Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Mahakama ya Kadhi: Tanzania inaanza kuvuna matunda ya kuikataa historia ya kweli-BY MOHAMED SAID via JAMIIFORUMS]]]]------------------------------------------------------------------------------------------Mtu yoyote hii leo ikiwa ataingia katika mitandao ya kijamii na kusoma mjadala unaofanyika kuhusu Mahakama ya Kadhi ni lazima atapata mshtuko mkubwa kutokana na lugha kali na wakati mwingine matusi kati ya hao wanaojadiliana. Kila upande ukitupa shutuma na maneno makali dhidi ya upande mwingine. Ukipitia majadiliano yote kitu kimoja kinachojitokeza wazi na dhahiri kabisa ni kuwa kuna mpasuko mkubwa kati ya Waislam na Wakristo kuhusu Mahakama ya Kadhi. Chuki na uadui sasa upo wazi bila kificho.

Hili linawezekana vipi wakati viongozi wetu wanatuambia kuwa Baba wa Taifa alituachia misingi imara ya umoja? Wahenga wamesema dalili ya mvua ni mawingu. Suali la kujiuliza ni hili, wapi sisi kama taifa tumejikwaa? Wengi katika hao wanaojadili hiyo Mahakama ya Kadhi ukweli ni kuwa hawaijui vyema historia ya Tanzania au ukipenda Tanganyika. Wengi katika hawa waliojizinga katika malumbano haya baadhi ni watu wazima walio na umri zaidi ya miaka 50 na vijana ambao wamezaliwa baada ya Tanganyika kupata uhuru wake mwaka 1961. Mjadala unafanyika katika mazingira ya ujinga wa kutojua historia. Sasa hapa linakuja swali imekuwaje kuwa watu hawa ambao kwa sasa ndiyo wengi katika jamii yetu hii leo hawaijua historia ya nchi yao?

Vipi tumekuwa na Chuo Kikuu kwa karibu ya nusu karne na sasa vimeongezeka vingine vingi lakini hadi sasa ikawa historia yetu ni ya kubabaisha haijakaa sawa hadi leo? Mimi sitatoa jibu kwa sasa ingawa jibu ninalo. Huko vyuoni ni historia gani inasomeshwa ambayo inawafanya watu wasijijue?

Baadhi ya wachangiaji katika hiyo mitandao ya kijamii na inaelekea hao ni Wakristo wanasema iweje Mahakama ya Kadhi igharimiwe na serikali ilhali serikali hii haina dini? Waislam wanaleta jibu wakisema mbona serikali inatoa mabilioni kila mwaka kwa makanisa kuhudumia taasisi zao kupitia “Memorandum of Understanding (MoU)?” Kwa wale ambao labda hawaujui huu mkataba ni kuwa mwaka wa 1993 Serikali ya Tanzania ilitiliana sahihi mkataba na makanisa, mkataba uliokuja kujulikana kama Memorandum of Understanding.

Makubaliano ambayo serikali iliridhia na kuidhinisha elimu, huduma za jamii na afya ziendeshwe na Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC) kwa kushirikiana na serikali. Mkataba huu ulitayarishwa na Dr. Costa Mahalu, wa Kitivo cha Sheria Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na ukatiwa sahihi na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Edward Lowassa. Kikubwa katika mkataba huu kwanza ni ule usiri uliogubika mpango mzima na pili ni kuwa ulitiwa sahihi bila ya kuwashirikisha au kuwafahamisha Waislam.

Ili makubaliano haya yaweze kutekelezeka, serikali ilibidi ifanye marekebisho kifungu 30 cha Education Act No. 25, 1978. Katika mabadiliko haya kuletwa Bungeni ndipo Waislam wakajua kuhusu hii MoU kati ya Serikali na Makanisa.

Suali lingine la kujiuliza ni inakuwaje jambo zito kama hili lilipitishwa na Bunge letu bila kipingamizi? Suala hili limepita kwa kuwa Waislam Bungeni waliamini kuwa uamuzi huo una maslahi na taifa letu? Au limepita kwa kuwa Waislam katika Bunge ni wachache wameelemewa na ndugu zao Wakristo kupelekea kuwa sasa hawana sauti kwa uchache wao? Ikiwa huu ndiyo ukweli wenyewe, tumefikaje hapa na nini athari ya jambo hili kwa mustakbali wa taifa letu?

Kwa uchache unaweza mtu ukajiuliza kwa nini basi serikali hiyo hiyo haikuja na mpango wowote hata kama si sawa na ule wa Makanisa wakatoa fedha kwa taasisi za Kiislam na wao wajiletee maendeleo kama hayo ya Makanisa? Mimi sitatoa jibu ingawa majibu ninayo. Kwa kuhitimisha hebu tujiulize kwani Mahakama ya Kadhi ni kitu kipya katika nchi hii kiasi cha kusababisha mtafaruku huu ambao hivi sasa tunaushuhudia?

Ukweli ni kuwa ukoloni umeingia Tanganyika umekuta Waislam wakijihukumu kwa kitabu chao. Mmishionari Johan Krapf kaja Tanganyika na alipokelewa na Chifu Kimweri wa Usambaa mwaka 1848. Krapf alipokelewa kwa ukarimu wa hali ya juu na alimkuta Chifu Kimweri Muislam, anajua kusoma na kuandika kwa herufi za Kiarabu akihukumu katika barza yake iliyokuwa Vuga. Ni wazi kuwa Chifu Kimweri hakuwa anahukumu kutoka, “Order in Council,” kutoka India kwani Waingereza walikuwa bado hawajafika.

Chifu Kimweri alikuwa anahukumu kwa sheria kama walivyohukumiana Waislam katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki kwa miaka mingi. Mimi nimekuwa na kupata fahamu katika Tanganyika ya 1950/60 na nina kumbukumbu za hizi mahakama za kadhi na baadhi ya hawa mahakimu nimewaona kwa macho yangu aidha wakiwa katika mahakama wakihukumu na wengine nimewaona mitaani na wengine nimewaona wakisuhubiana na wazee wangu. Namkumbuka Sheikh Abdallah Simba kutoka Songea. Nikifumba macho ni kama vile namuona Sheikh Abdallah Simba. Alikuwa kija Dar es Salaam na Land Rover yake mwenyewe na siku zote akivaa kanzu, koti na tarbush. Sheikh Abdallah Simba alikuwa na watoto wawili Bi. Habiba na Mwajuma. Bi Habiba alikuwa na umri sawa na mama yangu na alikuwa ‘’nurse’’ Princes Princess Margret Hospital (sasa Muhimbili Hospital) lakini Mwajuma yeye alikuwa makamu ya dada yangu mkubwa. Mwajuma akisoma St. Joseph’s Convent School (sasa Forodhani). Sheikh Abdallah Simba alikuwa akihukumu katika mahakama huko Songea kwa sheria za Kiislam na akifahamiana na babu yangu Salum Abdallah toka ujana wao katika Dar es Salaam ya 1920.

Sheikh Abdallah Simba akiishi Songea lakini alikuwa na nyumba mbili moja Mtaa wa Kipata (sasa Mtaa wa Kleist Sykes) nyingine Mtaa wa Somali (Sasa Mtaa wa Omari Londo). Majina ya mitaa hii ilibadilishwa kuwaenzi wazee hawa Kleist Sykes na Omari Londo walioacha alama katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Kulikuwa na Sheikh Said Chaurembo akihukumu katika Mahakama ya Kariakoo. Sheikh Said Chaurembo alikuwa katika Kamati Ndogo ya Siasa ya TAA (TAA Political Subcommittee) mwaka 1950. Kamati hii chini ya Mufti Sheikh Hassan bin Amir ilifanya makubwa katika kujenga mazingira ya kuunda TANU mwaka 1954 na kumweka Mwalimu Nyerere katika uongozi wa kudai uhuru lakini hapa si mahali pake kuyaeleza hayo. Huyu Sheikh Said Chaurembo alikuwa na nduguye akiitwa Iddi Chaurembo huyu ndiye baba yake Sheikh Abdallah Chaurembo na wakati ule Sheikh Abdallah Chaurembo alikuwa mwanafunzi katika chuo cha Mufti Sheikh Hassan bin Amir.

Sheikh Said Chaurembo ndiyo aliyekuwa na lile ghorofa maarufu Mtaa wa Msimbazi na Congo linalojulikana hadi leo kama Ghorofa la Chaurembo. Kwa kumalizia kuhusu hizi mahakama hapa Dar es Salaam napenda kueleza kuwa katika miaka ya 1960 baada ya uhuru Sheikh Kassim Juma alikuwa akihukumu katika Mahakama ya Kadhi Mkwajuni hadi mahakama hizo zilipovunjwa na serikali mwaka 1963. Sheikh Kassim Juma na yeye ana historia kubwa katika siasa za Waislam, BAKWATA na serikali baada ya uhuru.

Sheikh Abdallah Chaurembo akiwa msomi wa dini ya Kiislam alihusika sana katika harakati za kudai uhuru wa Tanganyika. Sheikh Abdallah Chaurembo alikuwapo katika mkutano wa TANU uliofanyika Mtaa wa Pemba usiku mmoja mwaka 1955 agenda kuu ikiwa vipi TANU itapunguza joto kali la Uislam ndani ya chama ili kupunguza ile taswira kuwa TANU ni chama cha Waislam. Jambo hili lilikuwa muhimu ili kumwezesha Mwalimu Nyerere kuongoza harakati za kudai uhuru kwa utulivu.

Pamoja na Sheikh Abdallah Chaurembo katika mkutano ule alikuwapo Sheikh Nurdin Hussein na Rajab Diwani lakini mzungumzaji mkuu na aliyesukuma agenda hii ikakubaliwa na TANU na kutoa azimio alikuwa Mufti Sheikh Hassan bin Amir. Azimio lenyewe lilikuwa yeyote atakaeleta udini katika TANU “atatoswa.” Ningependa sana kueleza historia hii lakini nachelea itakuwa nje ya maudhui. Lakini mtu unaweza ukajiuliza vipi katika historia ya uhuru wa Tanganyika majina haya hayasikiki kutajwa?

Haiyumkiniki hata kidogo kuwa wazalendo hawa walipigania uhuru wa Tanganyika ili waiweke kwenye madaraka serikali ambayo itakuja kuvunja misingi ya dini yao.

Tanga kulikuwa na Mahakama ya Kadhi na mahakama hii ilikuwa katika jengo la TAA Barabara ya 7 ambako Kadhi, Sheikh Ali bin Hemed Al-Buhry alihukumu jamii ya Waislam kwa kutumia sharia. Huyu Sheikh Ali bin Hemed Al Buhry ndiye baba yake Sheikh Mohamed Ali Al-Buhry na yeye ndiye alikuwa hakimu wa mwisho kwenye mahakama hiyo. Sheikh Mohamed Ali Al-Buhry alikuja baadae katika miaka ya 1968 kuhusika sana katika BAKWATA na kuna kisa cha kusisimua sana kati yake na serikali katika siasa za Waislam na BAKWATA lakini hapa si mahali pake kueleza makasa huu. Hapo Tanga kulikuwa na Liwali Abdallah Rished na mtaa aliokuwa akikaa ulipewa jina la Liwali Street kwa heshima yake. Baada ya uhuru ukaitwa Makoko Street kwa heshima ya mpigania uhuru na mwanachama shupavu wa TANU Rashid Makoko.

Kulikuwa na Sheikh Seif Nassor Alhinawy ambae alikuwa Akida pale Tanga na akihukumu kwa sheria. (Akida Seif ndiye baba ya wachezaji mpira mashuhuri katika miaka ya 1960 hadi 1970, Hemed Seif, Marshed Seif na Rashid Seif ambao ukimtoa Ma
 
No no no no no no..... THE BIG SHOW..!!!!!!

Unachuki mbaya sana nduguw yangu pamoja na kujuheshimu kote leo nimekudharau kupita maelezo.. Inawezekana madai yenu (Kuhusu Mahakama ya kadhi) yakawa ya msingi sana kwa mujibu wa imani yenu LAKINI KUJARIBU KUONYESHA DINI FULANI INAPENDELEWA BILA USHAHIDI HUU NI UJINGA ULIOTUKUKA NI UCHECHEZI ULIOVUKA MIPAKA..!!!! Loooooh

Kama hicho kikaratasi kilichopostiwa na Dengue ndicho ulichokuwa ukidai ati ni ushahidi Kuonyesha Wakristu wanapendelewa na Serikali kwa kuzitambua Mahakama zao then kuzikataa zenu, huu ni ujinga kaka achana nao wewe ni mtu mzima sasa,Khaaaaa!!! Ndiomaana ulikuwa ukisita kupost hapa hicho kipeperushi kumbe unajua uongo wako... Angalia sana ndugu hizo chiki zako zaweza kukusababiahia Vidonda vya tumbo,Moyo kuvimba na kujidhuru bila sababu yeyote Calm down Brother Mweeeeeh!!!

Hicho kikaratasi kinaonyesha kunamatangazo matatu, Moja limefichwa kichwa cha habari ila inaonekana namba ya Rb na mtoaji wa Tangazo hilo ambaye ni Police...!!!! Jingine ni Tangazo WITO WA MAHAKAMA YA KANISA kwa mtajwa ambaye ni Aminiel amiitwa na Grace .nyumbani kwa Pengo ambako ndiko kutafanyika kesi husika....!!!!!! Na Tangazo la mwisho limefichwa likiwa limeitishwa na Mahakama ya Tanzania divisheni ya kazi siyo (Kadhi) ambayo watajwa wamefichwa.....!!!!!

Matangazo hayo ni matatu tofauti kila moja linajitegemea wewe kwa chuki zako ukayahusianiasha ili upate wa kuwaghilibu Then mkusanyike kama mikusanyiko yenu mingine mkalipue makanisa kwa kupendelewa na Serikali.....!!!!! Inashangaza sana.....!!!!!!!

No wonder wenzio wamekutelekeza hapa matango pori unayowalisha humu .dani kila siku yamewavimbisha sasa hawataki hata kusikia harufu ya tangopori unalokula kwa kujidanganya mwenyewe...!!!! Duuuuuuh, hatari sana. Sasa nimegundua madai yenu siku zote humu ndani, Sijui MoU mara Mfumo kristu, ni uongo mtupu, Mmepanua vifua vyenu na kusindika chuki zisizomithirika kwa watu wasio na time nanyi..!!

Umenisikitisha sana ndugu yangu..!!

N.b,Muungwana ni Kitendo, ikiwa umetambua makosa yako ni vyema ukarudi hapa tena katika huo huo uzi wako hapo juu kabisa, fanya editing UKIKIRI KUGHAFIRIKA omba msamaha kwa wote uliowashuhidia uongo. Toa chuki zako zote dhidi ya uwachukiao Uishi uislam ktk misingi mizuri ya Mtume Muhammad (S.a.w) Naye Allah mwingi wa rehema atakurehemu.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
MODS. Linganisheni matusi aliyonitukana Janjaweed na niliyomtukana mimi kisha muone ni nani anastahili ban! Au mtampendelea kwa vile yeye ni mkristo?

i told you

ulikua unatafuti watu ban kwa nguvu sana, soma thread nzima na uangalie how you diverted it to push people to getting some punishment

narudia tena, wewe ni loser, top notch loser, huna maana wala la maana

udini wenyewe huujui, unahangaika tu, umepewa facts unaanza kuuliza watu dini gani

stay off my d!ck, i dont eat your stinky behind

and i dont even like you in any way

fool!sh kabisa
 
Mahakama ya Kadhi: Tanzania inaanza kuvuna matunda ya kuikataa historia ya kweli-BY MOHAMED SAID via JAMIIFORUMS]]]]------------------------------------------------------------------------------------------Mtu yoyote hii leo ikiwa ataingia katika mitandao ya kijamii na kusoma mjadala unaofanyika kuhusu Mahakama ya Kadhi ni lazima atapata mshtuko mkubwa kutokana na lugha kali na wakati mwingine matusi kati ya hao wanaojadiliana. Kila upande ukitupa shutuma na maneno makali dhidi ya upande mwingine. Ukipitia majadiliano yote kitu kimoja kinachojitokeza wazi na dhahiri kabisa ni kuwa kuna mpasuko mkubwa kati ya Waislam na Wakristo kuhusu Mahakama ya Kadhi. Chuki na uadui sasa upo wazi bila kificho.

Hili linawezekana vipi wakati viongozi wetu wanatuambia kuwa Baba wa Taifa alituachia misingi imara ya umoja? Wahenga wamesema dalili ya mvua ni mawingu. Suali la kujiuliza ni hili, wapi sisi kama taifa tumejikwaa? Wengi katika hao wanaojadili hiyo Mahakama ya Kadhi ukweli ni kuwa hawaijui vyema historia ya Tanzania au ukipenda Tanganyika. Wengi katika hawa waliojizinga katika malumbano haya baadhi ni watu wazima walio na umri zaidi ya miaka 50 na vijana ambao wamezaliwa baada ya Tanganyika kupata uhuru wake mwaka 1961. Mjadala unafanyika katika mazingira ya ujinga wa kutojua historia. Sasa hapa linakuja swali imekuwaje kuwa watu hawa ambao kwa sasa ndiyo wengi katika jamii yetu hii leo hawaijua historia ya nchi yao?

Vipi tumekuwa na Chuo Kikuu kwa karibu ya nusu karne na sasa vimeongezeka vingine vingi lakini hadi sasa ikawa historia yetu ni ya kubabaisha haijakaa sawa hadi leo? Mimi sitatoa jibu kwa sasa ingawa jibu ninalo. Huko vyuoni ni historia gani inasomeshwa ambayo inawafanya watu wasijijue?

Baadhi ya wachangiaji katika hiyo mitandao ya kijamii na inaelekea hao ni Wakristo wanasema iweje Mahakama ya Kadhi igharimiwe na serikali ilhali serikali hii haina dini? Waislam wanaleta jibu wakisema mbona serikali inatoa mabilioni kila mwaka kwa makanisa kuhudumia taasisi zao kupitia “Memorandum of Understanding (MoU)?” Kwa wale ambao labda hawaujui huu mkataba ni kuwa mwaka wa 1993 Serikali ya Tanzania ilitiliana sahihi mkataba na makanisa, mkataba uliokuja kujulikana kama Memorandum of Understanding.

Makubaliano ambayo serikali iliridhia na kuidhinisha elimu, huduma za jamii na afya ziendeshwe na Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC) kwa kushirikiana na serikali. Mkataba huu ulitayarishwa na Dr. Costa Mahalu, wa Kitivo cha Sheria Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na ukatiwa sahihi na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Edward Lowassa. Kikubwa katika mkataba huu kwanza ni ule usiri uliogubika mpango mzima na pili ni kuwa ulitiwa sahihi bila ya kuwashirikisha au kuwafahamisha Waislam.

Ili makubaliano haya yaweze kutekelezeka, serikali ilibidi ifanye marekebisho kifungu 30 cha Education Act No. 25, 1978. Katika mabadiliko haya kuletwa Bungeni ndipo Waislam wakajua kuhusu hii MoU kati ya Serikali na Makanisa.

Suali lingine la kujiuliza ni inakuwaje jambo zito kama hili lilipitishwa na Bunge letu bila kipingamizi? Suala hili limepita kwa kuwa Waislam Bungeni waliamini kuwa uamuzi huo una maslahi na taifa letu? Au limepita kwa kuwa Waislam katika Bunge ni wachache wameelemewa na ndugu zao Wakristo kupelekea kuwa sasa hawana sauti kwa uchache wao? Ikiwa huu ndiyo ukweli wenyewe, tumefikaje hapa na nini athari ya jambo hili kwa mustakbali wa taifa letu?

Kwa uchache unaweza mtu ukajiuliza kwa nini basi serikali hiyo hiyo haikuja na mpango wowote hata kama si sawa na ule wa Makanisa wakatoa fedha kwa taasisi za Kiislam na wao wajiletee maendeleo kama hayo ya Makanisa? Mimi sitatoa jibu ingawa majibu ninayo. Kwa kuhitimisha hebu tujiulize kwani Mahakama ya Kadhi ni kitu kipya katika nchi hii kiasi cha kusababisha mtafaruku huu ambao hivi sasa tunaushuhudia?

Ukweli ni kuwa ukoloni umeingia Tanganyika umekuta Waislam wakijihukumu kwa kitabu chao. Mmishionari Johan Krapf kaja Tanganyika na alipokelewa na Chifu Kimweri wa Usambaa mwaka 1848. Krapf alipokelewa kwa ukarimu wa hali ya juu na alimkuta Chifu Kimweri Muislam, anajua kusoma na kuandika kwa herufi za Kiarabu akihukumu katika barza yake iliyokuwa Vuga. Ni wazi kuwa Chifu Kimweri hakuwa anahukumu kutoka, “Order in Council,” kutoka India kwani Waingereza walikuwa bado hawajafika.

Chifu Kimweri alikuwa anahukumu kwa sheria kama walivyohukumiana Waislam katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki kwa miaka mingi. Mimi nimekuwa na kupata fahamu katika Tanganyika ya 1950/60 na nina kumbukumbu za hizi mahakama za kadhi na baadhi ya hawa mahakimu nimewaona kwa macho yangu aidha wakiwa katika mahakama wakihukumu na wengine nimewaona mitaani na wengine nimewaona wakisuhubiana na wazee wangu. Namkumbuka Sheikh Abdallah Simba kutoka Songea. Nikifumba macho ni kama vile namuona Sheikh Abdallah Simba. Alikuwa kija Dar es Salaam na Land Rover yake mwenyewe na siku zote akivaa kanzu, koti na tarbush. Sheikh Abdallah Simba alikuwa na watoto wawili Bi. Habiba na Mwajuma. Bi Habiba alikuwa na umri sawa na mama yangu na alikuwa ‘’nurse’’ Princes Princess Margret Hospital (sasa Muhimbili Hospital) lakini Mwajuma yeye alikuwa makamu ya dada yangu mkubwa. Mwajuma akisoma St. Joseph’s Convent School (sasa Forodhani). Sheikh Abdallah Simba alikuwa akihukumu katika mahakama huko Songea kwa sheria za Kiislam na akifahamiana na babu yangu Salum Abdallah toka ujana wao katika Dar es Salaam ya 1920.

Sheikh Abdallah Simba akiishi Songea lakini alikuwa na nyumba mbili moja Mtaa wa Kipata (sasa Mtaa wa Kleist Sykes) nyingine Mtaa wa Somali (Sasa Mtaa wa Omari Londo). Majina ya mitaa hii ilibadilishwa kuwaenzi wazee hawa Kleist Sykes na Omari Londo walioacha alama katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Kulikuwa na Sheikh Said Chaurembo akihukumu katika Mahakama ya Kariakoo. Sheikh Said Chaurembo alikuwa katika Kamati Ndogo ya Siasa ya TAA (TAA Political Subcommittee) mwaka 1950. Kamati hii chini ya Mufti Sheikh Hassan bin Amir ilifanya makubwa katika kujenga mazingira ya kuunda TANU mwaka 1954 na kumweka Mwalimu Nyerere katika uongozi wa kudai uhuru lakini hapa si mahali pake kuyaeleza hayo. Huyu Sheikh Said Chaurembo alikuwa na nduguye akiitwa Iddi Chaurembo huyu ndiye baba yake Sheikh Abdallah Chaurembo na wakati ule Sheikh Abdallah Chaurembo alikuwa mwanafunzi katika chuo cha Mufti Sheikh Hassan bin Amir.

Sheikh Said Chaurembo ndiyo aliyekuwa na lile ghorofa maarufu Mtaa wa Msimbazi na Congo linalojulikana hadi leo kama Ghorofa la Chaurembo. Kwa kumalizia kuhusu hizi mahakama hapa Dar es Salaam napenda kueleza kuwa katika miaka ya 1960 baada ya uhuru Sheikh Kassim Juma alikuwa akihukumu katika Mahakama ya Kadhi Mkwajuni hadi mahakama hizo zilipovunjwa na serikali mwaka 1963. Sheikh Kassim Juma na yeye ana historia kubwa katika siasa za Waislam, BAKWATA na serikali baada ya uhuru.

Sheikh Abdallah Chaurembo akiwa msomi wa dini ya Kiislam alihusika sana katika harakati za kudai uhuru wa Tanganyika. Sheikh Abdallah Chaurembo alikuwapo katika mkutano wa TANU uliofanyika Mtaa wa Pemba usiku mmoja mwaka 1955 agenda kuu ikiwa vipi TANU itapunguza joto kali la Uislam ndani ya chama ili kupunguza ile taswira kuwa TANU ni chama cha Waislam. Jambo hili lilikuwa muhimu ili kumwezesha Mwalimu Nyerere kuongoza harakati za kudai uhuru kwa utulivu.

Pamoja na Sheikh Abdallah Chaurembo katika mkutano ule alikuwapo Sheikh Nurdin Hussein na Rajab Diwani lakini mzungumzaji mkuu na aliyesukuma agenda hii ikakubaliwa na TANU na kutoa azimio alikuwa Mufti Sheikh Hassan bin Amir. Azimio lenyewe lilikuwa yeyote atakaeleta udini katika TANU “atatoswa.” Ningependa sana kueleza historia hii lakini nachelea itakuwa nje ya maudhui. Lakini mtu unaweza ukajiuliza vipi katika historia ya uhuru wa Tanganyika majina haya hayasikiki kutajwa?

Haiyumkiniki hata kidogo kuwa wazalendo hawa walipigania uhuru wa Tanganyika ili waiweke kwenye madaraka serikali ambayo itakuja kuvunja misingi ya dini yao.

Tanga kulikuwa na Mahakama ya Kadhi na mahakama hii ilikuwa katika jengo la TAA Barabara ya 7 ambako Kadhi, Sheikh Ali bin Hemed Al-Buhry alihukumu jamii ya Waislam kwa kutumia sharia. Huyu Sheikh Ali bin Hemed Al Buhry ndiye baba yake Sheikh Mohamed Ali Al-Buhry na yeye ndiye alikuwa hakimu wa mwisho kwenye mahakama hiyo. Sheikh Mohamed Ali Al-Buhry alikuja baadae katika miaka ya 1968 kuhusika sana katika BAKWATA na kuna kisa cha kusisimua sana kati yake na serikali katika siasa za Waislam na BAKWATA lakini hapa si mahali pake kueleza makasa huu. Hapo Tanga kulikuwa na Liwali Abdallah Rished na mtaa aliokuwa akikaa ulipewa jina la Liwali Street kwa heshima yake. Baada ya uhuru ukaitwa Makoko Street kwa heshima ya mpigania uhuru na mwanachama shupavu wa TANU Rashid Makoko.

Kulikuwa na Sheikh Seif Nassor Alhinawy ambae alikuwa Akida pale Tanga na akihukumu kwa sheria. (Akida Seif ndiye baba ya wachezaji mpira mashuhuri katika miaka ya 1960 hadi 1970, Hemed Seif, Marshed Seif na Rashid Seif ambao ukimtoa Ma

Achana na huu uongo wa Mzee Mohamed .............. kila mwislamu maarufu au shehe anamfahamu au alikuwa ni rafiki wa baba yake. Maandiko yake yote anajifagilia kiana tu!!
 
Haya ndio maneno. Kesi za ndoa na za nyumbani zinazagaa na kuwa kizuizi kwa korti za serikali. Kwa kuwa ni kesi ndogo ndogo ndio maana zina hukumiwa kidini au kimila. Korti ya kadhi ndio inatakiwa kujishughulisha na masuala ya kifamilia na kugawa mali kulingana na dini au mila za kiislamu. Hii kurukupwa kwa wenzetu kulifanya hili jambo ni "big Deal" ndio kunakoweza kuleta matatizo wakati hamna haja ya kukurupukwa bure. Wakati umefika Mila na dini ziheshimiwa katika katiba mpya ya wananchi itakayo kuja baada ya kuchaguliwa raisi mpya mwenye imani na wanachi wa tanganyika na zanzibar.
 
WATU MNAOPOST VITU AMBAVYO HAMVIELEWI MNAKERAAAA....FANYA UCHUNGUZI ULIZA KWA WATU KABLA YA KUPOST...yani unarelate vitu ambavyo wala haviendani..SAMAHANI KAMA NIMEKUUZI
 
Mahakama ya kadhi kapuni. Case closed
 
Jamani kwa nini waislamu wasianzishe mahakama ya kadhi hata kesho? Nani anawazuia kuanzisha jambo la ibada yenu?je kuanzisha jambo la ibada yenu mpaka mtegemee serikali? Serikali ambayo ina wanaoamini uislamu na wasioamini? Serikali ambayo vyanzo vyake vya mapato hutegemea pombe, sigara na hata vitimoto? Serikali ambayo hutoa sera za uchumi zinazotukuza riba kwenye mabenki yetu? Kuendelea kudai mahakama ya kadhi kuendeshwa na serikali ni kuudhalilisha uislamu wenyewe!
 
wakristo hawatumii kodi zetu acha kupotosha umma wa waislamu maamuma. kwanza hawaziiti mahakama... hawahukumu.... huko kunafanyika mashauri. na jambo jema zaidi ni kuwa hawatumii kodi zetu kulipana mishahara kama ipo. tatizo ni mahakama za kadhi zinataka makadhi walipwe kwa kodi za watanzania wote. nadhan wala hamna tatizo waislamu wakiamua kuhusu ndoa zao,sherehe zao,mirathi yao n.k si ya kwako? waamue tu. na wakristo kama wameridhiana kuamua kwa kufata maandiko yao waamue tu. ila hatutaki kodi zetu zitumike huko. siku si nyingi watu watataka wachungaji walipwe na serikali. na hatutaki kufika huko. kama mahakama ya kadhi ni nzuri sana sisi wenyewe inayotuhusu tuchangishane.mbona wapo matajiri wengi tu akina manji,mohamed dewj,bakhresa n.k ambao wanaweza changia pesa zikatumika kulipiana mishara? maana hapa tunataka kuleta mgogoro wa kijinga tu ambao hauna mantiki. tuanzisheni mahakama tuihudumie wenyewe. WAISLAMU TUACHE ULALAMISHI KILA SIKU. WAKRISTO TUPIME HOJA ZA WAISLAMU NA KUWASAIDIA.
wabillah tawfiq
Kiukweli waislam ni wavivu kufikiri sijapataona. Akili zao fupi wanataka kutuingiza matatizoni kama nchi nyingine zenye machafuko. Yaani mtu mzima anaandika mada kama kakatwa kichwa vile, ili kudhihirisha kuwa umeandika upumbavu ona hata wenzake akina Ritz hawajachangia hapa
 
Kuna mada zingine inabidi umfahamu japo kidofo mwandishi. Japo mazingira anayoishi pia ukiweza kujua na historia yake fupi.
Kuna watu ni mabingwa wa kukariri.
 
Mahakama ya Kadhi: Tanzania inaanza kuvuna matunda ya kuikataa historia ya kweli-BY MOHAMED SAID via JAMIIFORUMS]]]]------------------------------------------------------------------------------------------Mtu yoyote hii leo ikiwa ataingia katika mitandao ya kijamii na kusoma mjadala unaofanyika kuhusu Mahakama ya Kadhi ni lazima atapata mshtuko mkubwa kutokana na lugha kali na wakati mwingine matusi kati ya hao wanaojadiliana. Kila upande ukitupa shutuma na maneno makali dhidi ya upande mwingine. Ukipitia majadiliano yote kitu kimoja kinachojitokeza wazi na dhahiri kabisa ni kuwa kuna mpasuko mkubwa kati ya Waislam na Wakristo kuhusu Mahakama ya Kadhi. Chuki na uadui sasa upo wazi bila kificho.

Hili linawezekana vipi wakati viongozi wetu wanatuambia kuwa Baba wa Taifa alituachia misingi imara ya umoja? Wahenga wamesema dalili ya mvua ni mawingu. Suali la kujiuliza ni hili, wapi sisi kama taifa tumejikwaa? Wengi katika hao wanaojadili hiyo Mahakama ya Kadhi ukweli ni kuwa hawaijui vyema historia ya Tanzania au ukipenda Tanganyika. Wengi katika hawa waliojizinga katika malumbano haya baadhi ni watu wazima walio na umri zaidi ya miaka 50 na vijana ambao wamezaliwa baada ya Tanganyika kupata uhuru wake mwaka 1961. Mjadala unafanyika katika mazingira ya ujinga wa kutojua historia. Sasa hapa linakuja swali imekuwaje kuwa watu hawa ambao kwa sasa ndiyo wengi katika jamii yetu hii leo hawaijua historia ya nchi yao?

Vipi tumekuwa na Chuo Kikuu kwa karibu ya nusu karne na sasa vimeongezeka vingine vingi lakini hadi sasa ikawa historia yetu ni ya kubabaisha haijakaa sawa hadi leo? Mimi sitatoa jibu kwa sasa ingawa jibu ninalo. Huko vyuoni ni historia gani inasomeshwa ambayo inawafanya watu wasijijue?

Baadhi ya wachangiaji katika hiyo mitandao ya kijamii na inaelekea hao ni Wakristo wanasema iweje Mahakama ya Kadhi igharimiwe na serikali ilhali serikali hii haina dini? Waislam wanaleta jibu wakisema mbona serikali inatoa mabilioni kila mwaka kwa makanisa kuhudumia taasisi zao kupitia “Memorandum of Understanding (MoU)?” Kwa wale ambao labda hawaujui huu mkataba ni kuwa mwaka wa 1993 Serikali ya Tanzania ilitiliana sahihi mkataba na makanisa, mkataba uliokuja kujulikana kama Memorandum of Understanding.

Makubaliano ambayo serikali iliridhia na kuidhinisha elimu, huduma za jamii na afya ziendeshwe na Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC) kwa kushirikiana na serikali. Mkataba huu ulitayarishwa na Dr. Costa Mahalu, wa Kitivo cha Sheria Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam na ukatiwa sahihi na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Edward Lowassa. Kikubwa katika mkataba huu kwanza ni ule usiri uliogubika mpango mzima na pili ni kuwa ulitiwa sahihi bila ya kuwashirikisha au kuwafahamisha Waislam.

Ili makubaliano haya yaweze kutekelezeka, serikali ilibidi ifanye marekebisho kifungu 30 cha Education Act No. 25, 1978. Katika mabadiliko haya kuletwa Bungeni ndipo Waislam wakajua kuhusu hii MoU kati ya Serikali na Makanisa.

Suali lingine la kujiuliza ni inakuwaje jambo zito kama hili lilipitishwa na Bunge letu bila kipingamizi? Suala hili limepita kwa kuwa Waislam Bungeni waliamini kuwa uamuzi huo una maslahi na taifa letu? Au limepita kwa kuwa Waislam katika Bunge ni wachache wameelemewa na ndugu zao Wakristo kupelekea kuwa sasa hawana sauti kwa uchache wao? Ikiwa huu ndiyo ukweli wenyewe, tumefikaje hapa na nini athari ya jambo hili kwa mustakbali wa taifa letu?

Kwa uchache unaweza mtu ukajiuliza kwa nini basi serikali hiyo hiyo haikuja na mpango wowote hata kama si sawa na ule wa Makanisa wakatoa fedha kwa taasisi za Kiislam na wao wajiletee maendeleo kama hayo ya Makanisa? Mimi sitatoa jibu ingawa majibu ninayo. Kwa kuhitimisha hebu tujiulize kwani Mahakama ya Kadhi ni kitu kipya katika nchi hii kiasi cha kusababisha mtafaruku huu ambao hivi sasa tunaushuhudia?

Ukweli ni kuwa ukoloni umeingia Tanganyika umekuta Waislam wakijihukumu kwa kitabu chao. Mmishionari Johan Krapf kaja Tanganyika na alipokelewa na Chifu Kimweri wa Usambaa mwaka 1848. Krapf alipokelewa kwa ukarimu wa hali ya juu na alimkuta Chifu Kimweri Muislam, anajua kusoma na kuandika kwa herufi za Kiarabu akihukumu katika barza yake iliyokuwa Vuga. Ni wazi kuwa Chifu Kimweri hakuwa anahukumu kutoka, “Order in Council,” kutoka India kwani Waingereza walikuwa bado hawajafika.

Chifu Kimweri alikuwa anahukumu kwa sheria kama walivyohukumiana Waislam katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki kwa miaka mingi. Mimi nimekuwa na kupata fahamu katika Tanganyika ya 1950/60 na nina kumbukumbu za hizi mahakama za kadhi na baadhi ya hawa mahakimu nimewaona kwa macho yangu aidha wakiwa katika mahakama wakihukumu na wengine nimewaona mitaani na wengine nimewaona wakisuhubiana na wazee wangu. Namkumbuka Sheikh Abdallah Simba kutoka Songea. Nikifumba macho ni kama vile namuona Sheikh Abdallah Simba. Alikuwa kija Dar es Salaam na Land Rover yake mwenyewe na siku zote akivaa kanzu, koti na tarbush. Sheikh Abdallah Simba alikuwa na watoto wawili Bi. Habiba na Mwajuma. Bi Habiba alikuwa na umri sawa na mama yangu na alikuwa ‘’nurse’’ Princes Princess Margret Hospital (sasa Muhimbili Hospital) lakini Mwajuma yeye alikuwa makamu ya dada yangu mkubwa. Mwajuma akisoma St. Joseph’s Convent School (sasa Forodhani). Sheikh Abdallah Simba alikuwa akihukumu katika mahakama huko Songea kwa sheria za Kiislam na akifahamiana na babu yangu Salum Abdallah toka ujana wao katika Dar es Salaam ya 1920.

Sheikh Abdallah Simba akiishi Songea lakini alikuwa na nyumba mbili moja Mtaa wa Kipata (sasa Mtaa wa Kleist Sykes) nyingine Mtaa wa Somali (Sasa Mtaa wa Omari Londo). Majina ya mitaa hii ilibadilishwa kuwaenzi wazee hawa Kleist Sykes na Omari Londo walioacha alama katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Kulikuwa na Sheikh Said Chaurembo akihukumu katika Mahakama ya Kariakoo. Sheikh Said Chaurembo alikuwa katika Kamati Ndogo ya Siasa ya TAA (TAA Political Subcommittee) mwaka 1950. Kamati hii chini ya Mufti Sheikh Hassan bin Amir ilifanya makubwa katika kujenga mazingira ya kuunda TANU mwaka 1954 na kumweka Mwalimu Nyerere katika uongozi wa kudai uhuru lakini hapa si mahali pake kuyaeleza hayo. Huyu Sheikh Said Chaurembo alikuwa na nduguye akiitwa Iddi Chaurembo huyu ndiye baba yake Sheikh Abdallah Chaurembo na wakati ule Sheikh Abdallah Chaurembo alikuwa mwanafunzi katika chuo cha Mufti Sheikh Hassan bin Amir.

Sheikh Said Chaurembo ndiyo aliyekuwa na lile ghorofa maarufu Mtaa wa Msimbazi na Congo linalojulikana hadi leo kama Ghorofa la Chaurembo. Kwa kumalizia kuhusu hizi mahakama hapa Dar es Salaam napenda kueleza kuwa katika miaka ya 1960 baada ya uhuru Sheikh Kassim Juma alikuwa akihukumu katika Mahakama ya Kadhi Mkwajuni hadi mahakama hizo zilipovunjwa na serikali mwaka 1963. Sheikh Kassim Juma na yeye ana historia kubwa katika siasa za Waislam, BAKWATA na serikali baada ya uhuru.

Sheikh Abdallah Chaurembo akiwa msomi wa dini ya Kiislam alihusika sana katika harakati za kudai uhuru wa Tanganyika. Sheikh Abdallah Chaurembo alikuwapo katika mkutano wa TANU uliofanyika Mtaa wa Pemba usiku mmoja mwaka 1955 agenda kuu ikiwa vipi TANU itapunguza joto kali la Uislam ndani ya chama ili kupunguza ile taswira kuwa TANU ni chama cha Waislam. Jambo hili lilikuwa muhimu ili kumwezesha Mwalimu Nyerere kuongoza harakati za kudai uhuru kwa utulivu.

Pamoja na Sheikh Abdallah Chaurembo katika mkutano ule alikuwapo Sheikh Nurdin Hussein na Rajab Diwani lakini mzungumzaji mkuu na aliyesukuma agenda hii ikakubaliwa na TANU na kutoa azimio alikuwa Mufti Sheikh Hassan bin Amir. Azimio lenyewe lilikuwa yeyote atakaeleta udini katika TANU “atatoswa.” Ningependa sana kueleza historia hii lakini nachelea itakuwa nje ya maudhui. Lakini mtu unaweza ukajiuliza vipi katika historia ya uhuru wa Tanganyika majina haya hayasikiki kutajwa?

Haiyumkiniki hata kidogo kuwa wazalendo hawa walipigania uhuru wa Tanganyika ili waiweke kwenye madaraka serikali ambayo itakuja kuvunja misingi ya dini yao.

Tanga kulikuwa na Mahakama ya Kadhi na mahakama hii ilikuwa katika jengo la TAA Barabara ya 7 ambako Kadhi, Sheikh Ali bin Hemed Al-Buhry alihukumu jamii ya Waislam kwa kutumia sharia. Huyu Sheikh Ali bin Hemed Al Buhry ndiye baba yake Sheikh Mohamed Ali Al-Buhry na yeye ndiye alikuwa hakimu wa mwisho kwenye mahakama hiyo. Sheikh Mohamed Ali Al-Buhry alikuja baadae katika miaka ya 1968 kuhusika sana katika BAKWATA na kuna kisa cha kusisimua sana kati yake na serikali katika siasa za Waislam na BAKWATA lakini hapa si mahali pake kueleza makasa huu. Hapo Tanga kulikuwa na Liwali Abdallah Rished na mtaa aliokuwa akikaa ulipewa jina la Liwali Street kwa heshima yake. Baada ya uhuru ukaitwa Makoko Street kwa heshima ya mpigania uhuru na mwanachama shupavu wa TANU Rashid Makoko.

Kulikuwa na Sheikh Seif Nassor Alhinawy ambae alikuwa Akida pale Tanga na akihukumu kwa sheria. (Akida Seif ndiye baba ya wachezaji mpira mashuhuri katika miaka ya 1960 hadi 1970, Hemed Seif, Marshed Seif na Rashid Seif ambao ukimtoa Ma

maelezo yote haya bado hujanishawishi.....je ni nani laigharamia mahakama za kadhi?je makadhi walilipwa na nani?je mkoloni hakuwa na mahakama?je hakimu wa kikoloni na kadhi walihukumu kwa pamoja....waliendeasha kesi pamoja?je makadhi na mahakimu walitumia mahakama moja?je kanisa halikua na mahakama zake?hizo mahakama za kadhi zilikua pwani tu?nani aliwahukumu wakristo?walihukumu mambo gani hasa?babu yangu alikua mtemi na alikua na mahakama yake.....uislam wala ukristo haukuwepo leo hii mahakama za jadi...makabila zq watemi zirudishwe?kimweri alislim mwaka gani?
huyo kimweri kabla ya kuwa muislam alikuwa na mahakama?alihukumu kwa sheria zipi?
 
Hebu koma!

Uliniona nikatia langu kwenye mambo haya ya Mahakama wa Kadhi? zaidi ya kusema tutumie nguvu yetu ya kura?

kwanza sikomi...!!

hata ungesema kauli yako isingebadilisha chochote kutokana huna mamlaka ya kuhamasisha wala kuchangia wewe ni mpayukaji tu na kuharisha kama nape hata hizo kura msingezipata za kutosha kutokana na hamfiki hata nusu ya wananchi wote na katiba inataka 2/3
jambo ambalo ni njozi
 
2/3 unajuwa ni asilimia ngapi?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kama hujui uliza uambiwe.

Mahakama za kanisa zilikuwapo tokea katiba ya nchi hii inatungwa.

Na Polisi huandika R.B kumtaka muhusika aripoti kwenye mahakama za kanisa

Tena kwa kodi yetu sisi soote.

Unachoshindwa kuelewa ni kwamba HAKUNA SHEIKH ANAEWEZA KUTUMA R.B YA JESHI LA POLISI KUMWITA MUHUSIKA KSHERIA ILI AFIKE KWENYE MASHAURI YA KADHI KWA KUWA KISHERIA HAIPO.

LAKIN CARDINALI PENGO HUWEZA KUTUMIA R.B YA JESHI LA POLISI KUMWITA MUHUSIKA KWENYE MAHAKAMA ZA KANISA.KWA KUWA KIKATIBA NA KISHERIA ZINATAMBULIKA.

ELEWA HIYO HOJA..UELEWE HIYO HOJA.

Ushauri wa bure kwako!
Unapojaribu kuleta hoja yenye chembe chembe za kisheria na unataka watu waelewe na wajadili basi hakikisha unaweka marejeo husika (references).

Mfano, mara kadhaa unadai mahakama za kikirsto zipo kikatiba. Kwanini huweki hiyo ibara? Wachangiaji wengi wanakuuliza kuhusu hilo lakini unarudia yale yale! Waislam wengine sijui vp,

Haya, nikuulize tena tutajie ni sheria ipi kati ya Civil Procedure Code, au Civil Procedure Act au ni Penal Code inayotoa hizo Taratibu za kupeleka R. B kwa uongozi wa kanisa? Naomba hizo provisions tafadhali!

Baadhi ya waislam mna itikadi za ajabu ajabu sana! Yaani haingii akilini wakati huu ambapo Watanzania wanakaribia uchaguzi mkuu nyie mnawaza mahakama ya kidini, what a selfish sense!

Elimu mnaikimbia mnataka mahakama ya Kadhi, hivi hiyo mahakama ndio itawapa ajira? Umeme na mahitaji mengine ya raia?

Waislam baadhi yenu ndio mnatucheleweshea maendeleo ya nchi yetu, badilikeni!
 
Back
Top Bottom