Wakuu,
Kumbe hata Wakristo wana Mahakama zao, Serikali ifike mahali itungie Sheria Mahakama za Kanisa ili zitambuliwe kisheria na kama ikiwezekana Kikatiba! Naomba kutoa hoja!
![]()
Naweka hii attachment hapa
chini inayoonesha na
kuthibitisha hiki tunachokisema...
weka basi tuone!!!!!
Mfumo wa mahakama uliopo sasa hivi ni wa kikiristo, kwa zaidi ya asilimia 90. Na huu uliachwa na wakolon waingereza ambao walikuwa wakiristo. Kwa maana hiyo basi sheria za nchi ni za kikiristo
Yale yale.
Huwezi kukimbilia kwa mods kuomba ukweli unaokuhusu usisemwe hiyo ni ishara tosha kuonesha kwamba hiki unachoambiwa kimekugusa na kuumiza hisia zako.
Hiyo attachment naiweka.
Network inasumbua hata hivyo siyo ngeni.
Buchanan kwenye uzi wale aliiweka hiyo ATTACHEMNT INAYOONESHA WITO WA MAHAKAMA YA KANISA KWA R.B YA POLISI.
BILA SHAKA UMEIONA ILE ATTACHMENT.
MUHUSIKA ANAANDIKIWA R.B NA JESHI LA POLISI AFIKE MAHAKAMANI NYUMBANI KWA PENGO KUSIKILIZA SHAURI LAKE.
POLISI WANATUMIA FEDHA GANI KAMA SIO ZA UUMMA??
Katiba hiii imekuwa copied tuh huku kwetu so tokea katiba hii inaanzishwa mahakama za kanisa na kadhi zilikuwepo.
Mahakama za kadhi zikachomolewa na NYERERE LAANA IWE JUI YAKE..NA ZA KANISA ZIKAACHWA.
NA UKISOMA KILE KIFUNGU CHA KUENFORCE HIYO AMRI YA MAHAKAMA ZA KANISA KINASEMA.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
MAHAKAMA KUU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
DIVISION YA KAZI.
....WITO WA MASHAURI KWENYE MAHAKAMA ZA KANISA...
HAPO MUHUSIKA KAANDIKIWA R.B NA JESHI LA POLISI...KWA KUTUMIA KODI ZETU SISI PIA WAISLAAM...MUHUSIKA ANAPEWA WIITO ARIPOTI KWA KADINALI PENDO TENA NA JESHI LA POLISI??
KAMA SERIKALI HII HAINA DINI ENHEE IWEJE SASA JESHI LETU LA POLISI LITUMIKE KUTEKELEZA WIITO WA CADINAL PENGO??
SERIKALI HAINA DINI TUNASEMA
SASA IWEJE POLISI WETU WATUMIKE KUTELELEZA AMRI ZA MAHAKAMA??
Kweli hapa kuna tatizo la uelewa, na ndio maana CCM inawatumia kwa masilahi yao nyinyi watu. Hamjitambui, hivi aliye waingilia katika Dini yenu na kuwaambia msiwe na hiyo Mahakana ni nani? Kwa nini mnalazimisha iwe ya Kiserikali? Eti walristo wana yao, una uhakika hizo Mahakama za Kikisto zinatambulika Serikalini? Au zipo kwenye Katiba? Labda Katiba ya Jamhuri ya Nuungano wa Tanzania siijui, naomba niwekee kifungu kipi inapatikana nijue, hebu kuweni waelewa kidogo, Serikali imesema, mnaruhusiwa kuwa na hizo Mahakama ila ziwe chini yenu, mnashindwa nini?
kwa hiyo wewe mtu akiuza kahawa hana elimu mbona huku moshi watu kibao tu wanauzA kahawa Umetaja wenzio hawajasoma unazungumzia elimu gani? sisi tunao wasomi tena waadilifu sio akina Chenge rugemalila tibaijuka lowasa kilaini maige werema nk. Umesema mahakama za kanisa zinajiendesha huo ni uongo uliotukuka zinaendeshwa na fedha za mou me naona busara tutengane tunakoelekea si kuzurisamahani kwa hili nitakalolisema,tatizo kubwa kwa waisalamu wasiyoelewa kama wewe,(na maanisha wale wasiyoelewa tu kama wewe),tatizo lao kubwa ni elimu.hizo mahakama za kanisa zinazoshughulikia ndoa na mirathi zinahudumiwa na serikali?kwani kwa hiyo mmezuiwa kuunda mahakama zenu wenyewe na kuzihudumia wenyewe kama wakristu wanavyofanya?kwani lazima ziingie kwenye katiba.
