Kumbe kubeba mimba si mchezo!

Kumbe kubeba mimba si mchezo!

Hii ndio inayowtesa wanawake wa kisasa ila hakuna uchungu wa kutisha hivyo. Mke wangu tulimpeleka saa 7, saa 9 kajifungua Glory wetu na saa 12 tumerudi kwetu yaani walimruhusu kuondoka.

Mshukuru Mungu kwa kumjalia neema mke wako ya kujifungua salama kwa wakati na bila usumbufu au matatizo yoyote ki afya ila hiyo neema aliyokupa Mungu isikupe kiburi ukamkufuru.

Unataka kuniambia wanaofia leba wakijifungua nao huwa wanaigiza kufa? Au wanaoshindikana kujifungua kawaida hadi wanaamua kumfanyia upasuaji ule ni uigizaji?

Kiburi cha uzima kinakusumbua . Mshukuru Mungu kwa ajili ya neema yake maishani mwenu ila usikufuru. Hiyo ni Neema tu wala haukustahili.
 
Jamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?

Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.

Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.

Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.

Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
mkwepu jr naomba like yako ionekane hapa
 
Usihofu hiyo hali hutokea kwamuda kutokana na Hormonal release stimulation (INCREASE LEVEL OF HUMAN CHORIONIC GONADOTROPHIN-hcg) ambapo This Hcg stimulates a neuronal activity to Dopamine receiptors,,Hivyo hiyo condition itapotea tuu lakini ikiwa excessive mwone daktari,,Kitaalam hujulikana kama hyper-emesis gravidalum.
 
Mshukuru Mungu kwa kumjalia neema mke wako ya kujifungua salama kwa wakati na bila usumbufu au matatizo yoyote ki afya ila hiyo neema aliyokupa Mungu isikupe kiburi ukamkufuru.

Unataka kuniambia wanaofia leba wakijifungua nao huwa wanaigiza kufa? Au wanaoshindikana kujifungua kawaida hadi wanaamua kumfanyia upasuaji ule ni uigizaji?

Kiburi cha uzima kinakusumbua . Mshukuru Mungu kwa ajili ya neema yake maishani mwenu ila usikufuru. Hiyo ni Neema tu wala haukustahili.
Angemuuliza na mama ake ilikuaje kuanzia mimba yake hadi anamzaa kabla hajashutumu wanawake wa kileo....

Watu wanaropoka sana hawajui uzazi ni nusu ya kifo.
 
Jamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?

Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.

Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.

Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.

Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Kwa hiyo sa hivi ukitema mate yanakawia kufika chini
 
Hv sasa mdada anapokua kwenye changamoto za mimba mwanaume natakiwa nifanye/ nimefanyie nini kumsaidia?

Hzo changamoto ni Kwa mimba zote au ya kwanza tu?
 
Mshukuru Mungu kwa kumjalia neema mke wako ya kujifungua salama kwa wakati na bila usumbufu au matatizo yoyote ki afya ila hiyo neema aliyokupa Mungu isikupe kiburi ukamkufuru.

Unataka kuniambia wanaofia leba wakijifungua nao huwa wanaigiza kufa? Au wanaoshindikana kujifungua kawaida hadi wanaamua kumfanyia upasuaji ule ni uigizaji?

Kiburi cha uzima kinakusumbua . Mshukuru Mungu kwa ajili ya neema yake maishani mwenu ila usikufuru. Hiyo ni Neema tu wala haukustahili.
Naona umekurupuka na kujaa upepo. Hakuna sehemu niliyosema wanaokufa au wanaoshindwa kujifungua hadi kufanyiwa operesheni ni wanajifanyisha. Hoja yangu ni kuwa wanawake wa sasa nyie masista du mnajiendekeza na mnaigiza maisha yaani Mimba mnafanya kama kitu kikubwa sana. Yaani ukiwa na mimba unataka na mme naye awe na mimba kwa kumpelekesha. Mbona huku vijijini wanawake hawafanyi hivyo mfanyavyo? Hayo mengine ni yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom