Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Wanajamvi.

Kutokana na kile kinachooneka kwamba ni KUSHAMIRI NA KUOTA MIZIZI KWA MFUMO KRISTO NDAN YA NCHI HII hali imeeendelea kuwa kizungumkuti kuhusu Suala hili la mahakama ya KADHI baina ya Jamiii ya waislam na hawa ndugu wengine wa upande wa pili.

Pindi ambapo waislam walikuwa wanapendekeza sheria ya mahakama hiyo ya kadhi itambuliwe kisheria tayari Wakristo walishadhirasimisha mahakama hizo na hakuna kipongamizi chochote walichopata kutoka kwa waislam??

Na huko kuzirasimisha bila shaka kumepata ridhaa ndan ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania??

Mahakama hizo za kanisa hushugulikia migogoro ya ndoa...likewise mahakama za kadhi hushughulikia mambo ya ndoa na mirathi...hakuna mambo ya jinai yanayoweza shughulikiwa na mahakama hizo sasa tatizo liko wapi??

Maaskofu wameshinikiza kila aina ya mashinikizo eti hili suala ligonge mwamba ili hali wao tayari suala hili wanalo na hakuna aliewapinga.

Tatizo ni nin lakin??

Naweka hii attachment hapa chini inayoonesha na kuthibitisha hiki tunachokisema na KUITAHADHARISHA SERIKALI SUALA LA KUUMBATIA MFUMO KRISTO NA MASHINIKIZO YA MAASKOFU YASIYO NA TIJA YATALIPELELEA TAIFA HILI SEHEMU MBAYA.

HII NI NCHI YETU SOTE NA KILA MTU ANA HAKI YA KUPATA HAKI ZAKE ZA MSINGI KIKATIBA IKIWEMO HAKI HII YA UHURU WA MAMBO YA IMANI.

KIPI SASA KOLICHOFANYA SHERIA HII NA BUNGE KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KANISA NA IWE SHIDA KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KADHI?

UKIANGALIA HII ATTACHMENT HAPA CHINI UTAONA KWAMBA MTU KAITWA KWENDA MAHAKAMA ZA KANISA KWA R.B YA POLISI NA MAANA NI KWAMBA AKIKAID POLISI ITAMCHUKULIA HATUA.

POLISI HAWA WANAOENFORCE HIYO SHERIA SI WANATUMIA KODI YETU PIA?

IWEJE KODI YETU SISI ITUMIKE KUTEKELEZA ORDER ZA MAHAKAMA ZA KANISA??

HII SIO HAKI NA MWISHO WAKE SIO MWEMA.

DOUBLE STANDARDS YA NIN?

Big Show ! hujui unachoongea,mahakama hiyo ipo toka zamani sana,kwa sasa Jaji mkuu ni Askofu Severini niwemugizi wa Jimbo katoliki Rulenge,haipo kwa siri,kuanzishwa kwake hakukuhitaji kutambuliwa na serikari,wala haitumii hata shilingi ya serikali.

mAHAKAMA HIYO IPO PIA NCHI NYINGI DUNIANI ZENYE,IKITUMIA CANON LAW.

nYIE ANZISHENI YA KADHI,sHIDA YENU MNATAKA IENDESHWE NA GHARAMA ZA SERIKALI! IN SHORT YOU ARE A LAY MAN OF CATHOLIC AFFAIRS,BETTER STAY SILENCE!

http://en.wikipedia.org/wiki/Ecclesiastical_court

An ecclesiastical court, also called court Christian or court spiritual, is any of certain courts having jurisdiction mainly in spiritual or religious matters. In the Middle Ages in many areas of Europe these courts had much wider powers than before the development of nation states. They were experts in interpreting Canon law, a basis of which was the Corpus Juris Civilisof Justinian which is considered the source of the civil law legal tradition.
 
Kama ni hivyo mngekuwa na POLISI WENU AMBAO WATATUNIKA KUIENFORCE HIZO AMRI ZA WITO WA MAHAKAMA ZA KANISA.

ITS NON OF MY BZNESS UNAPONILETEA HABARI ZA PAPA.

WHO IS PAPA TO ME??

SIMJUI NA SINA HAJA YA KUMJUA.
,
HAPA HOJA SI NI PESA YA SERIKALI????,

Sasa hawa POLISI MNAOWATUMIA KUANDIKA R.B ZA WITO WA MAHAKAMA ZA KANISA SI HUTUMIA PESA SA UMMA?si wanatumia kodi zetu pia??

Mnataka KUTUFANYA SISI WAJINGA SIYO??

MAMBO HAYA YALIWEZEKANA ENZ ZA NYERERE TUH.

