Wanajamvi.
Kutokana na kile kinachooneka kwamba ni KUSHAMIRI NA KUOTA MIZIZI KWA MFUMO KRISTO NDAN YA NCHI HII hali imeeendelea kuwa kizungumkuti kuhusu Suala hili la mahakama ya KADHI baina ya Jamiii ya waislam na hawa ndugu wengine wa upande wa pili.
Pindi ambapo waislam walikuwa wanapendekeza sheria ya mahakama hiyo ya kadhi itambuliwe kisheria tayari Wakristo walishadhirasimisha mahakama hizo na hakuna kipongamizi chochote walichopata kutoka kwa waislam??
Na huko kuzirasimisha bila shaka kumepata ridhaa ndan ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania??
Mahakama hizo za kanisa hushugulikia migogoro ya ndoa...likewise mahakama za kadhi hushughulikia mambo ya ndoa na mirathi...hakuna mambo ya jinai yanayoweza shughulikiwa na mahakama hizo sasa tatizo liko wapi??
Maaskofu wameshinikiza kila aina ya mashinikizo eti hili suala ligonge mwamba ili hali wao tayari suala hili wanalo na hakuna aliewapinga.
Tatizo ni nin lakin??
Naweka hii attachment hapa chini inayoonesha na kuthibitisha hiki tunachokisema na KUITAHADHARISHA SERIKALI SUALA LA KUUMBATIA MFUMO KRISTO NA MASHINIKIZO YA MAASKOFU YASIYO NA TIJA YATALIPELELEA TAIFA HILI SEHEMU MBAYA.
HII NI NCHI YETU SOTE NA KILA MTU ANA HAKI YA KUPATA HAKI ZAKE ZA MSINGI KIKATIBA IKIWEMO HAKI HII YA UHURU WA MAMBO YA IMANI.
KIPI SASA KOLICHOFANYA SHERIA HII NA BUNGE KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KANISA NA IWE SHIDA KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KADHI?
UKIANGALIA HII ATTACHMENT HAPA CHINI UTAONA KWAMBA MTU KAITWA KWENDA MAHAKAMA ZA KANISA KWA R.B YA POLISI NA MAANA NI KWAMBA AKIKAID POLISI ITAMCHUKULIA HATUA.
POLISI HAWA WANAOENFORCE HIYO SHERIA SI WANATUMIA KODI YETU PIA?
IWEJE KODI YETU SISI ITUMIKE KUTEKELEZA ORDER ZA MAHAKAMA ZA KANISA??
HII SIO HAKI NA MWISHO WAKE SIO MWEMA.
DOUBLE STANDARDS YA NIN?
Ha Ha!
RELIGIOUS HALLUCINATIONS @ WORK!!