Kumbe ndio maana CHADEMA haikubaliki Dar

Kumbe ndio maana CHADEMA haikubaliki Dar

Watu wa Dar hawana ushamba kama wa Arusha. Watu wa Dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko Arusha. Watu wa Dar wanajua maisha na wanapenda amani. Mwishowe umewahi kujiuliza hivi huyo Lema na Mbowe kwanini wasiende kuandamana Moshi.

UNAUMWA WEWE..washamba uko uko dar kwenu...mnapenda ccm kwasababu ya uswahili na udini tu..mnaibiwa kura mnakaa kaa tu kupiga mdomo inaonesha jinsi gani maendeleo ya kiakili msivyonayo..we utatuambia nini dar watu washamba tu..kasoro labda wahamiaji..wengine wote malimbukeni wa maisha..kazi kupiga mdomo na kudhani mnajua kila kitu...
 
Jina alilotumia la Kupe ndiyo linapaswa kutuongoza na kutupa picha halisi ya mtu aliyeingiza huu muono wake. Dar wanaweza wakawa sahihi kuiunga CCM kwani ndiyo wananchi pekee wanaonufaika na serikali katika mambo mengi tofauti na watu wa maeneo mengine japo si sahihi sana muono wako, ungekuwa umefanya utafiti vizuri ungekuwa na picha halisi.
 
Unaizungumzia Dar ipi hasa?
Dar na CHADEMA ni pete na kidole.
Uchaguzi wa 2010 Majimbo ya Ubungo na Kawe yalikwenda CHADEMA.
Majimbo ya Ukonga na Segerea nayo yalikuwa yaeende CHADEMA lakini uchakachuaji wa CCM na tume ya Uchaguzi ndio ukapelekea CCM kuyapata.
 
hata mbuyu uliza km mchicha,na mzarau mwiba mguu huota tende.ccm wamechoka na ndio maana msomi mzm km mwigulu mfia chama anaongea pumba bungeni jana,kisa cdm hawakuwepo.
 
[FONT=comic
sans ms]Kalale wewe hujui tulikotoka, tulipo na
tunakoendelea, Hata Mandela hakuwa na watu wengi na waliojitokeza
walipigwa walidhalilishwa na akawekwa ndani miaka 27. Akina Nyerere nao
waliambiwa ni washamba na wachochezi lakini leo hii unakumbuka mchango
wake.

Acha kabisa siasa za maji taka, Ukimya ni bora kuiko kupayuka bila kitu
[/FONT]

We usichanganye mada,kwani Nyerere alituma watu kulipua mabomu na kuwasingizia serikali? nyie mnaleta mbinu za Musolin! mko tayari kuteketeza hata wabunge wenu ili mpate sapoti ki siasa!
 
Watu wa Dar hawana ushamba kama wa Arusha. Watu wa Dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko Arusha. Watu wa Dar wanajua maisha na wanapenda amani. Mwishowe umewahi kujiuliza hivi huyo Lema na Mbowe kwanini wasiende kuandamana Moshi.

...utumbo wa paka unauzwa wapi...?? nauliza tu..
 
Nina wasiwasi na umri wako pamoja na elimu yako.. DAR CHADEMA WANA WABUNGE WAWILI WA KUCHAGULIWA TENA TOKA MAENEO YENYE WASOMI WENGI.. INA MADIWANI PIA.. sasa sina uhakika una maana gani.. au Dar ni Mbagala peke yake?
 
Watu wa Dar hawana ushamba kama wa Arusha. Watu wa Dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko Arusha. Watu wa Dar wanajua maisha na wanapenda amani. Mwishowe umewahi kujiuliza hivi huyo Lema na Mbowe kwanini wasiende kuandamana Moshi.

Arusha ni mji muhimu zaidi kimataifa na utalii zaidi ya Moshi. CCM lazima walazimishe kuwa na control arusha na hapo ndipo mvutano na chadema unapoanzia. CCM hawaihitaji moshi kama wanavyoihitaji arusha na pia ni next to impossible kwa sasa CCM kupata support moshi, nguvu ya umma ya chadema mjini moshi ni kubwa mno kupita maelezo, na serikali ya CCM inalitambua hilo. Pia Ukumbuke Moshi watu wameelimika zaidi kuanzia moshi mjini hadi moshi vijijini na CCM wanalitambua hilo, hivyo wanajua hawawezi ku wa fool watu wa moshi, tofauti na arusha yenye watu mchanganyiko werevu(mjini) na vilaza(vijijini).
Hivyo Chadema hawahitaji kuandamana moshi.

CCM wameshinda sehemu kubwa ya Dar na chadema wamekubali so far ndio maana chadema hawahitaji maandamano Dar that much. CCM wameshindwa arusha(mjini) na hawataki kukubali na huo ndio mwanzo wa vurugu zote unazoziona.

Fujo za Arusha ni kwa sababu CCM bado wanaamini wanaweza kulazimimisha na kushinda na hatimae kumtoa Lema ambaye ndio headache kubwa waliyonayo CCM. Na ndio maana kila kukicha wanatafuta uzushi ili wamkamate Lema.
 
Watu wa Dar hawana ushamba kama wa Arusha. Watu wa Dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko Arusha. Watu wa Dar wanajua maisha na wanapenda amani. Mwishowe umewahi kujiuliza hivi huyo Lema na Mbowe kwanini wasiende kuandamana Moshi.

Kwani majimbo ya Kawe na Ubungo yapo Ruvuma?
 
Unaizungumzia Dar ipi hasa?
Dar na CHADEMA ni pete na kidole.
Uchaguzi wa 2010 Majimbo ya Ubungo na Kawe yalikwenda CHADEMA.
Majimbo ya Ukonga na Segerea nayo yalikuwa yaeende CHADEMA lakini uchakachuaji wa CCM na tume ya Uchaguzi ndio ukapelekea CCM kuyapata.

jamaa hata hajui ni nini anachokiongea...
 
Akili za kushikiwa ndivyo zilivyo!!!! Yanayotokea Arusha hayana mipaka kama unavyodhani yatafika kila mkoa na hatimaye Serikali dhalimu kuondolewa madarakani. Usishindane na nguvu ya umma hata siku moja.

Naona mmesahau na mnaanza tena, hii ni kawaida yenu kila kunapokuja ugeni wa Taifa nyinyi huanzisha. Ni ujinga usio mfano.

Njooni Dar., huku hamtatandikwa na Polisi, ni sisi raia ndio tutawatandika. Pelekeni upuuzi wenu huko huko, mmeulizw ajuu huko, mbona hamfanyi Moshi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
sasa nyie mashoga wa pwani muda wote mnawaza starehe hv mnafaida gani katka nchi hii embu zaidi ya kufanyiwa kinyume na viungo
 
LoL!!!! Hujambo wewe toto la kariakoo!? Mahanjumati vipi!? Namiss sana story zako za mwaka 47.

Back
Top Bottom