Tatizo elimu,elimu ndiyo tatizo kubwa,tatizo kukosa elimu na maarifa,kukosa elimu ndiyo chanzo cha haya yote unayoyaropoka.wakati wenzio wanakwenda shule we umekalia kuuza kahawa vijiweni,mwishowe unatumia kiungo mbadala kufikiri badala ya ubongo
Kama kweli mahakama ya Kadhi itashughulikia masuala ya NDOA NA MIRATHI, mbona haya ni mambo madogo sana? Kwanini hawa jamaa wameng'ang'ana sana? Hakuna MNA lenu jambo. Sasa hivi Kenya wanaomboleza kifo cha mwanamke mfanyakazi za ndani aliyeuwawa na waarabu. Hii dini iliyoletwa na Waarabu haina nia njema, MAMBO YENU HUKOHUKO MISIKITINI!! Samahani kwa msimamo huo. HALAFU MMEMBANIKA RUBANI WA JORDAN BILA HURUMA, TENA AKIWA HAI. NO NO NO NOOOOOOOOOOO!!!
kwa hiyo wewe mtu akiuza kahawa hana elimu mbona huku moshi watu kibao tu wanauzA kahawa Umetaja wenzio hawajasoma unazungumzia elimu gani? sisi tunao wasomi tena waadilifu sio akina Chenge rugemalila tibaijuka lowasa kilaini maige werema nk. Umesema mahakama za kanisa zinajiendesha huo ni uongo uliotukuka zinaendeshwa na fedha za mou me naona busara tutengane tunakoelekea si kuzuri
Kuna ya waislam ndiyo chanzo cha nchi hii kutokuendelea vema! Hakuna mahakama ya Wakristo, kufungisha na kusuluhisha ndoa sio mahakama, kama ni mahakama kufanya hivyo basi hata waislam wanayo manake masheikh pia hufungisha ndoa! Na toka lini ukaona Wakristo wakibwabwaja kulazimisha mambo ya dini bungeni?
Hopeless thread! Sio ajabu mmetumwa na mafisadi wa CCM kuleta mijadala ya kipuuzi ili kuwa fanya Watanzania wasijadili mambo ya msingi!
Katiba hiii imekuwa copied tuh huku kwetu so tokea katiba hii inaanzishwa mahakama za kanisa na kadhi zilikuwepo.
Mahakama za kadhi zikachomolewa na NYERERE LAANA IWE JUI YAKE..NA ZA KANISA ZIKAACHWA.
NA UKISOMA KILE KIFUNGU CHA KUENFORCE HIYO AMRI YA MAHAKAMA ZA KANISA KINASEMA.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
MAHAKAMA KUU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
DIVISION YA KAZI.
....WITO WA MASHAURI KWENYE MAHAKAMA ZA KANISA...
HAPO MUHUSIKA KAANDIKIWA R.B NA JESHI LA POLISI...KWA KUTUMIA KODI ZETU SISI PIA WAISLAAM...MUHUSIKA ANAPEWA WIITO ARIPOTI KWA KADINALI PENDO TENA NA JESHI LA POLISI??
KAMA SERIKALI HII HAINA DINI ENHEE IWEJE SASA JESHI LETU LA POLISI LITUMIKE KUTEKELEZA WIITO WA CADINAL PENGO??
SERIKALI HAINA DINI TUNASEMA
SASA IWEJE POLISI WETU WATUMIKE KUTELELEZA AMRI ZA MAHAKAMA??
Na Nyerere asingetaifisha shule hili gepu la shule kati ya wakristu na waislam lingekuwa kubwa sana... Mshukuruni sana