Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
Pole na hongera .udongo me sijawai kupenda.me maharage kila saa.nyama niliacha kabisaMie ile first trimester niliteseka mnooo Kutema mate kila dk kula udongo hatari sana nikishtuka hata saa tisa uck natafuta udongo ulipo nakula nalala plus presha kushuka naanguka mpaka nipate drip ndo nakuwa sawa chakula akipandi zaidi ya kula Bagia tu na mchemsho wa samaki mbichiplus maini ndo vyakula vyangu mpk hatua ya mwisho..Eeeeh Mtoto anatoka mbali mweeh kuitwa Mama sio mchezo
plus maini ndo vyakula vyangu mpk hatua ya mwisho..Eeeeh Mtoto anatoka mbali mweeh kuitwa Mama sio mchezo


