raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,503
- 35,686
Ulifanya kosa gani 😄Wamenila ban siwezi kureply 😅😅😅
Ulifanya kosa gani 😄Wamenila ban siwezi kureply 😅😅😅
Kuna kuotewa na maamuzi ujueKwani ni suala la kuotea ama maamuzi?
Kuna kuotewa na maamuzi ujue
Koo lilichubukaHukujua nini shida ya kutapika damu
Mpende tu maana huwezi kuingia mwilini mwakeHv sasa mdada anapokua kwenye changamoto za mimba mwanaume natakiwa nifanye/ nimefanyie nini kumsaidia?
Hzo changamoto ni Kwa mimba zote au ya kwanza tu?
PESA YA AKIBA narudia Tena pesa ya akiba
Khanga nzito pair 3-4 zilizolainika
Vitenge wax nzito pair 2-3 vilivyo lainika
Soksi pair 4
Kofia PC 4
Mpira wa kujifungulia
Mafuta ya mtoto
sabuni ya mtoto
Pedi zako (maternity pads au za kawaida)
Baby shoo
Nguo za mtoto (Kanyelamumo masweta suruali Tisheti )
Ndoo yenye mfuniko ya kwendea hospitali
Beseni la mtoto
Mkoba wa kwendea leba
Baby receiver kubwa
Vitambaa laini vya kumuogeshea
Neti ya mtoto
Blanketi la mtoto
Pempas
Wipes
Chupi za kwendea leba 3-4
Vifaa vya kujifungulia au cash
Pesa ya dharula
Pini za kubania kidaso
Nepi
Chupi za mkojo
Vidaso/visempe
Vile vikaratasi vya plastic vya kufungua kidaso (Bambino)
Bebeo la kupimia uzito
Magauni yako 2-3 yatakayotoa nyonyo kirahisi
Star soft
Chupa mbili kwa ajili ya kuwekewa uji
Hotpot
Kikapu
Unga wa uji
Sukari
Sabuni za unga
Pilipili manga iliyosangwa na kusagika vizuri
Andaa mtu wa bili ya maziwa atakaye leta kila siku
Mkaa
Mlolongo ni mrefu na pia sijui gharama ya hvo vitu lkn hakishindikani jambo, nkitia mimba mdada yy nae atakua ananishauri na kunambia vitu vya msingi ila kwa kias flan nimepata mwangazaMpende tu maana huwezi kuingia mwilini mwake
Pia msaidie kuandaa vitu asipate stress
List ya mahitaji kwa ajili ya kujifungua
PESA YA AKIBA narudia Tena pesa ya akiba
Khanga nzito pair 3-4 zilizolainika
Vitenge wax nzito pair 2-3 vilivyo lainika
Soksi pair 4
Kofia PC 4
Mpira wa kujifungulia
Mafuta ya mtoto
sabuni ya mtoto
Pedi zako (maternity pads au za kawaida)
Baby shoo
Nguo za mtoto (Kanyelamumo masweta suruali Tisheti )
Ndoo yenye mfuniko ya kwendea hospitali
Beseni la mtoto
Mkoba wa kwendea leba
Baby receiver kubwa
Vitambaa laini vya kumuogeshea
Neti ya mtoto
Blanketi la mtoto
Pempas
Wipes
Chupi za kwendea leba 3-4
Vifaa vya kujifungulia au cash
Pesa ya dharula
Pini za kubania kidaso
Nepi
Chupi za mkojo
Vidaso/visempe
Vile vikaratasi vya plastic vya kufungua kidaso (Bambino)
Bebeo la kupimia uzito
Magauni yako 2-3 yatakayotoa nyonyo kirahisi
Star soft
N.k.n.k ongeza ukitakacho kulingana na matakwa yako
NYUMBANI UWE NA
Chupa mbili kwa ajili ya kuwekewa uji
Hotpot
Kikapu
Unga wa uji
Sukari
Sabuni za unga
Pilipili manga iliyosangwa na kusagika vizuri
Andaa mtu wa bili ya maziwa atakaye leta kila siku
Mkaa
![]()
