Mpende tu maana huwezi kuingia mwilini mwake
Pia msaidie kuandaa vitu asipate stress
List ya mahitaji kwa ajili ya kujifungua

PESA YA AKIBA narudia Tena pesa ya akiba

Khanga nzito pair 3-4 zilizolainika

Vitenge wax nzito pair 2-3 vilivyo lainika

Soksi pair 4

Kofia PC 4

Mpira wa kujifungulia

Mafuta ya mtoto

sabuni ya mtoto

Pedi zako (maternity pads au za kawaida)

Baby shoo

Nguo za mtoto (Kanyelamumo masweta suruali Tisheti )

Ndoo yenye mfuniko ya kwendea hospitali

Beseni la mtoto

Mkoba wa kwendea leba

Baby receiver kubwa

Vitambaa laini vya kumuogeshea

Neti ya mtoto

Blanketi la mtoto

Pempas

Wipes

Chupi za kwendea leba 3-4

Vifaa vya kujifungulia au cash

Pesa ya dharula

Pini za kubania kidaso

Nepi

Chupi za mkojo

Vidaso/visempe

Vile vikaratasi vya plastic vya kufungua kidaso (Bambino)

Bebeo la kupimia uzito

Magauni yako 2-3 yatakayotoa nyonyo kirahisi

Star soft
N.k.n.k ongeza ukitakacho kulingana na matakwa yako
NYUMBANI UWE NA

Chupa mbili kwa ajili ya kuwekewa uji

Hotpot

Kikapu

Unga wa uji

Sukari

Sabuni za unga

Pilipili manga iliyosangwa na kusagika vizuri

Andaa mtu wa bili ya maziwa atakaye leta kila siku

Mkaa