Kumbe kubeba mimba si mchezo!

Sheillah Sheillah

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
583
1,478
Jamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?

Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.

Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.

Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.

Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
 
Jamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani , mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?

Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.

Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.

Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. khaaa hadi natamani nipige mayowe.

Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Pole shosti
Hapo trela subiri ile siku ifike utaimba nyimbo mpya bila kujua unalia machozi hayatoki unatamani yatoke yakufariji ila Hollah..Acha Mungu aitwe Mungu
Ova
 
Jamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?

Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.

Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.

Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.

Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Umeolewa au ni usingo maza kwenda mbele
 
Hongera na pole sana maana it's a near death experience
FB_IMG_16935607681926190.jpg
 
Hiyo hali utakuwa nayo katika miezi mitatu ya mwanzo 'First Trimester' baada ya hapo utakua poa na kuenjoy ujauzito wako.

Mtoto akianza kucheza ni best experience ever, gusa gusa tumbo lako mara kwa mara ili mtoto afeel your love, zungumza na mtoto wako, muimbie nyimbo nzuri za watoto, msomee hadithi, kuwa happy muda wote epuka stress na hasira, wamatumbi wana msemo wao "happy mother, happy baby"

Zingatia mlo kamili kwani a healthy child anatokana na chakula bora cha mama, lakini pia uzingatie na diet yako pia usile kama fukufuku na kunenepeana hovyo.

Hongera sana Mama mtarajiwa, nakuombea kheir kwako na kwa mtoto mvuke salama.

NB: Hayo utayakuta kwenye second na third trimester ila kwa sasa msoto lazima.
 
Jamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?

Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.

Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.

Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.

Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Sikia miezi mitatu minne ya mwanzo yaani hakuna rangi utaacha kuona.mimi nilikuwa natamani kutapika dunia yote.yaani chakula unachagua nilikuwa najipikia mwenyewe maana mtu akipika asipopika kama navotaka na yeye namchukia vibaya mno sitaki hata kumuona tena nikija kumuona natapika tu
Ila nikuombe usiache kutumia folic japo zinachangia kuchefua ila usiache
Ukimaliza miezi ya mwanzo mwezi wa nne kati hapo hadi saba unakuwa sawa ila kuchoka sana maana mtumbo unakuwa ushaanza kujaa na unatakiw ulale kushoto sana.so unachoka na uzito unakuwa umeongezeka hata kilo 10 hivi
Miezi ya mwisho nayo ni kuchooka maana mtoto anakuwa kawa mkubwa zaidi ila hujiskii vibaya kiivo jikaze
Ila hakikisha una folic na mavitamins ili uzae katoto kazuri
 
Hiyo hali utakua nayo katika miezi mitatu ya mwanzo 'First Trimester' baada ya hapo utakua poa na kuenjoy ujauzito wako,

Mtoto akianza kucheza ni best experience ever, gusa gusa tumbo lako mara kwa mara ili mtoto afeel your love, zungumza na mtoto wako, muimbie nyimbo nzuri za watoto,msomee hadithi, kua happy muda wote epuka stress na hasira, wamatumbi wana msemo wao "happy mother, happy baby"

Zingatia mlo kamili kwani a healthy child anatokana na chakula bora cha mama, lakini pia uzingatie na diet yako pia usile kama fukufuku na kunenepeana hovyo,

Hongera sana Mama mtarajiwa, nakuombea kheir kwako na kwa mtoto mvuke salama,

NB: Hayo utayakuta kwenye second na third trimester ila kwa sasa msoto lazima.
First trimester nilitamani hata kuhama nchi.nilikuwa najiskia ovyooo ovyooo .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom