Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Nyerere alifanya kosa kubwa kutaifisha shule za mission.

Kabisa kabisa. Asingefanya hayo hawa kina SAMWELI LUHANGA wasingepata nafasi ya kuwa viongozi wa nchi hii. Hawana shukrani hawa watu
 
Wewe ndie usiekuwa na ufaham.

1.hizo mahakama za kanisa zipo kisheria.

2.hizo mahakama zinatambuliwa kisheria.

3.pesa ya serikali hutumika pia kuhudumia mahakama hizo hususan kwa KUTUMIA POLISI WETU HUTUMIKA KUWAFATILIA WAHUSIKA NA KUWAFIKISHA MAHAKAMA ZA KANISA.

ILE NI PESA YETU PIA.

NI KODI YETU.

IWEJE MTUMIE ASKARI NA JESHI LETU?

Toka katiba ya nchi hii inaanzishwa mahakama hii ya kanisa na kadhi ziliwepo.

Ajabu za kadhi zikaondolewa na za kanisa zikaachwa.

Ivi siku izi R.B ni document ya kipolisi kumuita mtu mahakamani au haujui maana ya RB???

kabla sijachangia hii mada naomba kujua sheria za kanisa zilitungiwa na kupitishwa bungeni na sheria ipi na namba ngapi na ya Mwaka gani??

Mm siwezi kupinga uwepo wa Kadhi court hata leo ianze ila tu gharama zake iendeshwe na interested party baasi!! Modi za tbl na baa na nguruwe sizitakaswe kugharamia city vya Imani isiyovitambua!!
 
Jamani mwenzenu ninaona nyota ninaomba mnisaidie katika hiki kilichoandikwa kwa wale wenye utalamu na kazi hiyo.

Ukisoma vizuri maelezo ya mlalamikaji hapo juu inaonyesha kwamba waliondika hati ya wito ni polisi kwa kutumia RB namba yao wakimtaka mtuhumiwa aripoti kwenye mahakama za kanisa badala ya kumuita mtuhumiwa kituoni.

Kinacho nifanye nione nyota ni hapo palipoandikwa.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA KUU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
DIVISHENI YA KAZI.

Mimi ninavyojua ni kwamba mahali popote unapoitwa na polisi kwa Rb yao hati ya wito ina andikwa hivi;

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZANIA.

Iweje hii hati ya wito wenye Rb ya polisi iwe na mambo ya mahakama kuu na mambo ya division ya kazi halafu mambo ambayo hayana uthibitisho wowote kuwa yalitoka mahakama kuu kama ilivyo hati ya wito wa polisi ambayo ni RB namba?.

Kwa sababu kinachoonekana hapa ni kwamba mahakama kuu divisheni ya kazi ndio waliowaandikia polisi kuwaamuru kuandika wito kwa muhusika ili ahudhurie kwenye mahakama ya kanisa lakini barua yao haina kumbukukumbu yoyote ya kuonyesha kuwa barua waliowaandikia polisi ilitoka mahakama kuu.

Polisi kwenye hati yao ya kumtaka muhusika kuhuzuria kwenye mahakama ya kanisa ina Rb tu kitu ambacho siyo sahihi kwa kuwa RB namba siyo kumbukumbu rasimi za kiofisi.Halafu haina hata kumbukumbu za mrejesho kwenda mahakama kuu ili kujulisha utekerezaji wa amri ya mahakama kuu.


Jamaa aliyeleta mada hajielewi anaaeditiwa vitu naye anabeba ivo ivo!!
 
Awajamaa nawafananisha na MTU mzima aliye fiwa wazazi alafu bado anajiliza kwakujiita yatima hali ambayo Haifa msaidia kitu,Wenzetu mmekuwa watu was kulalamika kuwa serikali niya mfumo kristo sababu mnazozitoa hazina mashiko wakristo wanajishughulisha jamani, mahakama yenyewe wengi wenu hawaitaki kutokana na maamuzi yanayofanyika msiige warabu mazingira yao yana ruhusu sababu wote ni waislam,
 
Mwl nyerere alisema ni wajinga tu ndio wanao tamani kuona inchi hii ni ya waislam au ya wakristo! so big show uczani kinacho tokea siria wananchi wanapenda na has a sie tuliopo nje ndio tunafurahia kinachotokea kwa wenzetu ila usiombe yakatokea kwenu mnapigwa napolisi tu APA bongo mnapiga kelele kutwa sembuse vita achane na vyanzo ni mambo kama haya endeleeni mtakipata tu mnacho kitaka
 
...

Kinacho nifanye nione nyota ni hapo palipoandikwa.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA KUU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
DIVISHENI YA KAZI.

Mimi ninavyojua ni kwamba mahali popote unapoitwa na polisi kwa Rb yao hati ya wito ina andikwa hivi;

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI
JESHI LA POLISI TANZANIA.

.....
Kuna uwezekano hakuona mistari inayotenganisha matangazo haya, ndiyo maana kakurupuka.

attachment.php
 
We mbigiri si ungemwambia aliyeleta hili Tangazo afafanue kuna matangazo matatu? Au ndo umetegesha upate hoja za kushindia? Achana na hoja ya Poilisi....jibu zingine mbona zimekushinda?

Nimeona nijibu hili lapolisi kwakuwa ulikuwa unadanganya uma mengine ulitoandika niutumbo nadhani ulikuwa unakula kinyesi cha nguruwe ndiyo maana ukakurupuka
 
Hebu nijulishe elimu ya yesu, na alisoma shule gani na chuo kikuu kipi? Pia alisomea nini?

Si mnadai kwamba Yesu (Nabii Issa) ni Mtume wenu? Kama ndivyo basi habari zake unazifahamu!
 
Naomba kuuiliza hiyo mahakama ipo nyumbani kwa Pengo? na Pengo ndiyo hakimu?
 
Poleni sana mliochangia mada hii maana hakuna hata mmoja aliyehoji mahakama hiyo ya kanisa inagharamiwa na nani? Sanasana kuna waliosema inaendeshwa na kanisa lenyewe......Wamepata wapi ushahidi kwamba kanisa ndo linagharamia mahakama hii ya kanisa? Huu ni uzushi ama kuongea kwa kujitetea...... Wengi wanasema masuala ya kidini waachiwe waumini wenyewe lakini wamesahau DDH ni hospitali za kanisa lakini zinagharamiwa na serikali. Kama serikali haina dini imekuwaje igharamie hospitali? Watakuja wakristo wenye msimamo mkali watafafanua eti kwa sababu serikali ilishindwa kujenga hizo hospitali lakini kanisa likajenga ndo maana serikali inasaidia kuziendesha....eti ndo hoja watakayokuja nayo! Waambieni mmesema masuala ya kidini waachiwe waumini wenyewe.....! Kanuni hiyo haibadiliki hata kama serikali ilishindwa kujenga hospitali.......Si masuala ya dini mmesema waachiwe waumini wenyewe? Na serikali si haina dini? Vije leo kwenye hili la hospitali serikali inahusika? Kwani ni wakristo pekee wanaotibiwa DDH?
uislam wenu utakamilika pale mtakapoacha kusoma kwenye shule.....vyuo vya kanisa hata zile alizotaifisha mwalimu...pia mtakaporudisha chuo cha tanesco mlichoazimwa.....pia mtakapo acha kutibiwa kwenye hospitali za kanisa....mtakapoacha kuchangamana na wakristo.....mtakapoacha kutumia vitu vilivyotengenezwa na makafiri...mf TV,magari,miswaki hata chupi mnazovaa...nk..enyi wanafki....kwa nini mtumie vitu vya makafiri.?unafiki u
mewajaa mpaka matakoni kwenu.....kila siku mnalalamika....cha ajab ndo wa kwanza kutibiwa DDH.....kuliko hata wakristo wenyewe.....HAKUNA JAMBO GUMU DUNIANI KAMA KUISHI NA SHETANI(MUISLAM) KARIBU
 
Katiba hiii imekuwa copied tuh huku kwetu so tokea katiba hii inaanzishwa mahakama za kanisa na kadhi zilikuwepo.

Mahakama za kadhi zikachomolewa na NYERERE LAANA IWE JUI YAKE..NA ZA KANISA ZIKAACHWA.

NA UKISOMA KILE KIFUNGU CHA KUENFORCE HIYO AMRI YA MAHAKAMA ZA KANISA KINASEMA.


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

MAHAKAMA KUU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

DIVISION YA KAZI.

....WITO WA MASHAURI KWENYE MAHAKAMA ZA KANISA...

HAPO MUHUSIKA KAANDIKIWA R.B NA JESHI LA POLISI...KWA KUTUMIA KODI ZETU SISI PIA WAISLAAM...MUHUSIKA ANAPEWA WIITO ARIPOTI KWA KADINALI PENDO TENA NA JESHI LA POLISI??

KAMA SERIKALI HII HAINA DINI ENHEE IWEJE SASA JESHI LETU LA POLISI LITUMIKE KUTEKELEZA WIITO WA CADINAL PENGO??

SERIKALI HAINA DINI TUNASEMA

SASA IWEJE POLISI WETU WATUMIKE KUTELELEZA AMRI ZA MAHAKAMA??

Acha kusema uwongo hakuna mahali popote tangazo hilo lipo na msipende kupotosha jamii. Pia hakuna sheria ya kanisa inayopewa nguvu na mahakama za serikali
Mfano mahakama za kiserikali zinavunja ndoa au kutoa taraka wakati kanisa halitambui taraka huu ni mfano mdogo tu
 
Yaani waislam ni shida hapa ndo naona elimu muhimu mahakama gani ya kikristo inayosimamiwa na serikali? Mahakama yenu mmeambiwa muendeshe wenyewe hamtaki sasa akili yenu inakimbilia kwenye vurugu tu ndo mwisho wa kufikiri mi nadhani MKASOME UPYA!!!
 
Kama ni hivyo mngekuwa na POLISI WENU AMBAO WATATUNIKA KUIENFORCE HIZO AMRI ZA WITO WA MAHAKAMA ZA KANISA.

ITS NON OF MY BZNESS UNAPONILETEA HABARI ZA PAPA.

WHO IS PAPA TO ME??

SIMJUI NA SINA HAJA YA KUMJUA.
,
HAPA HOJA SI NI PESA YA SERIKALI????,

Sasa hawa POLISI MNAOWATUMIA KUANDIKA R.B ZA WITO WA MAHAKAMA ZA KANISA SI HUTUMIA PESA SA UMMA?si wanatumia kodi zetu pia??

Mnataka KUTUFANYA SISI WAJINGA SIYO??

MAMBO HAYA YALIWEZEKANA ENZ ZA NYERERE TUH.

Mtu kuugua si lazima alazwe hospitali.
 
uislam wenu utakamilika pale mtakapoacha kusoma kwenye shule.....vyuo vya kanisa hata zile alizotaifisha mwalimu...pia mtakaporudisha chuo cha tanesco mlichoazimwa.....pia mtakapo acha kutibiwa kwenye hospitali za kanisa....mtakapoacha kuchangamana na wakristo.....mtakapoacha kutumia vitu vilivyotengenezwa na makafiri...mf TV,magari,miswaki hata chupi mnazovaa...nk..enyi wanafki....kwa nini mtumie vitu vya makafiri.?unafiki u
mewajaa mpaka matakoni kwenu.....kila siku mnalalamika....cha ajab ndo wa kwanza kutibiwa DDH.....kuliko hata wakristo wenyewe.....HAKUNA JAMBO GUMU DUNIANI KAMA KUISHI NA SHETANI(MUISLAM) KARIBU

Sikulaumu. Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo.

Kuelimisha mtu kama wewe ni sawa na kupiga ngumi kwenye jiwe au kujaza maji kwenye gunia
 
Back
Top Bottom