Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
Ombea awe boy tumia calender ya kichina chagua mwezi wa baby boy pale ukakitegesheInawezekana nikawa kama yeye
Ombea awe boy tumia calender ya kichina chagua mwezi wa baby boy pale ukakitegesheInawezekana nikawa kama yeye
Hata ubinuke vipi huioni mzee.Hahahaha...
Inatesa sana kwa kweli, unaweza ukalia kila siku.First trimester nilitamani hata kuhama nchi.nilikuwa najiskia ovyooo ovyooo .
Ila ukitulia akili kidoooogo hua zinakuja kuja,
Ushauri mzuri sana.
Folic acid nzuri kwa maana ya kampuni?Naomba kujua folic acid zipi nzuri Kwa kujiandaa kubeba mimba.
Sex unaichukia nayo yaani mwanaume alikuwa akiniangalia tu natamani kutapikaInatesa sana kwa kweli, unaweza ukalia kila siku.
Huwezi kujipangia ule nini mkuu.mimba achana nazo .
Yoyote tu ila za tanzania naona kama zinachefua sana bora za kenya zile ndogondogoFolic acid nzuri kwa maana ya kampuni?
Wewe meza yoyote tu
Hii nzuri sana, i wish hubby angekua kama weweMimba husumbua kwa baadhi ya watu kadri umri unavyosogea kuelekea kujifungua.
Kuna mimba humsumbua Mama, na baadhi akina Baba.
Mimi kila wife akibeba mimba basi ambaye anasumbuka huwa ni Mimi Baba.
Huwa nachagua vyakula, kichefuchefu lakini huwa sipendi mazingira machafu hata kama nitaenda ugenini.
Mbaya zaidi siku ya kujifunguza wife, basi dalili hunijia mimi.
Last time wife anakaribia kujifungua siku mbili mbele, basi nilishikwa na tumbo la kuendesha hadi alipojifungua ndiyo likakata.
Hivyo ni baadhi ya complications za mimba kwa akina Mama na akina Baba baadhi yetu.
Kwahiyo ukiwa Mzazi mtarajiwa, hivyo vitu ni vya kuzoea tu
nahisi ningebeba mimba mchana na usikujamani jamani kwahiyo hapa ni trela tu.Pole shosti
Hapo trela subiri ile siku ifike utaimba nyimbo mpya bila kujua unalia machozi hayatoki unatamani yatoke yakufariji ila Hollah..Acha Mungu aitwe Mungu
Ova
Yaani mkuu unajua kabisa labda samaki ni mzuri kiafya .tatizo linakuja humtaki kabisa. Mboga za majani tu unachukia hadi matunda unabaki kama zombieNi kweli
Mwishoni furaha ya kupata mtoto wala huoni shida yoyote asikutishe .hata wakipasua tako husikiijamani jamani kwahiyo hapa ni trela tu.
Asante sana my dear.
Kwa kweli hadi kuna wakati nakuwa sitamani abebe mimba tena.Aisee mkeo ana bahati sana.ujengewe mnara wako
Miezi sita unakuwa huoni hata k yako.inapotea huko chini hamuonani.niliimis hatare



hii ni shidaaaa, hadi uweke kioo mbele.... team kusheviwa tupooo maana hujioni kabisa walaiJamani 😂😂😂Ombea awe boy tumia calender ya kichina chagua mwezi wa baby boy pale ukakitegeshe
Namshukuru Mungu nina mume. Sipati picha kuyapitia haya ninayoyaona bila baba wa mtoto pembeni jamani.Umeolewa au ni usingo maza kwenda mbele
Hahaha...........ila ni mateso sana Mkuu, yaani Mwanaume mzima nashinda nalamba limao ofisini kweliHii nzuri sana, i wish hubby angekua kama wewenahisi ningebeba mimba mchana na usiku
Haahaha hapana kwakweli nikimwita hivo itanifanya nisisahau hiki kipindi.Sheilla mimba ndio kitu mwanamke anaweza shika kwa ufasaha sio Uongozi Wala pesa.
Then ukizaa mtoto wetu muite kichefuchefu.
Kwenye sex hata mimi hua nashanga wengine wanafanya hadi siku ya mwisho, mimi hua napenda tu awe karibu anipeti peti ila akitaka tu kosa ugomvi sio wa kitotoSex unaichukia nayo yaani mwanaume alikuwa akiniangalia tu natamani kutapika
Nilichukia wanaume hatare

AMEN na asante sana MissyHongera sana Mungu akutangulie umalize salama safari yako