Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Acha kukurupuka. Uliza ueleweshwe. Biblia iko wazi. Walawiti sehemu yao ni ziwa la moto. Hakuna Mkristo wa dhati aliye shoga. Hao ni makristo wa uongo ambo vilevile ni wakristo wa majina. Kwa hiyo ushoga ni roho ya kuzimu na hina dini. Wako wenye majina ya Kiislamu ambao ni walawiti kama ambavyo wako majina ya Kikristo lakini ni walawiti.
Mfano Mombasa kuna ushoga sana lkn ni mji wenye waislam wengi!
 
Kama Waislamu kuundiwa BAKWATA ni vibaya, kwa nini wanalia lia waundiwe Mahakama?

Mwenyeheri mtarajiwa aliunda bakwata ili kudhulumu waislam.
Pia ndio huyo huyo alizifuta mahakama ya kadhi kwa chuki tu dhidi ya uislam.
Leo wakiristo wanamuona kama nabii wao, kwa kuwa alishatimiza lengo lao la kuudhofisha uislam.

Hivi hao mapadri wanaolawiti watoto, wanashtakiwa wapi? Nauliza tu,
 
Mkuu wewe ni Mungu mpaka uamue nani awepo duniani na nani asiwepo? Na hiyo Quran lazima tuisome ili tuwakaange kwa mafuta yenu wenyewe! After all Muhammad, "mtume" wenu kwa kuwa hakujua kusoma wala kuandika ali-copy na ku-paste (alidesa) mambo mengi toka kwenye Biblia akijidai kuwa kashushiwa na Jibrili!

Hebu nijulishe elimu ya yesu, na alisoma shule gani na chuo kikuu kipi? Pia alisomea nini?
 
Poleni sana mliochangia mada hii maana hakuna hata mmoja aliyehoji mahakama hiyo ya kanisa inagharamiwa na nani? Sanasana kuna waliosema inaendeshwa na kanisa lenyewe......Wamepata wapi ushahidi kwamba kanisa ndo linagharamia mahakama hii ya kanisa? Huu ni uzushi ama kuongea kwa kujitetea...... Wengi wanasema masuala ya kidini waachiwe waumini wenyewe lakini wamesahau DDH ni hospitali za kanisa lakini zinagharamiwa na serikali. Kama serikali haina dini imekuwaje igharamie hospitali? Watakuja wakristo wenye msimamo mkali watafafanua eti kwa sababu serikali ilishindwa kujenga hizo hospitali lakini kanisa likajenga ndo maana serikali inasaidia kuziendesha....eti ndo hoja watakayokuja nayo! Waambieni mmesema masuala ya kidini waachiwe waumini wenyewe.....! Kanuni hiyo haibadiliki hata kama serikali ilishindwa kujenga hospitali.......Si masuala ya dini mmesema waachiwe waumini wenyewe? Na serikali si haina dini? Vije leo kwenye hili la hospitali serikali inahusika? Kwani ni wakristo pekee wanaotibiwa DDH?
 
Usijifanye hujanielewa hoja zangu. Serikali inahusika vipi na kitu ambacho si cha kiserikali? Si mmesema masuala ya dini serikali isihusike? Sasa hapa inahusikaje? Usisingizie kuwa inahudumia watanzania wote! Huo ni uongo....wengine hawatibiwi hapo. Ondoa sababu kisa eti inahudumia watanzania wote. Mauala ya dini waachiwe dini yenyewe...ndo kanuni. No exception!!!! Tumesema mahakam ya kanisa mbona wewe umegeuza unasema mabaraza ya kanisa? Kwa nini unakwepa kutumia neno "mahakama ya kanisa?' Unaogopa nini? Acha kukwepa hoja.....!
Kwani afya ni dini?serikali inawajibika kutoa huduma muhimu,pale isipoweza inadeligeti!
 
