Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

Siyo mahakama tu bali hata hiyo suruali uliyoivaa ni uelekeo wa wakristo au wazungu kama ulivyotamka. Ukitaka usiathiriwe kabisa na mfumo wa wazungu, uwe unaenda kazini na msuli. Hata magari unayoyapanda ni wazungu ndiyo walianza kuyatengeneza, ukitaka uarabu tumia ngamia. Hata hospitali usiende maana huu mfumo tiba tunaoufuata ni wa kizungu.

Kama hutaki kabisa mfumo wa wazungu hata shule hizi usiende kabisa, nenda tu madrasa.

Ni ujinga mkubwa kutopenda kitu fulani au mfumo fulani hata kama mfumo huo ni mzuri kwa sababu tu aliyeuanzisha ana imani fulani. Kama huwataki wazungu, acha kutumia magari, ndege, boats, vipimo na matibabu ya mahospitalini, na kila kitu tukiitacho kama ustaarabu wa leo.

Hapa tunazungumzia mfumo wa sheria, sio vitu.
Hivi yesu alisoma mfumo gani wa elimu? Wa madra au wa kizungu
 
Wanajamvi.

Kutokana na kile kinachooneka kwamba ni KUSHAMIRI NA KUOTA MIZIZI KWA MFUMO KRISTO NDAN YA NCHI HII hali imeeendelea kuwa kizungumkuti kuhusu Suala hili la mahakama ya KADHI baina ya Jamiii ya waislam na hawa ndugu wengine wa upande wa pili.

Pindi ambapo waislam walikuwa wanapendekeza sheria ya mahakama hiyo ya kadhi itambuliwe kisheria tayari Wakristo walishadhirasimisha mahakama hizo na hakuna kipongamizi chochote walichopata kutoka kwa waislam??

Na huko kuzirasimisha bila shaka kumepata ridhaa ndan ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania??

Mahakama hizo za kanisa hushugulikia migogoro ya ndoa...likewise mahakama za kadhi hushughulikia mambo ya ndoa na mirathi...hakuna mambo ya jinai yanayoweza shughulikiwa na mahakama hizo sasa tatizo liko wapi??

Maaskofu wameshinikiza kila aina ya mashinikizo eti hili suala ligonge mwamba ili hali wao tayari suala hili wanalo na hakuna aliewapinga.

Tatizo ni nin lakin??

Naweka hii attachment hapa chini inayoonesha na kuthibitisha hiki tunachokisema na KUITAHADHARISHA SERIKALI SUALA LA KUUMBATIA MFUMO KRISTO NA MASHINIKIZO YA MAASKOFU YASIYO NA TIJA YATALIPELELEA TAIFA HILI SEHEMU MBAYA.

HII NI NCHI YETU SOTE NA KILA MTU ANA HAKI YA KUPATA HAKI ZAKE ZA MSINGI KIKATIBA IKIWEMO HAKI HII YA UHURU WA MAMBO YA IMANI.

KIPI SASA KOLICHOFANYA SHERIA HII NA BUNGE KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KANISA NA IWE SHIDA KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KADHI?

UKIANGALIA HII ATTACHMENT HAPA CHINI UTAONA KWAMBA MTU KAITWA KWENDA MAHAKAMA ZA KANISA KWA R.B YA POLISI NA MAANA NI KWAMBA AKIKAID POLISI ITAMCHUKULIA HATUA.

POLISI HAWA WANAOENFORCE HIYO SHERIA SI WANATUMIA KODI YETU PIA?

IWEJE KODI YETU SISI ITUMIKE KUTEKELEZA ORDER ZA MAHAKAMA ZA KANISA??

HII SIO HAKI NA MWISHO WAKE SIO MWEMA.

DOUBLE STANDARDS YA NIN?
THE BIG SHOW wacha kukoleza chumvi kwa kusema uongo. hakuna nguvu ya kidola kwenye mahakama za kanisa tanzania. mfumo kristo ni msemo wa uchochezi tu hauna maana. mfumo wa mahakama na sheria tz hauna dini.
 
