Chubbylady
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 621
- 1,019
Kuna ile kutema mate inaweza kwenda na wewe hadi unaingia leba
Hapo uso haujajaa kama tofali
Ila watoto wa kiume hawatesi kama wa kike
Kama mimba ya boy hupati shida sana
Baby girl sasa daah
Weee wengine wanasema bora mimba ya mtoto wa kike...
Mimi yangu ya mtoto wa kike sikuwa natapika wala nn nilikua nakula kila kitu sikuvimba uso wala nini ngozi ilikua nzuri na kazi nimefanya mpaka ile wiki ya kujifungua
Ko mimba kila mtu na inavomjia haina mtoto flan ni bora kuliko flan

plus maini ndo vyakula vyangu mpk hatua ya mwisho..Eeeeh Mtoto anatoka mbali mweeh kuitwa Mama sio mchezo