambje aisee. Maana hawajui wanaongea nini. ..
 
Kwanza hujui hata alikoanzia, yule binti alikuwa Kifungilo Girls then akaenda feza girls baada ya usumbufu wake huko kwa masister ambao hawataki ujinga na kujifanya wewe mtoto wa nani, yeye mwenyewe ndio alikuwa hataki shule ile kabisa na lengo lake lilikuwa ni kwenda UK na sio kusoma necta system kabisa. Na kwa matokeo yake yale mabovu yalimpeleka alikokuwa anaota.
Usije ukadanganya watu kuwa kupata four kidato cha nne inamaanisha uliingia shule kwa kuhonga.
Tujiulize wale wa Ilboru, Mzumbe, Kibaha na Tabora nao wakipata four wamehonga kuingia kule?
Fact
 
Back
Top Bottom