Humjui Papa? Na hutaki kumjua? Serious?
Wewe kweli umevurugwa...
 
uislam wenu utakamilika pale mtakapoacha kusoma kwenye shule.....vyuo vya kanisa hata zile alizotaifisha mwalimu...pia mtakaporudisha chuo cha tanesco mlichoazimwa.....pia mtakapo acha kutibiwa kwenye hospitali za kanisa....mtakapoacha kuchangamana na wakristo.....mtakapoacha kutumia vitu vilivyotengenezwa na makafiri...mf TV,magari,miswaki hata chupi mnazovaa...nk..enyi wanafki....kwa nini mtumie vitu vya makafiri.?unafiki u
mewajaa mpaka matakoni kwenu.....kila siku mnalalamika....cha ajab ndo wa kwanza kutibiwa DDH.....kuliko hata wakristo wenyewe.....HAKUNA JAMBO GUMU DUNIANI KAMA KUISHI NA SHETANI(MUISLAM) KARIBU

makavu laivu, utawakuta wamejaa hospitali za ndanda na nyangao huku lindi, watoto wa maalhaji wanasomea shule za kanisa, eti mtumikie kafiri
 
Wanafunzi wa vyuo vikuu tunataka tuwe na mahakama zetu. Wahadhiri nasi tunataka Mahakama zetu. Waalimu nasi tupewe mahakama zetu, wafanyakazi wa mashirika yasiyo ya kiserikali nasi tunaka zetu.
 
kwa hiyo wewe mtu akiuza kahawa hana elimu mbona huku moshi watu kibao tu wanauzA kahawa Umetaja wenzio hawajasoma unazungumzia elimu gani? sisi tunao wasomi tena waadilifu sio akina Chenge rugemalila tibaijuka lowasa kilaini maige werema nk. Umesema mahakama za kanisa zinajiendesha huo ni uongo uliotukuka zinaendeshwa na fedha za mou me naona busara tutengane tunakoelekea si kuzuri

Nani na nani watengane? Kivipi?
 
haya mambo yanakuwa magumu sana kutokana na viongozi wetu wa dini ya kiislam kuwa wanafiki.viongozi wa taasisi yetu ambayo ccm na serikali yake imeikumbatia yaani BAKWATA viongozi wake wengi ninjaa kupindukia.hawana misimamo na dini yao.
waislam tutachelewa sana kupata uhuru wa kuabudu ktk hii jamhuri ya kipagani.

fanya uchunguzi mwa makatibu na wenyeviti wa bakwata mkoa na wilaya utaona viongozi wao wengi ni wazee ambao hata kanzu aliyo vaa nimtihani yaani imechoka kuliko maelezo.
sasa viongozi kama hawa ambao hata kula yao na vaa yao na elimu ya mazingira imewapiga chenga ukawakutanishe na kina kilaini lazima watafyata mkia nakutii matakwa ya kanisa.

hatuwezi kupata haki bila ccm kufa na bakwata kufa kamwe.

Mkuu,

Umenena vyema, ila kuna mahala unakosea, Nimegundua kumbe hata wewe bado ni Mjinga kama wengine. Sikia, Ukristo sio Adui yako, hata Askari sio adui yako, Bakwata sio Adui yako, Maaana hakuna Kiongozi Padri ama Mkristo Mule Bakwata. Wote ni Waislamu kama wewe. So technically Chombo cha Bakwata sio Adui kwako. Adui ni UJINGA. Kama unge wahimiZa Waislamu wenzako waongeze bidii ktk katika Elimu, labda usingetumia huo Mfano wa Kilaini na huyo Shekhe ulemtaja kufyata Mkia.

Nasema wakristo sio Adui zako, ni ndugu zako. Adui yako ni Ujinga. Kama kuna haja ya mabadiliko basi mngeanza kuwatumia hao Waislamu ambao tayari wapo kwenye nafasi kubwa za kufanya Mabadilika. Hata Mh. Raisi sio Mkristo, so kama hata yeye haoni hayo ninyi mnayoyaona, ni wajibu wenu kufanya bidii ya kumuona angalau wazo lenu likafika masikioni mwake. Hata Makamo wake sio Mkristo.

Achane kuleta Lugha za kichochezi, ninyi msipokuwa makini ndio mtakao leta ama sababisha machafuko ya kidini kwa maneno yenu ya kuuita mfumo ulioko sasa ni mfumo kristo.

Acha Ujonga, You actually Fighting the wrong Enemy. Its Like hitting your own brother, whom you share same Room. Adui yako UJINGA.
 