We f*l* nilikuwa sitaki kuchangia hii mada lakini kwa ujinga ulioonesha wacha nikujibu. Aliyekwambia mwezi wa ramadhani huamsha magonjwa ni nani? Ndo elimu mnayofundhishwa makanisani ili muone waislamu tunapofunga huwa tunakosea? Tumbaku.....! Hayo manguruwe yenu ndo yanaleta maradhi na si mwezi wa ramadhani! Funga ni dawa wewe......ukiwa na kitambi chako kisicho na mpangilio wewe funga siku 30 kama wafanyavyo waislamu utapona...hutahangaika na kutembea makilometa ili kupunguza kitambi.
Eti huwa mnajifariji kwa kutuponda waislamu kwamba huwa tunabadilisha muda wa kula tu na wala hiyo tufanyayo huwa siyo funga.....! Pole sana...
nauliza na ninyi si mumeamriwa kufunga? Huwa mnafunga kama sisi kuannzia alfajiri mpaka jioni? Thubutu.......Mimi huwa naona mnapunguza idadi ya bia mnazokunywa tu. Sijawahi kukutana na mristo ananuka mdomo wa kukosa kula kutwa nzima. Mtu aliyefunga utamjua tu hata akipiga mswaki namna gani harufu ya mdomoni utaisikia. Uelewe kuna harufu fulani ya kukosa kula na si harufu ya kawaida ya mdomoni. Uwe mwelewa. Funga ni dawa wewe acha ugalatia wako....

Tusio na vitambi kumbe hatuna haja ya kufunga.....????
 
Usijifanye hujanielewa hoja zangu. Serikali inahusika vipi na kitu ambacho si cha kiserikali? Si mmesema masuala ya dini serikali isihusike? Sasa hapa inahusikaje? Usisingizie kuwa inahudumia watanzania wote! Huo ni uongo....wengine hawatibiwi hapo. Ondoa sababu kisa eti inahudumia watanzania wote. Mauala ya dini waachiwe dini yenyewe...ndo kanuni. No exception!!!!
Tumesema mahakam ya kanisa mbona wewe umegeuza unasema mabaraza ya kanisa? Kwa nini unakwepa kutumia neno "mahakama ya kanisa?' Unaogopa nini? Acha kukwepa hoja.....!

we jamaa una uelewa mdogo sana,unashindwa kutofautisha kati ya hospitali inayotoa huduma kwa watanzania wote na mahakama ambayo inalenga upande mmoja,unashindwa kujua umuhimu wa hospital inayo toa ajira kwa watu wa pande zote na mahakama ambayo inalenga upande mmoja??? umesha wahi kusikia mahakama ya kanisa ipo kikatiba? unatakiwa ujue kanisa lina mabaraza ya kanisa maalum kwa ajiri ya kusuruhisha migogoro ya ndoa.

stay awake u st.upid.
 
Hoja zenu tunazijua. Nazo ni Kanisa kulipiwa gharama na serikali ni haki kisingizio hospitali na mashule wanazoma watanzania wote. Uongo mkubwa......Ukisoma shule za kikristo nawe ni mwislamu kufaulu ni mbinde. Ni lazima wakulishe manguruwe na kukulazimisha kumwabudu binadamu Yesu au mama yake akiwa katika mfano wa kinyago. Ila uislamu kufadhiliwa kidogo tu na serikali ni nongwa!!!! Mnaona uchungu. Hizo ndo hoja zenu. Upo?
Kumbe Prof TD naye alikula manguluwe!
 
Usijifanye hujanielewa hoja zangu. Serikali inahusika vipi na kitu ambacho si cha kiserikali? Si mmesema masuala ya dini serikali isihusike? Sasa hapa inahusikaje? Usisingizie kuwa inahudumia watanzania wote! Huo ni uongo....wengine hawatibiwi hapo. Ondoa sababu kisa eti inahudumia watanzania wote. Mauala ya dini waachiwe dini yenyewe...ndo kanuni. No exception!!!!
Tumesema mahakam ya kanisa mbona wewe umegeuza unasema mabaraza ya kanisa? Kwa nini unakwepa kutumia neno "mahakama ya kanisa?' Unaogopa nini? Acha kukwepa hoja.....!

