Kumbe Helicopter ya CUF huko Igunga, imetolewa na CCM!

Kumbe Helicopter ya CUF huko Igunga, imetolewa na CCM!

Ndo tatizo lenu hilo wapwa; mnataka kila mmoja aandike kile kinachowafurahisha nyinyi pekee!!! Kama mnataka hivyo basi nendeni mkasome post za kwenye notice boards za pale kinondoni makao makuu yenu!!!!!

NasDaz,
hawa jamaa wanataka wote tuwe mateka wa Mbowe na Slaa
 
Kuna logic,ingawa inaweza isiwe kweli.
Wanabodi,

Kwa jinsi nilivyo mkereketwa wa demokrasia ya kweli, nilitakiwa niwepo Igunga kushuhudia ama historia mpya ya ukombozi wa Tanzania ikijiandika, ama historia ile ile ya ukandamizwaji na uminywaji wa demokrasia ikijirudia, lakini kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao, nimejikuta ndio kwanza nimelazimika kuwa eneo la Kirua Vunjo, huko Moshi Vijijini kwa tukio fulani.

Ni tukiwa tumekaa huku mgombani, sikutegemea uchaguzi wa Igunga ni main topic mpaka huku!. Ndipo siri za CCM zikaanza kuvuja!. Imeelezwa kuwa CCM inaihofia sana Chadema lakini haiihofi kabisa CUF. Pia adui mkuu wa CUF kwenye uchaguzi wa Igunga ni Chadema na sio CCM.
Kufuatia hilo, CCM imeamua kutumia ule mtindo wa 'Adui wa adui yako ni rafiki yako', hivyo wamejoin forces kwa siri against a common enemy Chadema!.

Mtoa habari huyu ndio akatoa siri kuwa hata ile helcopter ya CUF kule Igunga, imetolewa na CCM ili kuzipunguza kura za Chadema!. Kwa maneno mengine, CCM imeshagundua imepoteza mvuto na Chadema ndicho kinachong'ara, hivyo ili CCM ishinde nilazima ipige kampeni ya nguvu kwa CUF ili kuzi split kura za upinzani na yeyenywe kupeta kwa ushindi kiduchu!.

CUF kwa kukubali kusaidiwa na CCM, imeitumia ile kauli ya ' Baniani mbaya, kiatu chake dawa', kwa kuamini usaidizi huo wa CCM ni ili kukisaidia kushinda!. CUF kilitakiwa kutumia ' I fear the Greeks, especialy when they bring gifts!'.

Kama tetesi hii ni kweli, then ushindi wa CCM huko Igunga ni wazi, lakini ikitokea ikashindwa uchaguzi huu, basi CCM ndio basi tena, itakuwa ni ' La kuvunda hali hitaji ubani'!, safari ya kuelekea kaburini ndio itakuwa imeanza rasmi!

Naomba kuwasilisha

Pasco

Angalizo: Pasco wa jf sio mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha siasa na kwa vile hizi ni tetesi, sitarajii kuulizwa source, ukweli wa tetesi hizi utajihirika baada ya matokeo, maana watu lazima watashikana mashati!.
 
Nahisi ushamba ndio unaotuhangaisha. Iweje kufanya kampeni kwa helikopta iwe ndio sababu ya wananchi wachague chama? Wananchi wangekuwa wanahoji, wangeuliza kwa nini vyama vinatumia mamilioni kila siku kwa gharama za helikopta ilihali watoto wao wanasoma chini, barabara zao hazipiti, hakuna maji, umeme....na adha nyingi tu?
Nitashangaa sana kuona wananchi wanachagua chama kilichokwenda na helikopta nyingi badala ya sera za maendeleo.
 
kama si ccm wala chadema lazima uko TUCTA
 
aah jaman j2 klak2 ktakuwa waz. Kama helkopta o sera ndo zna determine ushnd 2tajua kwan 'ukubwa wa pua cowng wa makamac' mwny kchwa na aelewe

Hebu andika vizur maneno yako usitulee uhuni hapa sio facebook. Sio lazima kuchangia unaweza kusoma tu mawazo ya wengine tu.
 