Threads za kizushi kama hizi sijui kwa nini zinaachwa. Mleta mada hana evidence, hataji kifungu chochote ch Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambacho kinazitambua hizo mahakama za kanisa, hana evidence yoyote ambayo inaonyesha kuwa serikali inazihudumia hizo mahakama, hana evidence zozote kwa polisi wanakwenda kukamata watuhumiwa na kuwapeleka kwenye mahakama za kanisa, bado tu Moderator wanaziacha post kama hizi tena kwenye suala nyeti kama hili linalohusu mustakabali wa watanzania. Hii si sawa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Bigshow unachaganya mambo! Taasisi za kidini zinaanzishwa na Waumini wenyewe na si vinginevyo. Taasisi za kiislamu zinatakiwa zikutane ili kuunda chombo hiki kwa ajili ya waumini wao (Kitu ambacho unajua dhahiri hakiwezekani kwa kuwa Waislamu wenyewe hawako wamoja katika hili). Mmekuwa mnaipinga sana Bakwata kwamba ni chombo cha serikali na wakati huo huo mnataka Mahakama ya Kadhi ianzishwe na Serikali tena kwa sheria ya Bunge. To me this is a contradiction. Lengo lenu haswa na huu ndiyo ukweli mnataka Mahakama ya Kadhi ambayo itakuwa inaendeshwa na Serikali kwa sababu itakuwa tayari na nguvu ya Kisheria, hivyo tutakuwa na mahakama zakadhi za wilaya 150, za mikoa 25 na taifa 1 au 2 na kila moja ikiwa na wafanya kazi at least 5. You can imagine the implications to the Government na serikali haitaweza kukwepa hilo kwa kuwa tayari mahakama hizo zitakuwa na nguvu ya kisheria.
Mahakama za Kanisa haziendeshwi na Serikali wala hazihitaji Sheria ya Bunge kufanya kazi wala Wachungaji na Maaskofu hawalipwi na Serikali hivyo ni vyema mkajifunza wenzenu wanafanikiwa vp wakati nyie mnashindwa. Ni ushauri tu.

Mkuu. Umenena Vyema sana.
 
Mambo yale yale, kheri yetu sisi atheists.......religion is an opium of the people! Katiba iko wazi, nchi yetu haifungamani na imani yoyote ya kidini. Unataka serikali ambayo haina dini itunge sheria ya kuanzisha chombo cha dini!! Tayari Judicature and Application of Laws Act, inatambua Mohammedan laws, ni swala la nyie waislam kuanzisha na kuendesha Kadhi Court kwa pesa zenu, kwani hii ni sehemu ya ibada na imani yenu. Otherwise, serikali itafungua 'pandoras box' kwa mgongo wa kujikusanyia kura za waislam, think big!
 
Huko Uislamuni ukitaka kupatanishwa na mkeo shehe hawezi kuhusika? Tatizo mnataka iwe mahakama kamili iendeshwe na serikali
 
Waislamu rudini tena shule. Kwa upeo mlionao mtaishia kutembea na majambia kiunoni na kuwa dodoki la CCM. Anzisheni wenyewe mahakama zenu na mzigharamie wenyewe. Hakuna dezo. Serikali haina dini. Acheni ujinga - ukosefu wa elimu.
 
Sijui watu wanaosema mahakama zilizopo ni za kikristo wanasema kwa kujua au wanataka kupotosha umma na ukweli? Waislamu wanataka mahakama ya kadhi kwa ajili ya ndoa - je ni wapi au maandiko yapi yanaruhusu ukristo kutengua ndoa ambao mahakama zilizopo zinawahusu? Waislamu wanadai mahakama ya kadhi kwa ajili ya mirathi - je ni wapi au maandiko yapi yanalinganisha ukristo na mirathi na sheria zinazotumika mahakama zilizopo?

Mimi sidhani haya ya mahakama zilizopo kuwa za kikristo au kuzingatia sheria za kikristo ni hoja yenye nguvu. Ukiangalia amri kumi za Mungu ndani ya Biblia nafikiri hazina tofauti na amri za Mungu ndani ya Kuruani na hizi ndiyo msingi wa maisha adilifu ya kisheria. Labda tofauti ni adhabu inayotolewa kwa makosa hayo!?
 
Serikali imewapa chuo cha Tanesco Moro bure. Mkakifanya chuo kikuu. Badala ya kukitumia vizuri mpevuke Kiakili, ninyi mnakitumia kusomea sharia! Haya sasa, wote kuweni mashehe wa misikiti!
 