Hebu na nyie jengeni hizo hospital alafu muone kama serikali haitaleta ruzuku kuweni na hoja zenye mashiko
 
Wakuu,
Kumbe hata Wakristo wana Mahakama zao, Serikali ifike mahali itungie Sheria Mahakama za Kanisa ili zitambuliwe kisheria na kama ikiwezekana Kikatiba! Naomba kutoa hoja!

10653647_884656378222843_2855008467810999438_n.jpg

tangazo hili kama linatia shaka,navyo jua kuna utaratibu wa kumuita mtu kwenye mashauri ya ndoa ya kikanisa na sio kupitia magazeti,hilo tangazo linatia shaka.1:lilitolewa kwenye gazeti gani?
2:mashauri hufanyika parokiani,nyumbani kwa pengo kuna parokia?
3:naomba tarehe ya gazeti nikalitafute!!
 
Wanajamvi.

Kutokana na kile kinachooneka kwamba ni KUSHAMIRI NA KUOTA MIZIZI KWA MFUMO KRISTO NDAN YA NCHI HII hali imeeendelea kuwa kizungumkuti kuhusu Suala hili la mahakama ya KADHI baina ya Jamiii ya waislam na hawa ndugu wengine wa upande wa pili.

Pindi ambapo waislam walikuwa wanapendekeza sheria ya mahakama hiyo ya kadhi itambuliwe kisheria tayari Wakristo walishadhirasimisha mahakama hizo na hakuna kipongamizi chochote walichopata kutoka kwa waislam??

Na huko kuzirasimisha bila shaka kumepata ridhaa ndan ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania??


Mahakama hizo za kanisa hushugulikia migogoro ya ndoa...likewise mahakama za kadhi hushughulikia mambo ya ndoa na mirathi...hakuna mambo ya jinai yanayoweza shughulikiwa na mahakama hizo sasa tatizo liko wapi??

Maaskofu wameshinikiza kila aina ya mashinikizo eti hili suala ligonge mwamba ili hali wao tayari suala hili wanalo na hakuna aliewapinga.

Tatizo ni nin lakin??


Naweka hii attachment hapa chini inayoonesha na kuthibitisha hiki tunachokisema na KUITAHADHARISHA SERIKALI SUALA LA KUUMBATIA MFUMO KRISTO NA MASHINIKIZO YA MAASKOFU YASIYO NA TIJA YATALIPELELEA TAIFA HILI SEHEMU MBAYA.

HII NI NCHI YETU SOTE NA KILA MTU ANA HAKI YA KUPATA HAKI ZAKE ZA MSINGI KIKATIBA IKIWEMO HAKI HII YA UHURU WA MAMBO YA IMANI.

KIPI SASA KOLICHOFANYA SHERIA HII NA BUNGE KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KANISA NA IWE SHIDA KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KADHI?

UKIANGALIA HII ATTACHMENT HAPA CHINI UTAONA KWAMBA MTU KAITWA KWENDA MAHAKAMA ZA KANISA KWA R.B YA POLISI NA MAANA NI KWAMBA AKIKAID POLISI ITAMCHUKULIA HATUA.

POLISI HAWA WANAOENFORCE HIYO SHERIA SI WANATUMIA KODI YETU PIA?


IWEJE KODI YETU SISI ITUMIKE KUTEKELEZA ORDER ZA MAHAKAMA ZA KANISA??

HII SIO HAKI NA MWISHO WAKE SIO MWEMA.

DOUBLE STANDARDS YA NIN?
 
Hizo za kikristo zimepelekwa bungeni kutungiwa sheria lini?

Katiba hiii imekuwa copied tuh huku kwetu so tokea katiba hii inaanzishwa mahakama za kanisa na kadhi zilikuwepo.

