Kumbe Helicopter ya CUF huko Igunga, imetolewa na CCM!

hivi mmeshawaza mtu kama ritz anawaza kwa kutumia nini?nina mashaka kama binadamu wote tunawaza kwa kutumia ubongo
 
Ha! Ha! Ha! Huko ni kujiliwaza na kujifariji kwa CDM baada ya kuona mambo magumu Igunga.
Hivi tujiulize Helcopter kukodi ni kiasi gani ambacho CUF watashindwa kugharamia kulipia hiyo Helcopter! CUF wanapata Ruzuku Milioni 110 kwa mwezi, wamejenga Jengo lao wenyewe, CDM bado wanapanga pale Uswahilini Manyanya mtaa wa Ufipa Kinandoni.

Sasa Mkuu Pasco, upo maeneo ya Kirua, Vunjo Moshi Vijijini unategemea, huko utapata habari njema kwa CUF.
Kingine mbona hizo Helcopter zipo pale Nakuru Kenya wanakodisha kama Tax tu, CCM wamewanunulia CUF Helcopter au wamewakodia?
Hao ndio cdm wanawakujilipua,huwa wanafanya hayo kwa maslahi ya matumbo yao,na hili usiwabane mbavyo utasikia wanasema tetesi,vp tetesi kuwa viongozi wa cdm ni majambazi,tetesi kuwa chama chenu kina muelekeo hasi kwa kila kitu kinachofanywa na watu wenye mtizamo kinyume na wao.
 
Pasco ahasnte kwa tetesi na waswahili walisema lisemwalo...
Lakini hata kama ccm itashinda ... safari ya kaburini ni lazima. CCM ya leo imechoka, inatumia rafu na ulaghai kupata kura. Usalama wa taifa, wasanii wa sanaa, polisi, wakuu wa wilaya na mikoa, fujo, ....hvi vyote vina uhusiano gani na kampeni? Imejaribu kurudia hata vikokwe vilivyostaafu siasa kuitetea lakini wapi....
Ni wazi hizi ni siku za mwisha za CCM.

Last days of CCM Life
 
Kumbe matoto ya chadema yana uchizi! Munaandika upuuzi halafu mnapongezana!
 
Mke ni mke tuu hata kama ana mshahara kama wako kumnunulia gauni sio jambo geni. Sasa CCM kuikodia CUF huo usafiri sio ajabu maana ni mtu na mpenziwe.
chadema nao wakipata mume labda kelele zitapungua
 
Ha! Ha! Ha! Huko ni kujiliwaza na kujifariji kwa CDM baada ya kuona mambo magumu Igunga.
Hivi tujiulize Helcopter kukodi ni kiasi gani ambacho CUF watashindwa kugharamia kulipia hiyo Helcopter! CUF wanapata Ruzuku Milioni 110 kwa mwezi, wamejenga Jengo lao wenyewe, CDM bado wanapanga pale Uswahilini Manyanya mtaa wa Ufipa Kinandoni.

Sasa Mkuu Pasco, upo maeneo ya Kirua, Vunjo Moshi Vijijini unategemea, huko utapata habari njema kwa CUF.
Kingine mbona hizo Helcopter zipo pale Nakuru Kenya wanakodisha kama Tax tu, CCM wamewanunulia CUF Helcopter au wamewakodia?

Soma vizuri post yake utaelewa acha kukurupuka wewe.
 
unajua watu jf mtu kama ritz unapomjibu unampa kichwa cha kujiona anapost point ndo maana yuko bize kupost, nawahakikishieni mkimpotezea post zake kwa muda wa mwezi tu bila kuzijibu atajiona **** na wala hamtaona upuuzi wake, tatizo wana jf kuwa bize nae
 
Ha! Ha! Ha! Huko ni kujiliwaza na kujifariji kwa CDM baada ya kuona mambo magumu Igunga.
Hivi tujiulize Helcopter kukodi ni kiasi gani ambacho CUF watashindwa kugharamia kulipia hiyo Helcopter! CUF wanapata Ruzuku Milioni 110 kwa mwezi, wamejenga Jengo lao wenyewe, CDM bado wanapanga pale Uswahilini Manyanya mtaa wa Ufipa Kinandoni.

Sasa Mkuu Pasco, upo maeneo ya Kirua, Vunjo Moshi Vijijini unategemea, huko utapata habari njema kwa CUF.
Kingine mbona hizo Helcopter zipo pale Nakuru Kenya wanakodisha kama Tax tu, CCM wamewanunulia CUF Helcopter au wamewakodia?
ritz, bahati mbaya sana mimi sio Chadema, jukumu langu ni kusema tuu nilichosikia. Kwa uswahiba wa CCM na CUF na ile ndoa yao kule ZNZ, then kukodishiana helicopter si habari mbaya, ni habari njema tuu kwani mafao ya ndoa yanawafaidia wote!.
 
Pasco si unajua ule msemo maarufu wa wamachinga pale mtaa wa Kongo,MPENDE MKEO.
 
SIKU zote CDM wakiishaanza propaganda za kitoto dhidi ya CUF ujue wako maji ya shingo.Huu ndo uthibitisho kwamba CDM wanaihofia CUF na wanajua kwamba mgombea wa CUF anawapigakura wengi sana na atashinda.CHOPA YA CUF INAWATIA KIWEWE.KESHO CHALI
 
ritz, bahati mbaya sana mimi sio Chadema, jukumu langu ni kusema tuu nilichosikia. Kwa uswahiba wa CCM na CUF na ile ndoa yao kule ZNZ, then kukodishiana helicopter si habari mbaya, ni habari njema tuu kwani mafao ya ndoa yanawafaidia wote!.

Ha! Ha! Ha! Pasco bana,
Mkuu nimekuelewa!
 
Back
Top Bottom