Mkuu big sHOW tatizo kubwa la hawa waumini wa upande wa pili ni kuishi na kumezeshwa vitu na viongozi wao pasipo kuhoji undani au uhalali wa jambo husika.Ukiangalia kwa undani ni HOFU,UCHOYO tu vimetawala juu ya suala la KADHI.Kuna wajinga wanahoji mpaka matumizi ya kodi kutumika kwenye masuala ya waislam wa Tanzania lakini hawahoji juu ya kodi kutumika katika migogoro ya nchi jirani k.m Rwanda,Burundi,Congo DRC,Sudan n.k,Ni chuki tu.Uislam umejitosheleza kwa kila jambo hakuna liloachwa.Mahakama ya KADHI itadeal na mambo machache tu kama ndoa na mirathi tu sasa hofu ya nini kwa hawa wenzetu? kodi kwani waislam hawalipi? au wapi kisheria kodi imekataza kutumika kwa wananchi wake wenye imani tofauti na ukristo.Msamaha wa kodi nayo ni matumizi ya kodi na ndio maana hata kwenye ripoti za mahesabu wanaweka taarifa.Leo ni mabilioni mangapi ya misamaha ya kodi kanisa linafaidika nalo?
ACHENI CHUKI WAKRISTO ACHENI KUONGOZWA NA FIKRA ZA MAPADRI NA WACHUNGAJI.

mkuu sijui ni wapi ambapo hapajaeleweka ni wapi serikali imekataa uwepo wa mahakama ya kadhi..? tatizo linakuja pale mnapoambiwa muunde hizo mahakama na mzihudumie wenyewe mnakuwa wakali kama pilipili lengo ni kuishinikiza serikali iingie kwenye dini embu acheni kuwahukumu hawa wakristo kila siku wasio na hatia waislam mnajitoa sana ufahamu na mnayaangalia aya mambo kiitikadi zaidi na sio uhalisia
 
Last edited by a moderator:
Asante big show kwa kuwakilisha akili za answar suna...kama kuna mtu hajawai kujichanganya kwenye vijiwe vya answar sunna basi huu ndio upeo wao na ata wakiitwa kwenye kamati ndio namna wanavyojenga hoja.
 
Uelewa wa mambo mdogo. Nadhan unahitaji msaada wa kisheria, ukipata kitu kama hiki inabidi ufuatilie kwa undani, ikibidi chukua hizo RB ukapate maelezo polisi afu uje humu... Ndo maana mnatakiwa kwenda shule na sio madrasa...
 
Nyie jamaa mna tapa tapa sana.

1??? Sijaona attachment yyt kwenye hii thread yako.

2😎 nyie Waislam mnadai mko wengi zaidi kuliko Wakristo, iweje mfumo uliopo wa kuendesha nchi uwe wa walio wachache?

3:banghead: Rais aliepo madarakani ni muislam, amewasaidia sana ktk ajira za upendeleo. Iweje asishindwe kuwasaidia ktk hili???

CC FaizaFoxy

Ni kweli mkuu. Hakuna attachment yyte hapo. Hawa jamaa sijui wanataka nini sasa coz top leader ni wa kwao .
 
Last edited by a moderator:
Maelezo mengi kama gazeti la Tazama, ndani hakuna kitu...fanya utafiti makini ndio uje hapa, wewe mtoto wa juzi tu unaleta muwasho wa roho.