Mahakama za kadhi zikachomolewa na NYERERE LAANA IWE JUI YAKE..NA ZA KANISA ZIKAACHWA.

NA UKISOMA KILE KIFUNGU CHA KUENFORCE HIYO AMRI YA MAHAKAMA ZA KANISA KINASEMA.


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

MAHAKAMA KUU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

DIVISION YA KAZI.

....WITO WA MASHAURI KWENYE MAHAKAMA ZA KANISA...

HAPO MUHUSIKA KAANDIKIWA R.B NA JESHI LA POLISI...KWA KUTUMIA KODI ZETU SISI PIA WAISLAAM...MUHUSIKA ANAPEWA WIITO ARIPOTI KWA KADINALI PENDO TENA NA JESHI LA POLISI??

KAMA SERIKALI HII HAINA DINI ENHEE IWEJE SASA JESHI LETU LA POLISI LITUMIKE KUTEKELEZA WIITO WA CADINAL PENGO??

SERIKALI HAINA DINI TUNASEMA

SASA IWEJE POLISI WETU WATUMIKE KUTELELEZA AMRI ZA MAHAKAMA??
 
haya mambo yanakuwa magumu sana kutokana na viongozi wetu wa dini ya kiislam kuwa wanafiki.viongozi wa taasisi yetu ambayo ccm na serikali yake imeikumbatia yaani BAKWATA viongozi wake wengi ninjaa kupindukia.hawana misimamo na dini yao.
waislam tutachelewa sana kupata uhuru wa kuabudu ktk hii jamhuri ya kipagani.

fanya uchunguzi mwa makatibu na wenyeviti wa bakwata mkoa na wilaya utaona viongozi wao wengi ni wazee ambao hata kanzu aliyo vaa nimtihani yaani imechoka kuliko maelezo.
sasa viongozi kama hawa ambao hata kula yao na vaa yao na elimu ya mazingira imewapiga chenga ukawakutanishe na kina kilaini lazima watafyata mkia nakutii matakwa ya kanisa.

hatuwezi kupata haki bila ccm kufa na bakwata kufa kamwe.
 
Kuna ya waislam ndiyo chanzo cha nchi hii kutokuendelea vema! Hakuna mahakama ya Wakristo, kufungisha na kusuluhisha ndoa sio mahakama, kama ni mahakama kufanya hivyo basi hata waislam wanayo manake masheikh pia hufungisha ndoa! Na toka lini ukaona Wakristo wakibwabwaja kulazimisha mambo ya dini bungeni?
Hopeless thread! Sio ajabu mmetumwa na mafisadi wa CCM kuleta mijadala ya kipuuzi ili kuwa fanya Watanzania wasijadili mambo ya msingi!
 
big show tunazunguka mlemle kila siku.. hizo za wakristo lini zilipelekewa mswada bungeni?
lini waliomba serikali ndio igharamie?

Tumia akili.

Hizo za kanisa zilikuwapo tokea za zaman kama zilivyokawepo za kadhi.

Hizi za kadhi zikachomolewa na za kanisa zikaachwa.

Hizo za kanisa ZINATAMBULIWA KISHERIA NA POLISI WETU WANATOA HADI R.B KUMPELEKEA MUHUSIKA AENDE KURIPOTI KANISANI KWA KADINALI PENGO...

IWEJE SASA POLISI WETU AMBAO MNASEMA SERIKALI HAINA DINI WATUMIKE KUENFORCE SHERIA ZA KANISA??

USINIULIZE LINI MUSWADA ULIPELEKWE BUNGENI KUHUSU MAHAKAMQ ZA KANISA

FACT NI KWAMBA MAHAKAMA HIZO ZIPO TOKEA KATIBA HII ILIPOANZISHWA.

KWAIYO WAKRISTO KUTUMIA KODI ZETU KUTEKELEZA SHERIA ZA MAHAKAMA ZA KANISA HAKUNA SHIDA

IKIJA KWA WAISLAM NI SHIDA?
 
Back
Top Bottom