Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,350
Sijaexperience hilo ila penda sana kuperuzi a healthy baby jinsi yakumpata nini ule , kuepuka kutapikA ,kuwa na wewe na afya njema . Hadi mwisho uende kujifungua
Wanakuza mambo hawa wanawakeMnamtisha tu na kujiendekeza. Usister do na kujiendekeza ndio unawasumbua. Wengine huku vijijini wanajifungua leo kesho anaenda shamba. Mwaka 2014, mke wangu anaenda jifungua mtoto wa 4 pale Morogoro Hospital tumemsindikiza labour nikakuta binti mmoja anapiga kelele huku anamtukana mmewe. Yule binti kila anachoambiwa na wale wakunga/manesi hasikii yeye ni kujiliza tu mara ajipige selfie mara aangalie kama makope bandia yameanguka, mara alie mbona k yangu inatanuka mara inachanika na upuuzi kibao. Wale wasaidizi wakamwambia kama unaleta ujuaji, tutakuacha ufe.
Hii ndio inayowtesa wanawake wa kisasa ila hakuna uchungu wa kutisha hivyo. Mke wangu tulimpeleka saa 7, saa 9 kajifungua Glory wetu na saa 12 tumerudi kwetu yaani walimruhusu kuondoka.
Mie mimba zote namchukiaga baba balaa😆...anafatia hubby..napenda ugomvi mno mno..dah...kula ndo kama mchwaYaani huyo asieumwa ndio Mimi,sinaga Cha morning sickness,sinaga Cha kumchukia mtu au kumpenda mtu Mimi ni Mimi tu,kivumbi ni sipendi njaa, napenda kula kila kinacholiwa
So wanajidekeza?? Dah.Ungekuwa Idete kule Dabaga Kilolo au ungekuwa Ilunde kule Inyonga Katavi umeolewa na msukuma hadi afanye vibarua vya kufyetua tofali ndio mpate pesa ya kula hayo yasingetokea. Ni kujiendekeza tu, mbona wengine wake zetu hawana hayo. Kwa watoto wote 4, sijawahi shuhudia hayo. Mungu awasaidie sana.
naam naamMzee wa sheria mkononi![]()
Na hapo bado siku ya kujifungua utalia kama mbuzi MeeeeeeJamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?
Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.
Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.
Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.
Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Ukisikia kichefuchefu tapika usijizuie kutapita ndio kidogo unapata ahueni. Na uombe Mungu sana hyo Hali ikate mapema kuliko ukakaa nayo miezi 9.Jamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?
Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.
Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.
Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.
Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Bado hujaotewaga hadi leoHeri wewe unaweka uhalisia
Tofauti na hivyo ulivyotaja kingine ni nini kinakera ili tujiandae mambo yakiwa mambo
🤣🤣🤣🤣Ila nyie mimba zenu za kuchukia watu Nyieee....mie mimba ya baby boy ndio nilikuwa nasikia kila mwanaume ana kijasho kibaya kama Cha beberu ila nilikuwa siwachukiiMie mimba zote namchukiaga baba balaa😆...anafatia hubby..napenda ugomvi mno mno..dah...kula ndo kama mchwa
Nilitegemea reaction kama yako kwa single mothers. PoleniHivi unaakili wewe
😅😅
Havina formula.yaani huwezi jipanga useme.sitaki morning sickness .so unaenda tu na bitiSijaexperience hilo ila penda sana kuperuzi a healthy baby jinsi yakumpata nini ule , kuepuka kutapikA ,kuwa na wewe na afya njema . Hadi mwisho uende kujifungua
Hayo ni ya huko kwenuMnadekezana sana wa mjini!
Anyway mazingira ndo chanzo cha huo ushauri,
Kijijini mimba uwe nayo usiwe nayo shughuli zinakusibiri na kituo cha ushauri sio hapo karibu!
Kuna mzee 1 nilionyeshwa pale mpakani Sirari yeye mkewe kila akizaa mtoto wa kike asubuhi yake ni shambani tu, Mungu mkuu mimba ya sita kazaa mtoto wa kiume unaambiwa mzee alifanya bonge la sherehe kwa mkewe!
Cha ajabu nikaambiwa kwa baadae mkewe ndo kamshauri aoe mke mwingine wasaidizane shughuli
Kwa kweli hadi kuna wakati nakuwa sitamani abebe mimba tena.
Maana inakuwa aibu Mwanaume mzima nakaa na kikopo ofisini eti kutema mate alafu kwenye kulamba malimao sasa nalamba utasema mashindano.
Kwa kweli inachosha

Ahaaa mcheki roza ree
Wengine make up tu .ila cha moto wanakiona

ile pua ikawa kubwa na vile amevaa kihereni kile ni sheedaMnadekezana sana wa mjini!