kupe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 1,036
- 330
Watu wa Dar hawana ushamba kama wa Arusha. Watu wa Dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko Arusha. Watu wa Dar wanajua maisha na wanapenda amani. Mwishowe umewahi kujiuliza hivi huyo Lema na Mbowe kwanini wasiende kuandamana Moshi.