Kuna ya waislam ndiyo chanzo cha nchi hii kutokuendelea vema! Hakuna mahakama ya Wakristo, kufungisha na kusuluhisha ndoa sio mahakama, kama ni mahakama kufanya hivyo basi hata waislam wanayo manake masheikh pia hufungisha ndoa! Na toka lini ukaona Wakristo wakibwabwaja kulazimisha mambo ya dini bungeni?
Hopeless thread! Sio ajabu mmetumwa na mafisadi wa CCM kuleta mijadala ya kipuuzi ili kuwa fanya Watanzania wasijadili mambo ya msingi!
wanajamvi.
Kutokana na kile kinachooneka kwamba ni kushamiri na kuota mizizi kwa mfumo kristo ndan ya nchi hii hali imeeendelea kuwa kizungumkuti kuhusu suala hili la mahakama ya kadhi baina ya jamiii ya waislam na hawa ndugu wengine wa upande wa pili.
Pindi ambapo waislam walikuwa wanapendekeza sheria ya mahakama hiyo ya kadhi itambuliwe kisheria tayari wakristo walishadhirasimisha mahakama hizo na hakuna kipongamizi chochote walichopata kutoka kwa waislam??
Na huko kuzirasimisha bila shaka kumepata ridhaa ndan ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania??
Mahakama hizo za kanisa hushugulikia migogoro ya ndoa...likewise mahakama za kadhi hushughulikia mambo ya ndoa na mirathi...hakuna mambo ya jinai yanayoweza shughulikiwa na mahakama hizo sasa tatizo liko wapi??
Maaskofu wameshinikiza kila aina ya mashinikizo eti hili suala ligonge mwamba ili hali wao tayari suala hili wanalo na hakuna aliewapinga.
Tatizo ni nin lakin??
Naweka hii attachment hapa chini inayoonesha na kuthibitisha hiki tunachokisema na kuitahadharisha serikali suala la kuumbatia mfumo kristo na mashinikizo ya maaskofu yasiyo na tija yatalipelelea taifa hili sehemu mbaya.
Hii ni nchi yetu sote na kila mtu ana haki ya kupata haki zake za msingi kikatiba ikiwemo haki hii ya uhuru wa mambo ya imani.
Kipi sasa kolichofanya sheria hii na bunge kuirasimisha mahakama za kanisa na iwe shida kuirasimisha mahakama za kadhi?
Ukiangalia hii attachment hapa chini utaona kwamba mtu kaitwa kwenda mahakama za kanisa kwa r.b ya polisi na maana ni kwamba akikaid polisi itamchukulia hatua.
Polisi hawa wanaoenforce hiyo sheria si wanatumia kodi yetu pia?
Iweje kodi yetu sisi itumike kutekeleza order za mahakama za kanisa??
Hii sio haki na mwisho wake sio mwema.
Double standards ya nin?
Kama ni hivyo mngekuwa na POLISI WENU AMBAO WATATUNIKA KUIENFORCE HIZO AMRI ZA WITO WA MAHAKAMA ZA KANISA.kwanza si za kanisa, sema za kanisa katoliki, ni utaratibu unaojitegemea wa muundo wa kanisa, toka kwa PAPA mpaka kwenye vigango, the church is very organised, halitegemei fungu lolote serikalini na haijihusishi na siasa, hiyo ya kadhi ina siasa ndan yake
Kifungu gani cha sheria kinachozitambua mahakama hizo au katiba ibara ya ngapi inazitambua hizo mahakama?
Kama hujui uliza uambiwe.
Mahakama za kanisa zilikuwapo tokea katiba ya nchi hii inatungwa.
Na Polisi huandika R.B kumtaka muhusika aripoti kwenye mahakama za kanisa
Tena kwa kodi yetu sisi soote.
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba HAKUNA SHEIKH ANAEWEZA KUTUMA R.B YA JESHI LA POLISI KUMWITA MUHUSIKA KSHERIA ILI AFIKE KWENYE MASHAURI YA KADHI KWA KUWA KISHERIA HAIPO.
LAKIN CARDINALI PENGO HUWEZA KUTUMIA R.B YA JESHI LA POLISI KUMWITA MUHUSIKA KWENYE MAHAKAMA ZA KANISA.KWA KUWA KIKATIBA NA KISHERIA ZINATAMBULIKA.
ELEWA HIYO HOJA..UELEWE HIYO HOJA.
samahani kwa hili nitakalolisema,tatizo kubwa kwa waisalamu wasiyoelewa kama wewe,(na maanisha wale wasiyoelewa tu kama wewe),tatizo lao kubwa ni elimu.hizo mahakama za kanisa zinazoshughulikia ndoa na mirathi zinahudumiwa na serikali?kwani mmezuiwa kuunda mahakama zenu wenyewe na kuzihudumia wenyewe kama wakristu wanavyofanya?kwani lazima ziingie kwenye katiba.
Tatizo elimu,elimu ndiyo tatizo kubwa,tatizo kukosa elimu na maarifa,kukosa elimu ndiyo chanzo cha haya yote unayoyaropoka.wakati wenzio wanakwenda shule we umekalia kuuza kahawa vijiweni,mwishowe unatumia kiungo mbadala kufikiri badala ya ubongo
reasoning of a 4 years oldTumia akili.
Hizo za kanisa zilikuwapo tokea za zaman kama zilivyokawepo za kadhi.
Hizi za kadhi zikachomolewa na za kanisa zikaachwa.
Hizo za kanisa ZINATAMBULIWA KISHERIA NA POLISI WETU WANATOA HADI R.B KUMPELEKEA MUHUSIKA AENDE KURIPOTI KANISANI KWA KADINALI PENGO...
IWEJE SASA POLISI WETU AMBAO MNASEMA SERIKALI HAINA DINI WATUMIKE KUENFORCE SHERIA ZA KANISA??
USINIULIZE LINI MUSWADA ULIPELEKWE BUNGENI KUHUSU MAHAKAMQ ZA KANISA
FACT NI KWAMBA MAHAKAMA HIZO ZIPO TOKEA KATIBA HII ILIPOANZISHWA.
KWAIYO WAKRISTO KUTUMIA KODI ZETU KUTEKELEZA SHERIA ZA MAHAKAMA ZA KANISA HAKUNA SHIDA
IKIJA KWA WAISLAM NI SHIDA?
Tuwekee hiyo attachment uliyoahidi, hatuioni..Mkuu big show jaribu kuwashawishi waislamu wenzio waanzishe mahakama ya kadhi isiyotegemea serikali, maana inaonekana ni wachache wanahitaji mahakama hiyo, kwa maslahi yao\yenu binafsi.
Kama hujui uliza uambiwe.
Mahakama za kanisa zilikuwapo tokea katiba ya nchi hii inatungwa.
Na Polisi huandika R.B kumtaka muhusika aripoti kwenye mahakama za kanisa
Tena kwa kodi yetu sisi soote.
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba HAKUNA SHEIKH ANAEWEZA KUTUMA R.B YA JESHI LA POLISI KUMWITA MUHUSIKA KSHERIA ILI AFIKE KWENYE MASHAURI YA KADHI KWA KUWA KISHERIA HAIPO.
LAKIN CARDINALI PENGO HUWEZA KUTUMIA R.B YA JESHI LA POLISI KUMWITA MUHUSIKA KWENYE MAHAKAMA ZA KANISA.KWA KUWA KIKATIBA NA KISHERIA ZINATAMBULIKA.
ELEWA HIYO HOJA..UELEWE HIYO HOJA.