Kumbe Helicopter ya CUF huko Igunga, imetolewa na CCM!

Waganga njaa wanaouza utu na heshima yao kwa ndururu, na zawadi za shanga ambazo hazitawasaidia chochote matokeo yake mambo yakiwa magumu unarusha ngumu kuonyesha uaminifu kwa bwana wako mtwana wewe!!!!!
 
If the truth be told how pleasant before God and Mankind baada ya uchaguzi helicopter zibakie Igunga kuhudumia dharura za wananchi mfano safe motherhood.
 
twende taratibu kaka pasco!.. nikuombe tu uje kuomba radhi hapa ikidhihirika tofauti,kumbe vikao vya mbege navyo vina mambo!.. anyways,ahsante kwa hii!.. imewafurahisha mno magandwa!..
 
Am not shocked by CCM corrupt actions but very disappointed by Tanzanian voters response to this.For a few throw aways they still vote for CCM to keep them in poverty. VERY SAD INDEED
Victim, don't be shocked by CCM corrupt actions, corruption in Tanzania is order of the day, some people ask for it but others just offer without being asked!
And please don't be disappointed by we Tanzanians for voting in CCM time and time again despite dragging us in object poverty. This is because, we our poverty is God give. Some people are born rich while others are born poor, the same applies to nations, some are rich and others are poor, very unfortunately for Tanzania, we are just poor because we are poor. Even our head of nation was quoted saying "I don't know why we are poor" which means its just happened that way and we'll remain that way.

Most Tanzanians strongly believe CCM has nothing to do with our poverty there for we'll keep choosing CCM forever and you will see a new testimonial today with Igunga results!

Being poor is not a sin, the one who has never tested honey, will vote for sugar as the sweetest thing on earth, and because he has never tested honey before, one can not miss something he has never had, therefore poverty is the only sugar we know and we are used to. Honey is the prosperity we should have, but because we have never tested before, not only we cannot wish but also we cannot miss something we never had, so we'll keep choosing CCM that brings the sugar we know and tested and we ditch all chances of tasting honey!

Long live CCM!
 
Hiki kirusi kinachojiita FaizaFoxy ni cha hatari kuliko kile cha ukimwi na kimeta! Ni kirusi pandikizi-haramu! Inaonekana kila habari inayotoka humu chenyewe kinajaribu kupachika mianya ya udini tu! Hiki ni kirusi kilichosheheni roho ya fitina ya jini Makata na Maimuna na kilichojaa harufu chafu ya udini!

Mkishindwa hoja huwa mnaanza kumuingilia FaizaFoxy. Unanchekesha!
 
twende taratibu kaka pasco!.. nikuombe tu uje kuomba radhi hapa ikidhihirika tofauti,kumbe vikao vya mbege navyo vina mambo!.. anyways,ahsante kwa hii!.. imewafurahisha mno magandwa!..
sinapindu, tetesi haiombewi radhi ndio maana ikaitwa tetesi, itakapodhihirika ni kweli, inageuka sio tetesi tena bali ni fact, na kidhihirisha vinginevyo, tetesi hiyo hujifia natural death kuwa kumbe ilikuwa ni tetesi tuu ambayo haiombewi radhi kwa sababu nimesema tuu kile nilichosikia.
 
aaa! Kumbe huyu kijana nilikuwa nashinda kumwelewe, kumbe ana mental retardation, hivi unaweza kusifu mbinu chafu zinazo tumiwa na ccm kudhulumu haki za watanzani. Leo nimeprove huyu kijani ni hamnazo kabisaa.

Mbinu chafu ndio ipi, kwa maneno tu? onyesha mchezo mchafu uliofanyiwa.
 
Sasa tetesi nyingne ni kwamba helikopta zote tatu zimetoka kwa Mafisadi wakiongozwa na Rostam. Ya CC ya Chadema na ya CUF wote wamelipiwa na RA na kuna kila sababu. Lakini kwa kweli CUF wamechemsha sana maana sasa ni wazi mchuano ni CDM na CCM maana CUF hawajulikani wako wapi, ni wapinzani ama chama tawala so wale wana mageuzi wamewakimbia na wana CCM wameenda kwenye CCM yao na tayari vigogo wao wameshaanza kuondoka Igunga jioni hii nimekutana nao Nzega na ndiko nimekuta wakisema Cdma bao wamepewa fedha za helikopta na RA na wakibisha nitawaumbua na hiyo ya Pasco ni ya kweli wamesema wenyewe nikiwasikia wakitokea Igunga na wengione wamelewa wanajifanya mashehe na mmoja hanijui ananiangalia jicho hiloooo!!! Hadi nikaogopa
Tina, nimeipenda hii, kama Chadema imefadhiliwa na fisadi RA,hii ni kali kuliko na ilistahili thread yake. Japo mimi sio Chadema, wala siwatetei Chadema, ila kwenye hili la helcopter naomba niwatee, Chadema ndicho chama pekee chenye helcopter zake 2 hapa nchini Tanzania. Ile ya CCM na ya CUF wamekodisha toka Kenya.

