GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,574
- 108,930
Sometimes Chemical ikatokea zika....au acha niachie hapa tu. Poa, tutachonga baadaye mwanaNina marafiki zangu kama 30 ambao nilisoma nao O level hadi A level na tukaachana form Six ambapo niliamua kuchukua masomo ya Sanaa huku wao wakichukua masomo ya Sayansi huko Chuo Kikuu na bahati nzuri wengi wao walisomea UDSM tena hasa hasa wakibobea katika mambo ya Ukemia.
Nilichogundua kutoka kwa hawa Marafiki zangu 30 Wakemia ni haya yafuatayo:
Je Wadau wa JF ni kwanini hawa Marafiki zangu 30 Wakemia waliotukuka wana hizo SIFA mbaya tajwa hapo juu?
- Wana roho mbaya.
- Ni makatili sana.
- Siyo wasikivu ( yaani hawaambiliki ).
- Wanafiki waliotukuka.
- Wana Visasi ambavyo havivumiliki ambavyo hupelekea kuharibu Kemikali zao.
- Wababe / Madikteta fulani hivi.
- Hawana nyota ya kupendwa hata wakioga maji ya baharini, wakisali au wakiroga.
Nitawashukuruni nikipata majibu yenu na tujitahidi tu Jumatatu kati ya Saa 3 hadi Saa 5 au Saa 6 tukampokee Mkombozi mkabala na Maktaba Kuu ya Taifa.
Nawasilisha.
Sasa kumekuchaaaaaa sasa kumekuchaaaa...
Hata wewe!?........Basi watakua wamebaki wachache sana Wenye Imani na wakemia.!
ACHA MANENO WEKA MUZIKINina marafiki zangu kama 30 ambao nilisoma nao O level hadi A level na tukaachana form Six ambapo niliamua kuchukua masomo ya Sanaa huku wao wakichukua masomo ya Sayansi huko Chuo Kikuu na bahati nzuri wengi wao walisomea UDSM tena hasa hasa wakibobea katika mambo ya Ukemia.
Nilichogundua kutoka kwa hawa Marafiki zangu 30 Wakemia ni haya yafuatayo:
Je Wadau wa JF ni kwanini hawa Marafiki zangu 30 Wakemia waliotukuka wana hizo SIFA mbaya tajwa hapo juu?
- Wana roho mbaya.
- Ni makatili sana.
- Siyo wasikivu ( yaani hawaambiliki ).
- Wanafiki waliotukuka.
- Wana Visasi ambavyo havivumiliki ambavyo hupelekea kuharibu Kemikali zao.
- Wababe / Madikteta fulani hivi.
- Hawana nyota ya kupendwa hata wakioga maji ya baharini, wakisali au wakiroga.
Nitawashukuruni nikipata majibu yenu na tujitahidi tu Jumatatu kati ya Saa 3 hadi Saa 5 au Saa 6 tukampokee Mkombozi mkabala na Maktaba Kuu ya Taifa.
Nawasilisha.
Kuna jamaa mmoja ana hivi vitabia...., amepanga paleee....☝,karibia na soko la samaki, tena na yeye Ni mtaaluma wa sulphuric acid.Nina marafiki zangu kama 30 ambao nilisoma nao O level hadi A level na tukaachana form Six ambapo niliamua kuchukua masomo ya Sanaa huku wao wakichukua masomo ya Sayansi huko Chuo Kikuu na bahati nzuri wengi wao walisomea UDSM tena hasa hasa wakibobea katika mambo ya Ukemia.