Kumbe Helicopter ya CUF huko Igunga, imetolewa na CCM!

unajua watu jf mtu kama ritz unapomjibu unampa kichwa cha kujiona anapost point ndo maana yuko bize kupost, nawahakikishieni mkimpotezea post zake kwa muda wa mwezi tu bila kuzijibu atajiona **** na wala hamtaona upuuzi wake, tatizo wana jf kuwa bize nae

Watu kama hao ni kuwafungia vioo watoto wao wanaenda chooni kwa kusaidiwa na magamba.
 
Kama ni hivyo basi CCM wanastahili sifa kwa kuwa na mbinu za ushindi.
Leo ni siku ya wazee duninani.
Huyu mzee mmempa zawadi na keki?? au mnamtumia tu kama
mangula.jpg
 
Kama ni hivyo basi CCM wanastahili sifa kwa kuwa na mbinu za ushindi.

aaa! Kumbe huyu kijana nilikuwa nashinda kumwelewe, kumbe ana mental retardation, hivi unaweza kusifu mbinu chafu zinazo tumiwa na ccm kudhulumu haki za watanzani. Leo nimeprove huyu kijani ni hamnazo kabisaa.
 
Achana na FF, huyo ni mcha Mungu wa msimu. mwezi Ramadhani anafunga, hatendi dhambi, haandiki upumbavu wake humu. Ule mwezi ukiisha tu, anaanza kuuza tena.
 
unajua watu jf mtu kama ritz unapomjibu unampa kichwa cha kujiona anapost point ndo maana yuko bize kupost, nawahakikishieni mkimpotezea post zake kwa muda wa mwezi tu bila kuzijibu atajiona **** na wala hamtaona upuuzi wake, tatizo wana jf kuwa bize nae

Ben geniuous, wa Vingunguti kwanza unatakiwa ufahamu kuwa JF sio ya CMD.
Halafu humu hakuna uadui kama unaoutaka, JF kwangu ni faida nimepata marafiki wengi tu tena wengi ni Pro-CDM wewe kama upendi post zangu kaa kimya dogo!
Kwanza wewe nani anakujua humu JF mpaka afuate maneno yako kwanza wewe ni CDM-kata.
Mzimu wa Ritz unakutafuna kijana kila muda unaweweseka hovyo!
 
Huenda kweli kwani upo karibu na Kenya na hako ka helicopter kamesajiliwa Kenya

5Y-EVG Aerospatiale 350B2 Ecureuil 4439 ZK-IHT,5Y-EVG
 
Duh! Pasco, kama habari hii ni ya kweli it is scary then!!!!!!. CCM Inachoshindwa kukielewa ni kwamba Igunga si mwisho wa chaguzi ndogo, siri hii ikiwa proved kuwa kweli basi ndio kaburi la CUF.

Nyambala kaka, mbona hii sio siri. Aliyoyasema Pasco hayakuanza juzi bali hata wakati wa uchaguzi mkuu uliopita Magamba walitoa fedha kwa CUF kuwasaidia campaign zao. Fedha hizo ndo walizotumia kununua Landcruiser za campaign NA mkakati ukapangwa KUWA CUF waelekeze nguvu zao zote kusini mwa nchi. Rejeeni kumbukumbu zenu za uchaguzi ulopita, you will all note that CUF hawakuwa serious sana NA majimbo ya mikoa ya kaskazini, Nyanda za juu NA kanda ya ziwa. Hizo ni siasa za kina Mobutu Wa Zaire.
 
Efuefu, ni kweli CCM kwa mbinu za ushindi, hawana mpinzani. Tena nilishasema humu jf kuwa CCM itatawala milele!.

Mkuu Pasco,
unashauri kitu gani au unatoa angalizo gani kwa vyama vya siasa ili siku moja tuwang'oe Magamba?
 
Kama ni hivyo basi CCM wanastahili sifa kwa kuwa na mbinu za ushindi.

Kweli dada nafuu na Popo anaetambua mapito yake kwa sauti zake...
Wewe ni zaidi,kuona huoni kutumia akili zako kutambua kilicho mbele yako huwezi! Angalia ccm walivyobanwa na cdm alafu utafakari kuliko kujipa matumaini ambayo mwisho wake utakimbia humu mwenyewe. Soma alama za nyakati
 
Wanabodi,

Kwa jinsi nilivyo mkereketwa wa demokrasia ya kweli, nilitakiwa niwepo Igunga kushuhudia ama historia mpya ya ukombozi wa Tanzania ikijiandika, ama historia ile ile ya ukandamizwaji na uminywaji wa demokrasia ikijirudia, lakini kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao, nimejikuta ndio kwanza nimelazimika kuwa eneo la Kirua Vunjo, huko Moshi Vijijini kwa tukio fulani.