Madude yote haya mtu anaenda nayo hospitali acheni masikhara basi duhMpende tu maana huwezi kuingia mwilini mwake
Pia msaidie kuandaa vitu asipate stress
List ya mahitaji kwa ajili ya kujifungua
PESA YA AKIBA narudia Tena pesa ya akiba
Khanga nzito pair 3-4 zilizolainika
Vitenge wax nzito pair 2-3 vilivyo lainika
Soksi pair 4
Kofia PC 4
Mpira wa kujifungulia
Mafuta ya mtoto
sabuni ya mtoto
Pedi zako (maternity pads au za kawaida)
Baby shoo
Nguo za mtoto (Kanyelamumo masweta suruali Tisheti )
Ndoo yenye mfuniko ya kwendea hospitali
Beseni la mtoto
Mkoba wa kwendea leba
Baby receiver kubwa
Vitambaa laini vya kumuogeshea
Neti ya mtoto
Blanketi la mtoto
Pempas
Wipes
Chupi za kwendea leba 3-4
Vifaa vya kujifungulia au cash
Pesa ya dharula
Pini za kubania kidaso
Nepi
Chupi za mkojo
Vidaso/visempe
Vile vikaratasi vya plastic vya kufungua kidaso (Bambino)
Bebeo la kupimia uzito
Magauni yako 2-3 yatakayotoa nyonyo kirahisi
Star soft
N.k.n.k ongeza ukitakacho kulingana na matakwa yako
NYUMBANI UWE NA
Chupa mbili kwa ajili ya kuwekewa uji
Hotpot
Kikapu
Unga wa uji
Sukari
Sabuni za unga
Pilipili manga iliyosangwa na kusagika vizuri
Andaa mtu wa bili ya maziwa atakaye leta kila siku
Mkaa
![]()
Naona umekurupuka na kujaa upepo. Hakuna sehemu niliyosema wanaokufa au wanaoshindwa kujifungua hadi kufanyiwa operesheni ni wanajifanyisha. Hoja yangu ni kuwa wanawake wa sasa nyie masista du mnajiendekeza na mnaigiza maisha yaani Mimba mnafanya kama kitu kikubwa sana. Yaani ukiwa na mimba unataka na mme naye awe na mimba kwa kumpelekesha. Mbona huku vijijini wanawake hawafanyi hivyo mfanyavyo? Hayo mengine ni yako.
Angemuuliza na mama ake ilikuaje kuanzia mimba yake hadi anamzaa kabla hajashutumu wanawake wa kileo....
Watu wanaropoka sana hawajui uzazi ni nusu ya kifo.
Za serikali mkuu private unaenda jinsi ulivo ila na milioni kwenda mbeleMadude yote haya mtu anaenda nayo hospitali acheni masikhara basi duh
Hahaaaa, naona unaruka ruka tu na kuandika blah blah. Nina mke na tuna watoto 4 na hajawahi pitia huo upuuzi. Nipo kijijini na sijawahi ona mwanamke anafanya huo upuuzi wenu wa wanawake wa sasa. Hoja yako ni ipi? Mbona wanawake wa Nyandira Mgeta au huku Rungwe wanazaa hadi watoto 12 na wala hawasumbui waume zao usiku wa manane wakawatafutie miwa? Eti unaamshwa saa 9 usiku ukamtafutie Ukwaju. Mbona Bibi/mama zetu wametuzaa bila kusumbua Babu/baba zetu eti mwanaume usioge mke aje anuse kwapa au harufu ya pumbu za mwanaume? Eti mimba inapenda halafu ya boxer ya mwanaume iliyochafuka? Wacheni upuuzi na kutesa vijana wa watu. Jikazeni na mwache maigizo. Mungu alipomuumba mwanamke na mwanaume na kuwapa Agano lenye Baraka hakuweka hizo mbwembwe zenu za kisasa.Point yangu ni ile ile kama mke wako wews hajakusumbua ni kwa sababu mimba yake haijamsumbua. Sasa hiyo isikupe kiburi ukadhani wengine wanajiendekeza.