Leo ni siku ya wazee duninani.
Huyu mzee mmempa zawadi na keki?? au mnamtumia tu kama
mangula.jpg

Katika watu waliojidhalilisha ndani ya CCM ni huyu Mzee, sikuwa najuwa kama hamnazo kiasi hiki! Kikwete alimterekeza hadi kupigwa chini M/kiti wa CCM Iringa alipojaribu kugombea na bado ajabu nashangaa huu muda wa mwisho wa Kikwete amekubali kutumika kama Mpira wa K*ndom.
 
Aisee samahani natoka nje ya topic, ulishwahi kutwambia Rostam amefanya makubwa Igunga, sasa kuna thread hii hapa unaweza kutuwekea hayo makubwa ya Rostam huko Igunga zaidi ya umaskini tunaouona?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...makubwa-yaliyofanywa-na-rostam-ni-yepi-3.html

Nakuonea huruma sana kwa kuwa una umaskini wa asili. Umaskini wa asili ni unapoona mapungufu ya mmoja ukayahusisha na mwingine na ukashindwa kuelewa kuwa ukitaka kubadilisha mwenzako kwanza ubadilike wewe.

Sasa niambie, wewe na Rostam wa Igunga ni nani aliyebadilika?
 
Wanabodi,

Angalizo: Pasco wa jf sio mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha siasa na kwa vile hizi ni tetesi, sitarajii kuulizwa source, ukweli wa tetesi hizi utajihirika baada ya matokeo, maana watu lazima watashikana mashati!.

Pasco tunakuheshimu sana hapa jamvini, we anza kuja na nyepesinyepesi, oohoo!!
 
chadema nao wakipata mume labda kelele zitapungua

Uliwahi kuona dume lijari lina bwana!!! Dume kazi yake ni kufyatua majike tu...... na kupewa shukrani kwa kuitwa baby!!! hiyo huwa ni hang over ya utamu wa kufyatuliwa.
 
Pasco tunakuheshimu sana hapa jamvini, we anza kuja na nyepesinyepesi, oohoo!!
Kakalende, kwanza asante kwa heshima mnaoniheshimu. Wengi wa wana jf wanatake sides kwenye politics ama ni CCM, CUF na au Chadema. Mimi sina chama, sio mkereketwa na sio mshabiki. Hivyo nilipoipata hii nikaishusha kama ilivyo.

Kwa wanaoniheshimu, wataendelea kuniheshimu kama hiyo heshima nili i earn genuinely, na inaendelea kuwepo. Lakini hiyo heshima kama sio genuine, then , there is no way lazima itapotea tuu.
 
Sasa tetesi nyingne ni kwamba helikopta zote tatu zimetoka kwa Mafisadi wakiongozwa na Rostam. Ya CC ya Chadema na ya CUF wote wamelipiwa na RA na kuna kila sababu. Lakini kwa kweli CUF wamechemsha sana maana sasa ni wazi mchuano ni CDM na CCM maana CUF hawajulikani wako wapi, ni wapinzani ama chama tawala so wale wana mageuzi wamewakimbia na wana CCM wameenda kwenye CCM yao na tayari vigogo wao wameshaanza kuondoka Igunga jioni hii nimekutana nao Nzega na ndiko nimekuta wakisema Cdma bao wamepewa fedha za helikopta na RA na wakibisha nitawaumbua na hiyo ya Pasco ni ya kweli wamesema wenyewe nikiwasikia wakitokea Igunga na wengione wamelewa wanajifanya mashehe na mmoja hanijui ananiangalia jicho hiloooo!!! Hadi nikaogopa
 
Nakuonea huruma sana kwa kuwa una umaskini wa asili. Umaskini wa asili ni unapoona mapungufu ya mmoja ukayahusisha na mwingine na ukashindwa kuelewa kuwa ukitaka kubadilisha mwenzako kwanza ubadilike wewe.

Sasa niambie, wewe na Rostam wa Igunga ni nani aliyebadilika?
Hiki kirusi kinachojiita FaizaFoxy ni cha hatari kuliko kile cha ukimwi na kimeta! Ni kirusi pandikizi-haramu! Inaonekana kila habari inayotoka humu chenyewe kinajaribu kupachika mianya ya udini tu! Hiki ni kirusi kilichosheheni roho ya fitina ya jini Makata na Maimuna na kilichojaa harufu chafu ya udini!
 
Back
Top Bottom