Mahakama zilizopo sasa ni za serikari zinazofata usawa wa utu na haki bila kujali kabila, dini n.k

Wakiristo wana mahakama zao ambazo kimsingi zinafata taaratibu zao Cannon law, hawaliili hovyo serikari kuwasaidia, wanakusanya sadaka na vitega uchumi kibao wanaendesha vizuri, na zinaheshimu sana sheria zote za nchi, hakuna kukata vichwa huko, kupigana mawe sijui n.k

Na nyie kaeni na Bakwata yenu undeni mahakama yenu muiendeshe nyie, serikari itakuwa muangalizi wa haki tu, achane kushinda vijiweni, kwenye kahawa, kuongeza wake tu, someni formal education, tafuteni mapoli na mjenge vitega uchumi, punguzeni ubaguzi (chuo cha moro) n.k

Mwisho funga thread yako, haya karibu kwa matusi kwani kujibu hoja hujui wewe nursing assistant (NA)

duh kumbe ni nesi
 
Kama kweli mahakama ya Kadhi itashughulikia masuala ya NDOA NA MIRATHI, mbona haya ni mambo madogo sana? Kwanini hawa jamaa wameng'ang'ana sana? Hakuna MNA lenu jambo. Sasa hivi Kenya wanaomboleza kifo cha mwanamke mfanyakazi za ndani aliyeuwawa na waarabu. Hii dini iliyoletwa na Waarabu haina nia njema, MAMBO YENU HUKOHUKO MISIKITINI!! Samahani kwa msimamo huo. HALAFU MMEMBANIKA RUBANI WA JORDAN BILA HURUMA, TENA AKIWA HAI. NO NO NO NOOOOOOOOOOO!!!
umeshakaririshwa kwenye vigango uwachukie waarabu ukiulizwa wamekufanyia nini kibaya Huna ni chukitu juu ya chuki na Dini yenu ya ufisadi. Ajira za kupendelewa mnapewa nyinyi shame on you gays
 
Katiba hiii imekuwa copied tuh huku kwetu so tokea katiba hii inaanzishwa mahakama za kanisa na kadhi zilikuwepo.

Mahakama za kadhi zikachomolewa na NYERERE LAANA IWE JUI YAKE..NA ZA KANISA ZIKAACHWA.

NA UKISOMA KILE KIFUNGU CHA KUENFORCE HIYO AMRI YA MAHAKAMA ZA KANISA KINASEMA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

MAHAKAMA KUU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

DIVISION YA KAZI.

....WITO WA MASHAURI KWENYE MAHAKAMA ZA KANISA...

HAPO MUHUSIKA KAANDIKIWA R.B NA JESHI LA POLISI...KWA KUTUMIA KODI ZETU SISI PIA WAISLAAM...MUHUSIKA ANAPEWA WIITO ARIPOTI KWA KADINALI PENDO TENA NA JESHI LA POLISI??

KAMA SERIKALI HII HAINA DINI ENHEE IWEJE SASA JESHI LETU LA POLISI LITUMIKE KUTEKELEZA WIITO WA CADINAL PENGO??

SERIKALI HAINA DINI TUNASEMA

SASA IWEJE POLISI WETU WATUMIKE KUTELELEZA AMRI ZA MAHAKAMA??

Naanza kuogopa! Kuna aina mbili ya kuleta chokochoko. Ya kwanza ni ile ya uwazi kabisa, unamkwida mwenzio, unamtukana au unamnyanganya kitu. Hii kwa taifa ni kama majeshi kuvamia nchi. Ya pili ni pale kuaminisha wengine kwamba kuna ugomvi, kuna uonevu, kuna harufu ya kutukwana nk. Hata ndani ya familia mke anaweza akaanza kuhisi tu kwamba mumeo anatoka nje ya ndoa. Katika hili la Mahakama ya Kadhi, tunaanza kulifanya kama ni sababu ya kujichonganisha.

Mosi, shutuma za mfumo Kristo na ushahidi wa kina Big Show- wa kuhisia, wa kudhani kwa kuwa mkoloni alikuwa Mzungu na Mkristo basi inawezekana na haya mengine. Tuwe waangalifu. Machafuko ya dini kwa Tanzania yatakuwa mabaya zaidi kuliko mahali pengi duniani. Mosi kwa sababu familia nyingi zina mchanganyo wa imani za dini. Na hakuna machafuko mabaya kama ndani ya familia.

