Kumbe hii kitu tamu namna hii dah!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Wakuu nina takribani 13yrs hapa Dar but nilikua sijawahi kula vile vipande vya pweza.......kwanza nilikua naona kinyaa sana.......but leo jioni one of my friend kanitembelea.......baada ya kukatiza mitaa kadhaa tukaikuta hii kitu...jamaa ni mwanachama mzuri wa hii kitu..so akaniomba niitest...ile kutafuna kipande kimoja tu mimi hoi kwa utamu...so nikaongeza more 6pcs...kumbe hii kitu tamu namna hii...na kesho ntaitafuta ingawa iko expensive sana lol.
 
Madudu ya Baharini ni Najisi au Makruuuuu hayo... Wafuatao Dini za Mashetani ndio wanahimiza ulaji wa Madudu hayo Pole Sana Kwa Kunaswa kwa Vipande Sita....
 
Dah! hii thread kama si mahala pake hivi!! .......
 
Yaani huyu pweza ninayemfahamu mimi au mwingine hata ukipita pale Buguruni unapata au pale Feri?

Ughari huo umetokea wapi? Labda kama ni pweza mtu hapo sawa!!!!
 
Dah! hii thread kama si mahala pake hivi!! .......

Acha fix magrin Maprosoo! Manga mi'pweza ukaweke heshma kwa mama ya boma.
Kuna ubaya gani kupwezeka once per wik ?
Kisha unaenda kumpwezekesha mdau wa shuka ?
 
Last edited by a moderator:
Madudu ya Baharini ni Najisi au Makruuuuu hayo... Wafuatao Dini za Mashetani ndio wanahimiza ulaji wa Madudu hayo Pole Sana Kwa Kunaswa kwa Vipande Sita....
Hamna lolote, acha kasumba za ajabu.
Basi huku kwetu sote tunafata dini ya mashetani. Mana pweza tunakula sn km kiToweo, tn tunapika kila style..
 
Acha fix magrin Maprosoo! Manga mi'pweza ukaweke heshma kwa mama ya boma.
Kuna ubaya gani kupwezeka once per wik ?
Kisha unaenda kumpwezekesha mdau wa shuka ?

Mh! huu uzi ulikua kule celebrity!! pweza nini bhana!! kitu MKUYATI ndio mpango mzima.
 
Last edited by a moderator:
....story hii ingekua tamu kama ungeitoa kesho....
Na katika hyo supu ya pweza ....ungeongeza na viroba...
 
Madudu ya Baharini ni Najisi au Makruuuuu hayo... Wafuatao Dini za Mashetani ndio wanahimiza ulaji wa Madudu hayo Pole Sana Kwa Kunaswa kwa Vipande Sita....

Sisi ndio member wa JF-HOME OF GREAT THINKERS na haya ndio maneno yetu kwasababu hapa ni PLACE TO DARE SPEAKING OPENLY
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom