Hiyo hali utakua nayo katika miezi mitatu ya mwanzo 'First Trimester' baada ya hapo utakua poa na kuenjoy ujauzito wako,
Mtoto akianza kucheza ni best experience ever, gusa gusa tumbo lako mara kwa mara ili mtoto afeel your love, zungumza na mtoto wako, muimbie nyimbo nzuri za watoto,msomee hadithi, kua happy muda wote epuka stress na hasira, wamatumbi wana msemo wao "happy mother, happy baby"
Zingatia mlo kamili kwani a healthy child anatokana na chakula bora cha mama, lakini pia uzingatie na diet yako pia usile kama fukufuku na kunenepeana hovyo,
Hongera sana Mama mtarajiwa, nakuombea kheir kwako na kwa mtoto mvuke salama,
NB: Hayo utayakuta kwenye second na third trimester ila kwa sasa msoto lazima.