Kumbe kubeba mimba si mchezo!

Kumbe kubeba mimba si mchezo!

Jamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?

Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.

Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.

Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.

Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.

Kaa sehemu yenye hewa nzuri, ikiwezekana baridi. Joto litakufanya ujihisi vibaya na kutapikatapika mara Kwa mara.
Kula vyakula ambavyo havina asidi na vyepesi kumeng'enywa.

Epuka mazingira yenye harufu za ajabuajabu
 
Jamani kwema?
Ila wanawake ni wasiri jamani, mbona hata hamsemagi kwamba hizi "morning sickness" hilo ni neno tu ila inashinda siku nzima jamani?

Natamani hata mtu angeniambia kwamba ni vichefuchefu siku nzima. Mimi nilijua kama jina lilivyo basi ikifika mchana natakiwa niwe fresh.

Week 8 sasa ila food eversion na nausea muda wote. Kila chakula ninachokifikiria nahisi kichefuchefu.

Nahisi kuumwaumwa tu nikikaa sisikii raha nikilala sisikii raha bora hata kutembea tembea nje. Hiki kichefuchefu natamani hata nitapike ila ni kichefuchefu tu bila kutapika. Khaaa hadi natamani nipige mayowe.

Acha tu jamani watu waringe na watoto wao. Sasa nimeelewa.
Mie nashangaaga wengine hawaumwi kabisa...wengine hizo morning sickness had unaingia labor🙌
 
Sikia miezi mitatu minne ya mwanzo yaani hakuna rangi utaacha kuona.mimi nilikuwa natamani kutapika dunia yote.yaani chakula unachagua nilikuwa najipikia mwenyewe maana mtu akipika asipopika kama navotaka na yeye namchukia vibaya mno sitaki hata kumuona tena nikija kumuona natapika tu
Ila nikuombe usiache kutumia folic japo zinachangia kuchefua ila usiache
Ukimaliza miezi ya mwanzo mwezi wa nne kati hapo hadi saba unakuwa sawa ila kuchoka sana maana mtumbo unakuwa ushaanza kujaa na unatakiw ulale kushoto sana.so unachoka na uzito unakuwa umeongezeka hata kilo 10 hivi
Miezi ya mwisho nayo ni kuchooka maana mtoto anakuwa kawa mkubwa zaidi ila hujiskii vibaya kiivo jikaze
Ila hakikisha una folic na mavitamins ili uzae katoto kazuri
Naomba kujua folic acid zipi nzuri Kwa kujiandaa kubeba mimba.
 
Mimba husumbua kwa baadhi ya watu kadri umri unavyosogea kuelekea kujifungua.

Kuna mimba humsumbua Mama, na baadhi akina Baba.

Mimi kila wife akibeba mimba basi ambaye anasumbuka huwa ni Mimi Baba.

Huwa nachagua vyakula, kichefuchefu lakini huwa sipendi mazingira machafu hata kama nitaenda ugenini.

Mbaya zaidi siku ya kujifunguza wife, basi dalili hunijia mimi.

Last time wife anakaribia kujifungua siku mbili mbele, basi nilishikwa na tumbo la kuendesha hadi alipojifungua ndiyo likakata.

Hivyo ni baadhi ya complications za mimba kwa akina Mama na akina Baba baadhi yetu.

Kwahiyo ukiwa Mzazi mtarajiwa, hivyo vitu ni vya kuzoea tu
 
Naomba kujua folic acid zipi nzuri Kwa kujiandaa kubeba mimba.
Folic ni folic ila kuna prenatal za before conception ndo nilikuwa natumia japo ni ghali ila zilinisaidia kwanza period yangu ilikaa stable siku 28.ila zinanenepesha nazo balaa .zinaitwa pregnacare za uk
Hyo hapo ni kipindi cha ujauzito kabla yake ni box kama hilo ila imeandikwa before conception .ina folic kila kituView attachment 2735606
 
Si ajabu baharia alitaka kumwagia nje yeye na kiherehere chake akamng'ang'ania na kumbana kwa miguu na mikono ili asimponyoke. Sasa kimeumana.

Na hii ni intro tu. Korasi hasa ipo kule leba maana siyo wote waingiao huko hutoka salama.

Tumuombee mleta mada ili aondokane na hofu. Everything gonna be alright IJN
Sio maneno ya kumuambia mwanamke yoyote mkuu .hata wewe ni mzazi
 
Mimba husumbua kwa baadhi ya watu kadri umri unavyosogea kuelekea kujifungua.

Kuna mimba humsumbua Mama, na baadhi akina Baba.

Mimi kila wife akibeba mimba basi ambaye anasumbuka huwa ni Mimi Baba.

Huwa nachagua vyakula, kichefuchefu lakini huwa sipendi mazingira machafu hata kama nitaenda ugenini.

Mbaya zaidi siku ya kujifunguza wife, basi dalili hunijia mimi.

Last time wife anakaribia kujifungua siku mbili mbele, basi nilishikwa na tumbo la kuendesha hadi alipojifungua ndiyo likakata.

Hivyo ni baadhi ya complications za mimba kwa akina Mama na akina Baba baadhi yetu.

Kwahiyo ukiwa Mzazi mtarajiwa, hivyo vitu ni vya kuzoea tu
Aisee mkeo ana bahati sana.ujengewe mnara wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom