Kumbe shule ya Feza Boys hamna kitu

Kumbe shule ya Feza Boys hamna kitu

..Feza..Inabebwa..Kwa..Nguvu..Ya..Fedha.
Hii..Ni..Fact.
Naishi..Mita..1OO,Kutoka..Shule..Ilipo.

Naifahamu,Vizuri.
Ni..Kweli,Kuna..Vichwa..But..Sio..Kihivyo.

Kwanza,Wale..Wanadahili..Wanafunzi..Wachache..Tu.
Maximum..Limit..Yao,Haizidi..1OO.

Huwezi..Kufananisha..Feza..Na..Shule..Kama..Tabora..Boys,Ilboru,Azania..N.K
Yaani kwa aina hii ya uandishi, unakosa hata sifa ya kuchangia hii thread.
 
kwa mwaka ni m 6.8? mbona nilisikia m 10?
haiwezi kufika huko ada unalipa kwa awamu 3 ya kwanza ndio 3.4m kipindi kile ndio ilikuwa 7m kama imeongezeka itakuwa sio sana sidhani kama 10m inafika feza international ndio bei kubwa zaidi ya 22m
 
Wewe ndo unajipa ahueni, nakuhakikishia wakidhibiti kwa 100% shule zote zilizokuwa zinashika nafasi ya kwanza mpaka ya 20 ndiyo utaona miujiza.

Nasubiri kwa hamu kubwa matokeo ya kidato cha nne ya shule moja iliyokuwa maarufu na bora ambayo mwaka jana ilisimamiwa na sungu sungu, mgambo shina, polisi jamii, polisi, TISS na FFU. Safari hii wakiwa kwenye tano bora nitajua wanafanyiwa wivu na husda.
Ungefika hizo shule au ungesoma hata miongoni kwa hizo usingesema hivyo, nimekuambia kamabm unaye ndugu yako igiza kwenda kutafuta nafasi kwenye hizo shule utatuletea mrejesho hapa na sio hizo hadith zako.
Narudia unajipa ahueni ya moyo ila bado hutaipata kwasababu ukweli upo, niambie wapi umewakuta wanafunzi wa hizo shule na wanafanya nini na wakoje?
Halafu hili la top 10 sijuibhatabkama sijui hata kama unajua maana yake, nani kakwambia shule isipokuwa top10 inamaanisha wanafunzi walikuwa wanaonyeshwa mitihani? Je zile shule zetu kongwe ambazo hazipo top tena zimedhibitiwa 100% ili zisionyeshwe mitihani?
 
Kweli hawa wanafunzi huwa wanaibiwa yaani wanapewa majibu wakati wa mitihani leo nilikuwa naangalia kipindi cha sikonga kinachorushwa na EATV, katika maswali waliyooulizwa hakuna mwanafunzi aliyeweza kujibu, yaani mwanafunzi hajui hata uhuru wa Tanganyika ulipatikana mwaka gani, mwingine kaulizwa ziwa tanganyika linapitia mikoa mitatu itaje haijui, sasa ubora wa shule ya feza uko wapi.
Lakini inaongoza kitaifa mara nyingi
 
Kwanza hujui hata alikoanzia, yule binti alikuwa Kifungilo Girls then akaenda feza girls baada ya usumbufu wake huko kwa masister ambao hawataki ujinga na kujifanya wewe mtoto wa nani, yeye mwenyewe ndio alikuwa hataki shule ile kabisa na lengo lake lilikuwa ni kwenda UK na sio kusoma necta system kabisa. Na kwa matokeo yake yale mabovu yalimpeleka alikokuwa anaota.
Usije ukadanganya watu kuwa kupata four kidato cha nne inamaanisha uliingia shule kwa kuhonga.
Tujiulize wale wa Ilboru, Mzumbe, Kibaha na Tabora nao wakipata four wamehonga kuingia kule?
Vyote vinawezekena, kuhonga au kutohonga
 
Hii shule ya feza naona hakuna thamani ya pesa unayolipa..

Kuna wanafunzi hapo nadhani walitoroka kwenda kuogelea coco beach, Moja wa wanafunzi alizama na kufariki..

Hayo mamilioni wanayolipa hapo shuleni hayana thamani kabisa....shule ya mamilioni kuna utoro????
Huyu hakutoroka, kwanza aliaga na wenzake kwenda kusali siku ya jumapili kwani yeye ni mkristo, kama ilivyo ada ya kuwaruhusu watu kufanya ibada zao, walipofika kanisani yeye akatokomea zake. Baadae simu ilipopigwa nyumbani wakadai kafika ila kasharudi huko kumbe kaamua kwenda coco kujiachia.
 
Kusoma shule za kiwango kikubwa haimaanishi utakua unajua kila kitu ila ukweli ni kwamba hizo shule zina afadhali mara elfu kuliko hizi za kata.Ila ifike mahali tubadilike,tujue kua kusoma nikupata maarifa nasio kujibu mtihani..Mimi bado naamini hakuna mtu mjinga dunia ila inategemeana na mazingira ndo mana hizi shule za kulipia kwa kiasi kikubwa zimepunguza sana ile kauli ya shule za vipaji maalum kwasababu ya aina ya walimu na jinsi wanavyofundisha.
 
Kuna mtu hajui anachoongea hapa kuhusiana na elimu na feza schools! Wewe ulete maswali ya akina mwajuma ndala mbili utegemee majibu sahihi?unafikiri feza school wanaandaa wanafunzi kuwa waandushi wa magazeti ya akina shigongo?
Sikitika umekosa pesa ya kupeleka vijana wako kule mi ningekuwa na uwezo ninge decree zile shule ziwe za ukoo wetu wote yaani marufuku kwa mwana ukoo kupeleka shule nyingine mtoto kama hana mkwanja achangiwe na wana ukoo.
Msicheze na elimu nyie ala!
 
Sadamu Husein alikuwa ni rais wa Quwait,,

Alafu walimuua Gadafi rais wa pale Misri. Kwani hata huyu kasomea pale Feza boys,,

Kukosea kujibu swali sio kipimo sahihi cha upeo wa mtu kufikiri.
 
Tuambie wewe unaowajua
kabla ya pepa la interview kuanza kuna form unajaza maelezo kuhusu familia yako kama vile
kazi za wazazi wako
wazazi wako wanasomesha watoto wangap
unataja majina ya hao watoto na shule wanazosoma
sikia hii kuna watu walipiga interview ya pcm ila baada ya matokeo waliitwa na kuambiwa wabadilishe combination waingie pcm ile wajiunge na hyo shule ***** wametoka na div two saiv ninavyosema wapo China.


NB; PESA MCHAWI
 
washazoea kutaftiwa na kupewa bila kitumia juhudi zao, chuoni Hanna hiyo labda uhonge ..!
Nimekuwa na watoto wangu mwenyewe wa kuwazaa wamesoma Marian girls and boys. Nimekuwa nikufuatilia watoto kutoka shule hiyo wanakokwenda vyuoni, contention yako siyo sahihi nakwambia. Naishia hapa!
 
Feza ,kama huna 1 na 2 ya mwanzo hufanyi paper muulize mtoto wa mh fulani huu ni mwaka wa ngapi anarudia tu

Tabora boys ya sasa hamna kitu,4 kibao

Katika hizo shule ulizotaja hakuna inayoifikia feza
Hivi Mkuu hata hii Azania Boys unafatilia matokeo ya miaka ya hivi karibuni!? Ni bure kabisa, hawa watoto wa feza n.k wapo vizuri kweli kweli.
 
Back
Top Bottom