Kumbe Marehemu ameacha wajane wawili!


wagalatia bana, muna vituko sana
 
Huyo Mwingine ni yupi na huyu alikuwa mke wa ngapi?

Yaani Bi mkubwa ni yupi na Bi Mdogo ni nanii?
Allah amesema:
“Basi oeni mnaowapenda katika wanawake wawili au watatu au wanne. Lakini mkihofia kuwa hamtaweza kufanya uadilifu, basi mmoja tu…”
— Qur’an 4:3

Daudi alikuwa na wake kadhaa. (2 Samweli 5:13)
 
Huyo Mwingine ni yupi na huyu alikuwa mke wa ngapi?

Yaani Bi mkubwa ni yupi na Bi Mdogo ni nanii?
Wagalatia wanashangaa marehemu alikuwa na wake wawili😂

Waislam hii ni kawaida alikuwa na nafasi ingine ya wawili.

Nyie ndiyo mmeambiwa marufuku kuona wake wawili😂
 
Wao waliofiwa wasipoweka historia ya marehemu vizuri wanaacha gap ambalo paparazzi wanajaribu kulijazia.
Kwa nini wao wenyewe wanafamilia wasiweke wazi historia ya marehemu na familia yake walau kupunguza maneno kama haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…