Huu hapa Uthibitisho

Hizo ni classified ads tatu (3), zilizokatwa kijanja, kupotosha! Juu kuna tangazo la polisi, kati kuna tangazo la RC, na mwisho kuna tangazo la mahakama ya kazi. Matangazo hayo matatu yamepigwa yamepigwa picha kijanja yaonekane kama ni muda. Hii ni akili ndogo, huna nia nzuri na watanzania. Otherwise, scan hiyo page yote ya gazeti na share.....😳
 
Tumia akili.

Hizo za kanisa zilikuwapo tokea za zaman kama zilivyokawepo za kadhi.

Hizi za kadhi zikachomolewa na za kanisa zikaachwa.

Hizo za kanisa ZINATAMBULIWA KISHERIA NA POLISI WETU WANATOA HADI R.B KUMPELEKEA MUHUSIKA AENDE KURIPOTI KANISANI KWA KADINALI PENGO...

IWEJE SASA POLISI WETU AMBAO MNASEMA SERIKALI HAINA DINI WATUMIKE KUENFORCE SHERIA ZA KANISA??

USINIULIZE LINI MUSWADA ULIPELEKWE BUNGENI KUHUSU MAHAKAMQ ZA KANISA

FACT NI KWAMBA MAHAKAMA HIZO ZIPO TOKEA KATIBA HII ILIPOANZISHWA.

KWAIYO WAKRISTO KUTUMIA KODI ZETU KUTEKELEZA SHERIA ZA MAHAKAMA ZA KANISA HAKUNA SHIDA

IKIJA KWA WAISLAM NI SHIDA?

Kwahiyo wewe unasemaje na hoja zako za kikiekikie?
 
Wanajamvi.

Kutokana na kile kinachooneka kwamba ni KUSHAMIRI NA KUOTA MIZIZI KWA MFUMO KRISTO NDAN YA NCHI HII hali imeeendelea kuwa kizungumkuti kuhusu Suala hili la mahakama ya KADHI baina ya Jamiii ya waislam na hawa ndugu wengine wa upande wa pili.

Pindi ambapo waislam walikuwa wanapendekeza sheria ya mahakama hiyo ya kadhi itambuliwe kisheria tayari Wakristo walishadhirasimisha mahakama hizo na hakuna kipongamizi chochote walichopata kutoka kwa waislam??

Na huko kuzirasimisha bila shaka kumepata ridhaa ndan ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania??

Mahakama hizo za kanisa hushugulikia migogoro ya ndoa...likewise mahakama za kadhi hushughulikia mambo ya ndoa na mirathi...hakuna mambo ya jinai yanayoweza shughulikiwa na mahakama hizo sasa tatizo liko wapi??

Maaskofu wameshinikiza kila aina ya mashinikizo eti hili suala ligonge mwamba ili hali wao tayari suala hili wanalo na hakuna aliewapinga.

Tatizo ni nin lakin??

Naweka hii attachment hapa chini inayoonesha na kuthibitisha hiki tunachokisema na KUITAHADHARISHA SERIKALI SUALA LA KUUMBATIA MFUMO KRISTO NA MASHINIKIZO YA MAASKOFU YASIYO NA TIJA YATALIPELELEA TAIFA HILI SEHEMU MBAYA.

HII NI NCHI YETU SOTE NA KILA MTU ANA HAKI YA KUPATA HAKI ZAKE ZA MSINGI KIKATIBA IKIWEMO HAKI HII YA UHURU WA MAMBO YA IMANI.

KIPI SASA KOLICHOFANYA SHERIA HII NA BUNGE KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KANISA NA IWE SHIDA KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KADHI?

UKIANGALIA HII ATTACHMENT HAPA CHINI UTAONA KWAMBA MTU KAITWA KWENDA MAHAKAMA ZA KANISA KWA R.B YA POLISI NA MAANA NI KWAMBA AKIKAID POLISI ITAMCHUKULIA HATUA.

POLISI HAWA WANAOENFORCE HIYO SHERIA SI WANATUMIA KODI YETU PIA?

IWEJE KODI YETU SISI ITUMIKE KUTEKELEZA ORDER ZA MAHAKAMA ZA KANISA??

HII SIO HAKI NA MWISHO WAKE SIO MWEMA.

DOUBLE STANDARDS YA NIN?

Huu ni upimbi na kukosa uweZo kufikiria labda si kosa lako na pia kiwango chako cha elimu kuwa ndogo kinachangia!!!
Kwani nyie waislam mmeshindwa kuanzisha hiyo maakama? Nani kawazuia? Acheni uvivu wa kutatua matatizo yenu wwnyewe!!
Hata Kesho anzisheni hiyo mahakama tuone Kama kweli serikali itazuia.
 
Kama ipo umeiona wapi na waislamu wanataka iwe kwenye katiba. Nini tofauti

Back
Top Bottom