Ila hata kama ni kweli helcopter ni yao, hii haizuii RA kuwafadhili ili kuihujumu CCM ambacho kinafuata siasa uchwala kwa mujibu wa RA siku alipojivua gamba.

Politics is a dirty game!, hivyo mpinzani kumfadhili mpinzani wa chama chake kwa malengo ya kisiasa pia ni sehemu ya hizi dirty games.

Aliyemfadhili Mchungaji Mtikila kuendesha ile kesi mgombea binafsi, ni mwana CCM fulani tajiri ili ikipita, utupe karata yake!.

Kuna taarifa ya Chadema kufadhiliwa kiaina na mwana CCM fulani kabla ya Sabodo kujitokeza kufadhili waziwazi.

Hivyo sitashangaa Chadema kufadhiliwa na RA as long as the end, justifies the means!
 
Sasa tetesi nyingne ni kwamba helikopta zote tatu zimetoka kwa Mafisadi wakiongozwa na Rostam. Ya CC ya Chadema na ya CUF wote wamelipiwa na RA na kuna kila sababu. Lakini kwa kweli CUF wamechemsha sana maana sasa ni wazi mchuano ni CDM na CCM maana CUF hawajulikani wako wapi, ni wapinzani ama chama tawala so wale wana mageuzi wamewakimbia na wana CCM wameenda kwenye CCM yao na tayari vigogo wao wameshaanza kuondoka Igunga jioni hii nimekutana nao Nzega na ndiko nimekuta wakisema Cdma bao wamepewa fedha za helikopta na RA na wakibisha nitawaumbua na hiyo ya Pasco ni ya kweli wamesema wenyewe nikiwasikia wakitokea Igunga na wengione wamelewa wanajifanya mashehe na mmoja hanijui ananiangalia jicho hiloooo!!! Hadi nikaogopa

Tina hii habari ni sensitive, lakini inatia mashaka kwa sababu umeisikia baa, tena kutoka kwa walevi, na wengine inaonekana walikuwa wanajiongelesha tu ili kudraw attention yako waweze kukutongoza... ndo maana walikuwa wanakuangalia kwa 'jicho'...
 
Mbonyi meku.KV ya wapi?Japokuwa umesema si mpenzi wa chama chochote nahisi una mapenzi na CDM.Niko Kongo.
 
Mbonyi meku.KV ya wapi?Japokuwa umesema si mpenzi wa chama chochote nahisi una mapenzi na CDM.Niko Kongo.
Schofild, mimi sio meku, ni chapa ng'ombe. Nimekuja kidogo hapo Uparo, baadaye nitapanda Sumi hadi pale Iwa, nitashukia Tella na kupenya ndani kwa ndani hadi kuchomokea pale Mandangeni na kushusha Kawawa Rd, pale nitatia kituo kidogo kupata ile kitu ndipo nitaishia zangu MS.
 
Mkuu Pasco,
unashauri kitu gani au unatoa angalizo gani kwa vyama vya siasa ili siku moja tuwang'oe Magamba?
ritz, mimi sina chama na sio mshabiki wa vyama bali maslahi ya taifa.

Niliwahi sema CCM imechokwa siku nyingi bado tuu kutapikwa, kuna ushauri niliutoa humu kwa CCM, wenyewe hawakujibu kitu ila tuu nilishuhudia utekelezaji ambao utakamilishwa na zoezi la kuvuana magamba.

Pia nilisema wengi wanaichagua CCM kwa mazoea tuu sio kwa sababu wanaipenda sana, ila pia nikasema watu hawakuipa Chadema kura za kutosha kwa sababu Chadema haijajipanga, kwa manazi wa Chadema humu niliishia kutukanwa!

Unaweza kuusoma ushauri wangu [h=3][/h][h=3]hapa[/h]

 
Ben geniuous, wa Vingunguti kwanza unatakiwa ufahamu kuwa JF sio ya CMD.
Halafu humu hakuna uadui kama unaoutaka, JF kwangu ni faida nimepata marafiki wengi tu tena wengi ni Pro-CDM wewe kama upendi post zangu kaa kimya dogo!
Kwanza wewe nani anakujua humu JF mpaka afuate maneno yako kwanza wewe ni CDM-kata.
Mzimu wa Ritz unakutafuna kijana kila muda unaweweseka hovyo!
jiangalie wewe kichwa nazi utabaki hivyohivyo na utabiri wako usio wa msing kama ngugu yako marehemu wa pale magomen, mara vingunguti mara nini,mjinga wewe
 
Kama ni hivyo basi CCM wanastahili sifa kwa kuwa na mbinu za ushindi.

Mmmh! Much shocked by this kind of Great Thinking!!! Which school did you you go madam fox? And which part of the society do you serve, what a loss we have got in the service!! Do you really see that as a strategy.

Advice:- Try to cover you a.ss!!

Woooowooooh!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom