Kalale wewe hujui tulikotoka, tulipo na tunakoendelea, Hata Mandela hakuwa na watu wengi na waliojitokeza walipigwa walidhalilishwa na akawekwa ndani miaka 27. Akina Nyerere nao waliambiwa ni washamba na wachochezi lakini leo hii unakumbuka mchango wake.
Acha kabisa siasa za maji taka, Ukimya ni bora kuiko kupayuka bila kitu

BAK, definitely hajui anachokiongea. Anasema CHADEMA Haikubaliki Dar, ilihali tayari inaongoza majimbo mawili. Chama gani kingine cha upinzani kina jimbo Dar? Hajiulizi? Halafu aangalie kwenye majiji makubwa yote ya nchi hii CHADEMA ina muwakilishi? Anataka ukubalikaji gani? Hawe wenzetu huwa ni wakurupukaji kupita kawaida.
Akili za kushikiwa ndivyo zilivyo!!!! Yanayotokea Arusha hayana mipaka kama unavyodhani yatafika kila mkoa na hatimaye Serikali dhalimu kuondolewa madarakani. Usishindane na nguvu ya umma hata siku moja.
sidhani kama upo sahihi kihivyo. Kwanza wanajitahidi kutokuonekana ni chama cha wachaga ili kuzuia kuthibitisha propaganda. Pili robo tatu ya Kilimanjaro wameshadhibiti kwanini uwekeze zaidi. Tatu naona wanaendelea kukamata mikoa ya pembezoni wanaingia mbeya, kigoma maeneo ya nyanda ya ziwa na mijini. Wasipokuwa waangalifu wale wa chama tawala watakamata na mji mkuu kama final assault ya kisiasa. Kasome kidogo jinsi golden eagle anavyowinda mbuzi wa milimani. Huwanza kumshambulia kidogo kidogo hata kwa saa 3 ili mradi asogee karibu ya korongo na kufanya shambulizi moja la nguvu. Ndio siasa inavyofanyika. Kanu haikuondoka mara moja walianza kuibana mikoa mingine nje ya himaya ya wakalenjin na kikuyu kabla ya kutafuta mpinzani toka wakikuyu na kumuunga mkono wakafanikiwa kuitoa.Watu wa Dar hawana ushamba kama wa Arusha. Watu wa Dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko Arusha. Watu wa Dar wanajua maisha na wanapenda amani. Mwishowe umewahi kujiuliza hivi huyo Lema na Mbowe kwanini wasiende kuandamana Moshi.
Hivi wewe "Kupe" ni house boy wa Nape Nnauye au ni house girl wake? Mimi nina mashaka sana na wewe. Au inawezekana pia wewe ni shamba boy wa Mwigulu Nchemba!Watu wa Dar hawana ushamba kama wa Arusha. Watu wa Dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko Arusha. Watu wa Dar wanajua maisha na wanapenda amani. Mwishowe umewahi kujiuliza hivi huyo Lema na Mbowe kwanini wasiende kuandamana Moshi.
Kalale wewe hujui tulikotoka, tulipo na tunakoendelea, Hata Mandela hakuwa na watu wengi na waliojitokeza walipigwa walidhalilishwa na akawekwa ndani miaka 27. Akina Nyerere nao waliambiwa ni washamba na wachochezi lakini leo hii unakumbuka mchango wake.
Acha kabisa siasa za maji taka, Ukimya ni bora kuiko kupayuka bila kitu
Watu wa Dar hawana ushamba kama wa Arusha. Watu wa Dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko Arusha. Watu wa Dar wanajua maisha na wanapenda amani. Mwishowe umewahi kujiuliza hivi huyo Lema na Mbowe kwanini wasiende kuandamana Moshi.
Nani mwenye akili timamu akashabikie cdm?..jiulize nani kapata barabara kwa kuandamana,nani kapata maji kwa kuandamana, nani kapata huduma za afya kwa kuandmana, nani kapata haki ya kisheria kwa kuandamana, nani kapata mkopo wa elimu kwa kuandamana, nani kaongezwa mshahara kwa kuandamana n.k vyote hv vinapatikana kupitia utaratibu ulowekwa kisheria na kikatiba. Wote tunabuwa maandamano ni haki lkn kila siku? Hee! Ina maana ninyi viongozi na wabunge tuliwachaguwa kufanya nn? Maana kila jambo mkishidwa kutetea hoja mnarudi kwa wananchi kitushurutisha tuandamane hii c haki kbs kama mmeshindwa wapisheni wengine waendeshe upinzani mnatupotezea muda wa kufanya kazi.
elimu yako ni darasa la ngapi??
hata mtoto wa darasa la 4 hawezi kuandika ----- kama huu
Watu wa Dar hawana ushamba kama wa Arusha. Watu wa Dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko Arusha. Watu wa Dar wanajua maisha na wanapenda amani. Mwishowe umewahi kujiuliza hivi huyo Lema na Mbowe kwanini wasiende kuandamana Moshi.
watu wa dar wanahesabu zao na huo ushamba wa kushabikia kila kinachoonekana hawana arusha wanateswa na ukabila wameambiwa chadema ikishinda wizara zote kubwa kuhamia arusha,sasa dar utamdanganya nani kwa pipi na karanga.