Kumbe ndio maana CHADEMA haikubaliki Dar

Kumbe ndio maana CHADEMA haikubaliki Dar

mleta mada alikuwa na lake alilokuwa anatafuta wakati anaandika alichokiandika. wote ni walewale.
anajipa moyo.
 
Kuna mtu alikuwa ananiambia kwamba ili uwe mwanachama halali wa CCM ni lazima uwe kilaza na mwepesi wa kujitoa fahamu, sasa nazidi kumwelewa. Hivi Mhe.J.J.Mnyika na Mhe.Halima Mdee ni wabunge kupitia chama gani na mkoa upi?


mwambie huyo kwa sababu hana jipya ni kada wa chama cha mafisadi
 
Kalale wewe hujui tulikotoka, tulipo na tunakoendelea, Hata Mandela hakuwa na watu wengi na waliojitokeza walipigwa walidhalilishwa na akawekwa ndani miaka 27. Akina Nyerere nao waliambiwa ni washamba na wachochezi lakini leo hii unakumbuka mchango wake.

Acha kabisa siasa za maji taka, Ukimya ni bora kuiko kupayuka bila kitu

Atakuwa ni form four failure huyo.
 
Wewe Kupe kua makini usije kunyonya mahali "pabaya"
 
watu wa dar wanahesabu zao na huo ushamba wa kushabikia kila kinachoonekana hawana arusha wanateswa na ukabila wameambiwa chadema ikishinda wizara zote kubwa kuhamia arusha,sasa dar utamdanganya nani kwa pipi na karanga.

Kama Arusha wanateswa na ukabila na Mbeya au Mwanza wanateswa na nini ?
 
Watu wa Dar hawana ushamba kama wa Arusha. Watu wa Dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko Arusha. Watu wa Dar wanajua maisha na wanapenda amani. Mwishowe umewahi kujiuliza hivi huyo Lema na Mbowe kwanini wasiende kuandamana Moshi.
haya kachukuwe buku 7000/=yako hapo lumumba wahi kabla ya swalaa
 
Kalale wewe hujui tulikotoka, tulipo na tunakoendelea, Hata Mandela hakuwa na watu wengi na waliojitokeza walipigwa walidhalilishwa na akawekwa ndani miaka 27. Akina Nyerere nao waliambiwa ni washamba na wachochezi lakini leo hii unakumbuka mchango wake.

Acha kabisa siasa za maji taka, Ukimya ni bora kuiko kupayuka bila kitu

Mkubwa kabla ya kuandika,jambo la msingi ni kufikili na kuwaza kuhusu unalotaka kuiambia jamii husika na kubwa sana ujue maana ya neno unaloliandika, nacherea kukwambia umeandika neno ushamba bila kujua maana halisi ya neno ushamba na kama uliwaza au ukifikili kuwa wajua maana ya neno ushamba nachelea kukwambia umekarilishwa tu neno hilo bila kulitafakari neno husika, kusema watu wa Arusha wanaushamba hujawatendea haki hao watu, nikukumbusha tu kuwa " BILA UTAFITI HUNA HAKI YA YAKUONGEA" kuwaambia wana wa Arusha washamba nachelea na kujiaminisha kuwa wewe ni mwasilika wa DARISM, wale mnaofikilia kwa kutumia lower part of the body badala ya upper part of the body.
 
Huyu lazima atakuwa mdogo wa hawa ghasia akili zinataka kufanana
 
Watu wa Dar hawana ushamba kama wa Arusha. Watu wa Dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko Arusha. Watu wa Dar wanajua maisha na wanapenda amani. Mwishowe umewahi kujiuliza hivi huyo Lema na Mbowe kwanini wasiende kuandamana Moshi.

Chadema imechukua majimbo ya ubungo na kawe,dont you know that you kibaraka...wait 2015 tutakupa majibu
 
DSM wengi wao ni waswahili kazi majungu angalia waliko shinda CDM ni kuna watu wenye akili ambao hawa danganyiki kwa ubwabwa na sera za kanga na kofi,
aangalia sehemu za waswahili ndio wanaongoza kwa umaskini na pia kuichagua ccm hawana elimu zaidi ya majungu,
NA mtabaki nyuma milele na wauaji wenu ccm
 
watu wa dar hawana ushamba kama wa arusha. Watu wa dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko arusha. Watu wa dar wanajua maisha na wanapenda amani. Mwishowe umewahi kujiuliza hivi huyo lema na mbowe kwanini wasiende kuandamana moshi.

kumbe mnaweza kudanganywa na ccm tu! Shame on you!
 
Mkubwa kabla ya kuandika,jambo la msingi ni kufikili na kuwaza kuhusu unalotaka kuiambia jamii husika na kubwa sana ujue maana ya neno unaloliandika, nacherea kukwambia umeandika neno ushamba bila kujua maana halisi ya neno ushamba na kama uliwaza au ukifikili kuwa wajua maana ya neno ushamba nachelea kukwambia umekarilishwa tu neno hilo bila kulitafakari neno husika, kusema watu wa Arusha wanaushamba hujawatendea haki hao watu, nikukumbushe tu kuwa " BILA UTAFITI HUNA HAKI YA YAKUONGEA" No research no Right to speak.kuwaambia wana wa Arusha washamba nachelea na kujiaminisha kuwa wewe ni mwasilika wa DARISM, wale mnaofikilia kwa kutumia lower part of the body badala ya upper part of the body, mkijiaminisha kuwa kuishi dar es salaam by vitual unakuwa mwelevu kuliko wote wanao ishi nje ya dar es salaam. Futa kauli kwa wana wa Arusha kwani mshamba utakuwa wewe as an individual ententy kwa kutoijua Arusha na wana wa Arusha.
 
mleta mada upo ryt kusema cdm wakaandamane mosh tatzo kuna biashara za kna mbowe na ndesa za utalii so wanafanya makusud kwenda kuarbu biashara ya utalii Arusha..ila kusema wana arusha hawana akil si kwel cdm wanajaza watoto na makonda plus wapga debe kwnye maandamano na vurugu hakuna mwenye akil zake ataacha kaz akaandamane
 
Back
Top Bottom