Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
Hata uweke kiooo huoni aah niliimis sana k yangu .hadi nilikuwa naliahii ni shidaaaa, hadi uweke kioo mbele.... team kusheviwa tupooo maana hujioni kabisa walai
Hata uweke kiooo huoni aah niliimis sana k yangu .hadi nilikuwa naliahii ni shidaaaa, hadi uweke kioo mbele.... team kusheviwa tupooo maana hujioni kabisa walai
Una miaka mingapiJamani
Nitategesha siku nikipanga kupata mtoto
Ingekua ipo hivyo kwa wanaume wote basi kwa hakika wanaume wangewaheshimu sana wake zao na hata hao singo mamaz.Hahaha...........ila ni mateso sana Mkuu, yaani Mwanaume mzima nashinda nalamba limao ofisini kweli
Asubuhi kwenye gari lazima nibebe na kikopo cha kutema mate.
Kwa kweli siipendi hiyo hali basi tu
Physics hyo magnetic forcesMimba husumbua kwa baadhi ya watu kadri umri unavyosogea kuelekea kujifungua.
Kuna mimba humsumbua Mama, na baadhi akina Baba.
Mimi kila wife akibeba mimba basi ambaye anasumbuka huwa ni Mimi Baba.
Huwa nachagua vyakula, kichefuchefu lakini huwa sipendi mazingira machafu hata kama nitaenda ugenini.
Mbaya zaidi siku ya kujifunguza wife, basi dalili hunijia mimi.
Last time wife anakaribia kujifungua siku mbili mbele, basi nilishikwa na tumbo la kuendesha hadi alipojifungua ndiyo likakata.
Hivyo ni baadhi ya complications za mimba kwa akina Mama na akina Baba baadhi yetu.
Kwahiyo ukiwa Mzazi mtarajiwa, hivyo vitu ni vya kuzoea tu

Ungetumia kioo mkuu😄😄Miezi sita unakuwa huoni hata k yako.inapotea huko chini hamuonani.niliimis hatare
Yaani mimi mwanzo mwisho sipendi .ila simchukii .ila yaani asiniguse matiti au k uwiiiKwenye sex hata mimi hua nashanga wengine wanafanya hadi siku ya mwisho, mimi hua napenda tu awe karibu anipeti peti ila akitaka tu kosa ugomvi sio wa kitoto![]()
Mpaka hapa kinachokera sana ni Kichefuchefu maana unakuwa unajisikia hovyo na kutapika na unachagua chakula hiyo inapelekea kukonda.Heri wewe unaweka uhalisia
Tofauti na hivyo ulivyotaja kingine ni nini kinakera ili tujiandae mambo yakiwa mambo
Hatari 😅Physics hyo magnetic forces![]()
Miezi sita unakuwa huoni hata k yako.inapotea huko chini hamuonani.niliimis hatare

Asante. Mungu atusaidie kwa kweli.Hongera na pole sana maana it's a near death experience
View attachment 2735536
Huoni maana tumbo kubwa na kujipanua shida na kuinukaUngetumia kioo mkuu![]()
Una miaka mingapi
Mpaka hapa kinachokera sana ni Kichefuchefu maana unakuwa unajisikia hovyo na kutapika na unachagua chakula hiyo inapelekea kukonda.
Nitaweka tumbo likiwa kubwaPicha iko wapi sasa?
Ni kweli nilichekelea na ilikuwa tamu balaa kuliko siku zote kumbe yai lilikuwa linataka mbegu lirutubishwe🤣🤣.Wakati wa mgegedo si ulikua unachekelea,full kujiachia,
Chekelea na mimba sasa,ukipenda Nanasi upende na miba yake.
Shida ni kwamba ,, Mimba nyingine unashikishwa na unajua fika hapa tunapiga wengi🤨Namshukuru Mungu nina mume. Sipati picha kuyapitia haya ninayoyaona bila baba wa mtoto pembeni jamani.
Wanaume msiwe mnakataa mimba. Hiki kipindi ni kigumu sana halafu mtu aongeze na stress za kukataliwa kweli?
Ni kweli usemacho Mkuu, kupitia hiyo hali nimejifunza kuwaheshimu sana Wanawake.Ingekua ipo hivyo kwa wanaume wote basi kwa hakika wanaume wangewaheshimu sana wake zao na hata hao singo mamaz.
kwakweli hela ya saloon ni mtoaji mzuri sana.Pesa ya saloon si alikuwa anatuma?
Haya sasa ...jikaze
Unafutuka balaa usoni..ah...watoto waheshimu sana mama zao aise..
Jamani nimesikia hadi raha, ubarikiwe. I cant wait kusikia mtoto anacheza tumboni.Hiyo hali utakua nayo katika miezi mitatu ya mwanzo 'First Trimester' baada ya hapo utakua poa na kuenjoy ujauzito wako,
Mtoto akianza kucheza ni best experience ever, gusa gusa tumbo lako mara kwa mara ili mtoto afeel your love, zungumza na mtoto wako, muimbie nyimbo nzuri za watoto,msomee hadithi, kua happy muda wote epuka stress na hasira, wamatumbi wana msemo wao "happy mother, happy baby"
Zingatia mlo kamili kwani a healthy child anatokana na chakula bora cha mama, lakini pia uzingatie na diet yako pia usile kama fukufuku na kunenepeana hovyo,
Hongera sana Mama mtarajiwa, nakuombea kheir kwako na kwa mtoto mvuke salama,
NB: Hayo utayakuta kwenye second na third trimester ila kwa sasa msoto lazima.