Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
Yaani mwanafunzi hajui hata uhuru wa Tanganyika ulipatikana mwaka gani
Mkuu kwani Tanganyika ni huru?
Yaani mwanafunzi hajui hata uhuru wa Tanganyika ulipatikana mwaka gani
Feza ,kama huna 1 na 2 ya mwanzo hufanyi paper muulize mtoto wa mh fulani huu ni mwaka wa ngapi anarudia tuEti Ndo wapambane na tabora boys kwa vibunda au ilboru au kisimili Hahahaa basi bwana kisa pesa tu hawana lolote hao
ila huyu jamaa sitaki kumpinga moja Kwa moja kwa sababu kuna shule kibao hua zinapata matokeo mazuri sana kwenye mitihani ya Taifa hasahasa za private ingawa si zote lakini kiuhalisia ukiwapima hao wanafunzi mmoja moja utagundua madudu vichwani mwao halafu unaambiwa alipata Div 1Kwani vyuo si watsoma kwenye hivi hibi vya Bongo.... Tupo nao chuoni ni wa kawaida tu huku, ila o level na advance walitukimbiza
Walitakiwa wawaulize mambo ya maana..Kweli hawa wanafunzi huwa wanaibiwa yaani wanapewa majibu wakati wa mitihani leo nilikuwa naangalia kipindi cha sikonga kinachorushwa na EATV, katika maswali waliyooulizwa hakuna mwanafunzi aliyeweza kujibu, yaani mwanafunzi hajui hata uhuru wa Tanganyika ulipatikana mwaka gani, mwingine kaulizwa ziwa tanganyika linapitia mikoa mitatu itaje haijui, sasa ubora wa shule ya feza uko wapi.
Duuh Azania tena hii shule inayoshika nafasi ya kumi kutoka mwisho kitaifa..Feza..Inabebwa..Kwa..Nguvu..Ya..Fedha.
Hii..Ni..Fact.
Naishi..Mita..1OO,Kutoka..Shule..Ilipo.
Naifahamu,Vizuri.
Ni..Kweli,Kuna..Vichwa..But..Sio..Kihivyo.
Kwanza,Wale..Wanadahili..Wanafunzi..Wachache..Tu.
Maximum..Limit..Yao,Haizidi..1OO.
Huwezi..Kufananisha..Feza..Na..Shule..Kama..Tabora..Boys,Ilboru,Azania..N.K
Mbona unajichanganya Mara wanadahili watu wachache mara hawana uwezo..Feza..Inabebwa..Kwa..Nguvu..Ya..Fedha.
Hii..Ni..Fact.
Naishi..Mita..1OO,Kutoka..Shule..Ilipo.
Naifahamu,Vizuri.
Ni..Kweli,Kuna..Vichwa..But..Sio..Kihivyo.
Kwanza,Wale..Wanadahili..Wanafunzi..Wachache..Tu.
Maximum..Limit..Yao,Haizidi..1OO.
Huwezi..Kufananisha..Feza..Na..Shule..Kama..Tabora..Boys,Ilboru,Azania..N.K
Hata wewe hujui Tanganyika ilipata uhuru lini,na Zanzibar ilipata lini?Nchi yako yenyewe imekataa nchi inayoitwa Tanganyika sasa wanafunzi waijue ili iweje?
Halafu hilo la kuonyeshwa mitihani unajaribu kujipa ahueni ya moyo ila sio kweli.
Sijui kabisa hebu nikumbushe wewe ili nijueHata wewe hujui Tanganyika ilipata uhuru lini,na Zanzibar ilipata lini?
Kama wanaoenda pale ni umaarufu kichwani zero mpeleke mwanao akafanye interview ajiunge uone kama atajoinga,kama hatofikisha grade A hajiungi ..kuna mtoto wa mheshiniwa huu mwaka wa 3 hajafanya necta hapo anarudia tuYaani nichogundua wanapelekwa pale kwa umaarufu wa pesa za wazazi wao ila vichwani ziro.
Mh! Aisee hii conclusion sijui kama imetokana na comprehensive study. Ila anyway, kujifariji ni kitu kizuri kinasaidia kujiona uko sawa nao na hata kudhan kuwa shule za kata ziko sawa tu na hizo Feza n.k. Kisaikolojia tuna encourage kujifariji kunasaidia sana. Mtu unaweza kuambiwa kuwa binadamu wote ni sawa maana wote tunakula, tunalala na tunaenda toilet, na mwisho tunakufa. Katika saikolojia hapo unajiona uko sawa na Mengi, Mo Dewji na hata Bakhresa. Ila ukweli mwisho wa siku ni kwamba hamko sawa. Hongera lakini
Mbona unajichanganya Mara wanadahili watu wachache mara hawana uwezo
Fedha wanadahili watu smart ,entry yao ni div 1 na hata kama ulipata 1 lazima ufanye paper yao ,ukipata A's ndio unaingia
Wale genius kabisa hawalipi ada
Tabora boys kitambo saizi kuna vilaza wengi
na kwa taarifa yako wanaochaguliwa kibaha kila Leo wanagombania nafasi ya kusomeshwa bure feza ,wanaenda piga interview