Kwani mkuu wewe ulishawahi kubeba mimba? Kama haujawahi hauna haki ya kuongelea jambo ambalo hauja experience. Inabidi ubebe mimba kwanza ndio uje utoe uzoefu wako. Hii mada ipo nje ya uwezo wako hauna la kuchangia.
Wacha mbwembwe na mikwara mbuzi. Mimba wana beba hata mbwa na analea mwenyewe na dume lake halijali wala kujuankama.ana mimba. Kwa umri wangu, nimeona na kushuhudia mimba nyingi sana na kama ningekuwa karibu na kwenu ningeona mimba ambayo mama yako alikubeba. Acheni kujiendekeza, Mimba sio mzigo wala mateso. Ni Agano lenye baraka.Hovyo kweli. Mtu hajawahi hata kubeba mimba lakini ukiona anavyoongea kwa ujasiri kama vile ana uzoefu.
Hahaaaa, naona unaruka ruka tu na kuandika blah blah. Nina mke na tuna watoto 4 na hajawahi pitia huo upuuzi. Nipo kijijini na sijawahi ona mwanamke anafanya huo upuuzi wenu wa wanawake wa sasa. Hoja yako ni ipi? Mbona wanawake wa Nyandira Mgeta au huku Rungwe wanazaa hadi watoto 12 na wala hawasumbui waume zao usiku wa manane wakawatafutie miwa? Eti unaamshwa saa 9 usiku ukamtafutie Ukwaju. Mbona Bibi/mama zetu wametuzaa bila kusumbua Babu/baba zetu eti mwanaume usioge mke aje anuse kwapa au harufu ya pumbu za mwanaume? Eti mimba inapenda halafu ya boxer ya mwanaume iliyochafuka? Wacheni upuuzi na kutesa vijana wa watu. Jikazeni na mwache maigizo. Mungu alipomuumba mwanamke na mwanaume na kuwapa Agano lenye Baraka hakuweka hizo mbwembwe zenu za kisasa.
Wacha mbwembwe na mikwara mbuzi. Mimba wana beba hata mbwa na analea mwenyewe na dume lake halijali wala kujuankama.ana mimba. Kwa umri wangu, nimeona na kushuhudia mimba nyingi sana na kama ningekuwa karibu na kwenu ningeona mimba ambayo mama yako alikubeba. Acheni kujiendekeza, Mimba sio mzigo wala mateso. Ni Agano lenye baraka.
Hahaaaaa, unaishi maisha ya maigizo sana dogo. Mwanaume gani huyo aliyesema hivyo. Hilo ni lofa na ndio ananuswa pumbu huyo eti mimba inataka harufu ya pumbu.Wewe beba mimba kwanza kisha ndio uje uandike experience yako.
Oooh maskini nimemuonea huruma hata huyo mke wako maana kwa uliyoyaandika hapa inaonesha wazi ilibidi ajikaze sana hata kama anapitia magumu ajikaze kweli kweli kwa sababu alikubali kuolewa na mwanaume asiye na akili.
Hivi kwa tabia zako hizo ulitegemea mke wako abebe mimba halafu ajioneshe kuteseka?
Okay haujaona mwanaume mwenzako huko juu amesema mke wake akibeba mimba anayeteseka ni yeye? Kwahiyo na yeye anaigiza??? Wewe hauna akili halafu unataka uonekane una akili halafu una ukorofi wa kijinga sana.
Haya sister basi kuwa na jioni njema.Sawa kwa experience yako hiyo unayosema unayo, haujawahi kuona wanawake wajawazito wanalazwa hospitali kwa sababu kila wanachokula wanatapika? Haujawahi kuona?
Wewe hata experience hauna una udikteta wa kijinga kudhani kila hali ya ujauzito inayojitokeza kwa mwanamke ni maigizo. Pengine hata mke wako alikuwa akisikia kutapika anajizuia maskini asijeonekana anajiendekeza.
Ni kweli mwanamke akiamua kubeba mimba ni chapu tu ila wengine wanaotewa bila kutegemea.Mie naona maamuzi yanachukua nafasi kubwa
Picha za utupu 🤣🤣🤣🤣Ulifanya kosa gani 😄