Tukubali tu kwamba mjadala wa kuwa na mahakama ya kadhi kwa wakati huu wa kelele nyingi za manyanyaso ya kina mama/dada/bibi zetu, nyakati za Al Shabab (kumbuka walichomfanyia yule Binti aliyeolewa na Mkristo), Boko Haramu na ISIS wanavyoongeza mbio za kusilimisha dunia achana na Alkeeda nk. Huwezi ukawa na uhakika hoja hii ni kweli ya waislamu wenye imani dhatiti au ni ya hayo mashetani yanayojiita waislamu. Ni lazima kuwa wangalifu. Shida yetu ni wanasiasa- upande mmoja na upande wa pili ni waislamu ambao wamegawanyika na hasa wale ambao wanapenda kubebwa na wanasiasa, wanaotaka kama Big Show anavyosema kujipambanisha na Ukristo kwa kile kinachohisiwa wakristo wana mahakama yao tena inagharamiwa na dola!
 
Uwo ushahidi wako uko wapi sasa mbona unatunyima nguvu mkuuu wa kuchngia mada yako . Yanakuwa kama maneno ya mtaani tu weka ushahidi watu tumwagike hapa.

Labda alimaniisha hiki
 
Attachments

  • 1423395931957.jpg
    1423395931957.jpg
    28.4 KB · Views: 139
Katiba hiii imekuwa copied tuh huku kwetu so tokea katiba hii inaanzishwa mahakama za kanisa na kadhi zilikuwepo.

Mahakama za kadhi zikachomolewa na NYERERE LAANA IWE JUI YAKE..NA ZA KANISA ZIKAACHWA.

NA UKISOMA KILE KIFUNGU CHA KUENFORCE HIYO AMRI YA MAHAKAMA ZA KANISA KINASEMA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

MAHAKAMA KUU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

DIVISION YA KAZI.

....WITO WA MASHAURI KWENYE MAHAKAMA ZA KANISA...

HAPO MUHUSIKA KAANDIKIWA R.B NA JESHI LA POLISI...KWA KUTUMIA KODI ZETU SISI PIA WAISLAAM...MUHUSIKA ANAPEWA WIITO ARIPOTI KWA KADINALI PENDO TENA NA JESHI LA POLISI??

KAMA SERIKALI HII HAINA DINI ENHEE IWEJE SASA JESHI LETU LA POLISI LITUMIKE KUTEKELEZA WIITO WA CADINAL PENGO??

SERIKALI HAINA DINI TUNASEMA

SASA IWEJE POLISI WETU WATUMIKE KUTELELEZA AMRI ZA MAHAKAMA??
Raisi wa nchi hii ni dini gani?makamu wa rais?wakuu wa Mikoa na wilaya zaidi ya asilimia 70 ni waislam,wakurugenzi na wakuu wa idara nyeti za serikali ni waislam.wewe umekosa ya kusema.
 
Tatizo ni kwamba dini yenu haiwezi kutekelezeka bila kulazimishana kwa nguvu ndiyo maana mnataka backup ya vyombo vya dola vingnevyo hiyo migogoro mnaweza kuamulia masjid kwa kuwalingania mahasimu then wanafuata kilichoamriwa na mungu wenu. Kitu kingine KATIBA ndio sheria mama sasa ukitaka katiba iitambue mahakama ambayo itakwenda kinyume nayo shiit! Eg.
1. Kuwadhulumu KE kwa 7bu ya jinsia yao ktk mirathi na talaka.
2. Serikal kujihusisha kuendesha shughuli za dini.
 
Wanajamvi.

Kutokana na kile kinachooneka kwamba ni KUSHAMIRI NA KUOTA MIZIZI KWA MFUMO KRISTO NDAN YA NCHI HII hali imeeendelea kuwa kizungumkuti kuhusu Suala hili la mahakama ya KADHI baina ya Jamiii ya waislam na hawa ndugu wengine wa upande wa pili.

