Kumbe shule ya Feza Boys hamna kitu

Kama Feza wanaiba pepa na nyie ibeni nyambaf

Hii misemo ya shule zinazofanya vizuri nimezisikia wakati huo naambiwa special schools wanaiba mitihani

Nimeenda Tabora Boys nikakuta vijana wanapiga msuli mrefu ..Kama husomi hata ukipewa pepa hutaweza kufaulu
 
Kuna watu wanatoka shule za aina hio ya Feza wako vizuri tena sana na ni vipanga wasumbufu huku vyuoni,mimi nimesoma shule za serikali lakin nawakubali sana watu wa shule hizo.
 
Kama Feza wanaiba pepa na nyie ibeni nyambaf

Hii misemo ya shule zinazofanya vizuri nimezisikia wakati huo naambiwa special schools wanaiba mitihani

Nimeenda Tabora Boys nikakuta vijana wanapiga msuli mrefu ..Kama husomi hata ukipewa pepa hutaweza kufaulu
Umetoa jibu zuri sana, mimi sikubahatika kusoma shule hizo kabisa kipindi hicho, ila nimemaliza shule nikiwa na mawazo finyu kuwa jamaa wanaiba paper kisa nilikuwa nawaongoza primary ila sikuchaguliwa huko. Aibu niliipata baada ya kituo changu cha kazi kabla sijaasi fani kuwa miongoni mwa shule hizo, nimewakuta vijana wanatoboka vibaya na hawana time ya kuchekeana wao ni chemba tu.
Nimekuja kujionea pia kwa watoto jinsi gani wana uwezo mkubwa kutokea shule hizo, vijana wanaandaliwa na sio porojo.
Kijana wangu amesafiri nchi zaid ya 7 kwa ajili ya Olimpiads(genius olimpiad, wsc, informatix, golden climate ) sasa utamlinganisha na wewe tangu std one mpaka masters hujawahi hata kushiriki umiseta, kutumia au kuona teknolojia katika ufunfishaji mfano matumizi ya smart board.
Wenzako tunapokea taarifa za watoto wetu kila siku, tunajua leo wanasoma nini, tunajua assignment zote walizopewa ba kuwasiliana na walimu kupitia Edupage .
Siku ya parents tunakutanishwa na walimu wote kujua maendeleo ya watoto wetu na kuhoji matokeo.
 
Naamin wanaandaliwa vizuri sana.

Nilisoma shule moja iliyokuwa inasifika kwa kuiba mitihani lakin lakini sio mikakati inayowekwa ni ya kufaulu kweli kweli.
 
Back
Top Bottom