Ni tukiwa tumekaa huku mgombani, sikutegemea uchaguzi wa Igunga ni main topic mpaka huku!. Ndipo siri za CCM zikaanza kuvuja!. Imeelezwa kuwa CCM inaihofia sana Chadema lakini haiihofi kabisa CUF. Pia adui mkuu wa CUF kwenye uchaguzi wa Igunga ni Chadema na sio CCM.
Kufuatia hilo, CCM imeamua kutumia ule mtindo wa 'Adui wa adui yako ni rafiki yako', hivyo wamejoin forces kwa siri against a common enemy Chadema!.

Mtoa habari huyu ndio akatoa siri kuwa hata ile helcopter ya CUF kule Igunga, imetolewa na CCM ili kuzipunguza kura za Chadema!. Kwa maneno mengine, CCM imeshagundua imepoteza mvuto na Chadema ndicho kinachong'ara, hivyo ili CCM ishinde nilazima ipige kampeni ya nguvu kwa CUF ili kuzi split kura za upinzani na yeyenywe kupeta kwa ushindi kiduchu!.

CUF kwa kukubali kusaidiwa na CCM, imeitumia ile kauli ya ' Baniani mbaya, kiatu chake dawa', kwa kuamini usaidizi huo wa CCM ni ili kukisaidia kushinda!. CUF kilitakiwa kutumia ' I fear the Greeks, especialy when they bring gifts!'.

Kama tetesi hii ni kweli, then ushindi wa CCM huko Igunga ni wazi, lakini ikitokea ikashindwa uchaguzi huu, basi CCM ndio basi tena, itakuwa ni ' La kuvunda hali hitaji ubani'!, safari ya kuelekea kaburini ndio itakuwa imeanza rasmi!

Naomba kuwasilisha

Pasco

Angalizo: Pasco wa jf sio mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha siasa na kwa vile hizi ni tetesi, sitarajii kuulizwa source, ukweli wa tetesi hizi utajihirika baada ya matokeo, maana watu lazima watashikana mashati!.

Hutarajii kuulizwa source?! come on pasco, nani akuulize source wakati umeshasema kwamba source yako ni kijiwe cha magwanda kilichopo hapo migombani?!! mie nisharidhika na hiyo source bana na wala sina haja ya kuhoji kwani hizo ndizo source zenu kila cku!!!!
 
Nyambala kaka, mbona hii sio siri. Aliyoyasema Pasco hayakuanza juzi bali hata wakati wa uchaguzi mkuu uliopita Magamba walitoa fedha kwa CUF kuwasaidia campaign zao. Fedha hizo ndo walizotumia kununua Landcruiser za campaign NA mkakati ukapangwa KUWA CUF waelekeze nguvu zao zote kusini mwa nchi. Rejeeni kumbukumbu zenu za uchaguzi ulopita, you will all note that CUF hawakuwa serious sana NA majimbo ya mikoa ya kaskazini, Nyanda za juu NA kanda ya ziwa. Hizo ni siasa za kina Mobutu Wa Zaire.

Na wana Magwanda ambao hawakuwa serious na mikoa ya kusini (Hususani Mtwara na Lindi) na ile ya mwambao walipewa fedha na nani ili kuwanyanyapaa wananchi wa huko?!
 
unajua watu jf mtu kama ritz unapomjibu unampa kichwa cha kujiona anapost point ndo maana yuko bize kupost, nawahakikishieni mkimpotezea post zake kwa muda wa mwezi tu bila kuzijibu atajiona **** na wala hamtaona upuuzi wake, tatizo wana jf kuwa bize nae

Ndo tatizo lenu hilo wapwa; mnataka kila mmoja aandike kile kinachowafurahisha nyinyi pekee!!! Kama mnataka hivyo basi nendeni mkasome post za kwenye notice boards za pale kinondoni makao makuu yenu!!!!!
 
Jamani hao ni wapenzi ati atujui wanaambiananini chumbani usiku, namtu kumnunulia zawadi mkeo si mbaya
 
Back
Top Bottom