Pindi ambapo waislam walikuwa wanapendekeza sheria ya mahakama hiyo ya kadhi itambuliwe kisheria tayari Wakristo walishadhirasimisha mahakama hizo na hakuna kipongamizi chochote walichopata kutoka kwa waislam??

Na huko kuzirasimisha bila shaka kumepata ridhaa ndan ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania??

Mahakama hizo za kanisa hushugulikia migogoro ya ndoa...likewise mahakama za kadhi hushughulikia mambo ya ndoa na mirathi...hakuna mambo ya jinai yanayoweza shughulikiwa na mahakama hizo sasa tatizo liko wapi??

Maaskofu wameshinikiza kila aina ya mashinikizo eti hili suala ligonge mwamba ili hali wao tayari suala hili wanalo na hakuna aliewapinga.

Tatizo ni nin lakin??

Naweka hii attachment hapa chini inayoonesha na kuthibitisha hiki tunachokisema na KUITAHADHARISHA SERIKALI SUALA LA KUUMBATIA MFUMO KRISTO NA MASHINIKIZO YA MAASKOFU YASIYO NA TIJA YATALIPELELEA TAIFA HILI SEHEMU MBAYA.

HII NI NCHI YETU SOTE NA KILA MTU ANA HAKI YA KUPATA HAKI ZAKE ZA MSINGI KIKATIBA IKIWEMO HAKI HII YA UHURU WA MAMBO YA IMANI.

KIPI SASA KOLICHOFANYA SHERIA HII NA BUNGE KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KANISA NA IWE SHIDA KUIRASIMISHA MAHAKAMA ZA KADHI?

UKIANGALIA HII ATTACHMENT HAPA CHINI UTAONA KWAMBA MTU KAITWA KWENDA MAHAKAMA ZA KANISA KWA R.B YA POLISI NA MAANA NI KWAMBA AKIKAID POLISI ITAMCHUKULIA HATUA.

POLISI HAWA WANAOENFORCE HIYO SHERIA SI WANATUMIA KODI YETU PIA?

IWEJE KODI YETU SISI ITUMIKE KUTEKELEZA ORDER ZA MAHAKAMA ZA KANISA??

HII SIO HAKI NA MWISHO WAKE SIO MWEMA.

DOUBLE STANDARDS YA NIN?

Mkuu
Kuna mahakimu(kadhi) wangapi wa kikristo katika kila wilaya kama ilivyokuwa inakusudiwa kwa makadhi?
Hebu tusipotoshe umma ndugu zangu.
 
Hebu nijulishe elimu ya yesu, na alisoma shule gani na chuo kikuu kipi? Pia alisomea nini?

Nani alikudanganya kuwa Muumba wetu alikwenda shule? Shule ya nini wakati Yeye ndiye muumbaji wa vitu vyote pamoja na shule.
Yeye haitaji kwenda shule, ndiyo maana hata pale alipopewa scrolls za Isaya alisoma na wale waliokuwepo walishangaa; hawakujua kuwa Yeye ni Muweza YOTE!
 
Huu hapa Uthibitisho
 
Attachments

  • 1423397772950.jpg
    1423397772950.jpg
    68.5 KB · Views: 277
Nani alikudanganya kuwa Muumba wetu alikwenda shule? Shule ya nini wakati Yeye ndiye muumbaji wa vitu vyote pamoja na shule.
Yeye haitaji kwenda shule, ndiyo maana hata pale alipopewa scrolls za Isaya alisoma na wale waliokuwepo walishangaa; hawakujua kuwa Yeye ni Muweza YOTE!

Aisee kumbe umeumbwa na yesu? Kwa hiyo yesu ni mungu wako? Tubu mapema kwa kumlinganisha yesu na mungu muumba mbingu na aridhi na vilivyomo akiwemo yesu
 
Back
Top Bottom