Kumbe CAF super league wanachukua hadi timu mbovu

vibertz

JF-Expert Member
Mar 15, 2022
1,381
2,523
Hizi ni timu nane ambazo zimepewa nafasi ya kushiriki super league.

1) Tp Mazembe
2) Es Tunis
3) Petro Luanda
4)Horoya
5)Simba
6) Wydad
7) Mamelod
8) Al Ahly

Wakati mashindano haya yanazinduliwa, Simba waliinasibu kuwa ni mashindano ya timu bora tupu ndio zinazoshiriki hayo mashindano, lakini Mazembe alivyofungwa na Yanga nje ndani mkaidharau Mazembe kuwa ni timu mbovu. Kumbe super league zinachukuliwa hadi timu mbovu.
 
Performance ya miaka 5, hiyo Mazembe ni mbovu miaka hii miwili, na ndio maana ikaja ishu ya kuzipa timu hizo kitita cha fedha za maandalizi, ikiwa ni pamoja na kusajili wachezaji wazuri. Usishangae kuona Mazembe inakuja na sura nyingine kabisa baada ya kupewa fedha za maandalizi. Kwa ufupi, hii ni ligi ya fedha fedha
 
Hizi ni timu nane ambazo zimepewa nafasi ya kushiriki super league.

1) Tp Mazembe
2) Es Tunis
3) Petro Luanda
4)Horoya
5)Simba
6) Wydad
7) Mamelod
8) Al Ahly

Wakati mashindano haya yanazinduliwa, Simba waliinasibu kuwa ni mashindano ya timu bora tupu ndio zinazoshiriki hayo mashindano, lakini Mazembe alivyofungwa na Yanga nje ndani mkaidharau Mazembe kuwa ni timu mbovu. Kumbe super league zinachukuliwa hadi timu mbovu.
Kwa ufupi was akili yako unadhani wanaangalia mechi moja au mbili.

Wanaangalia ulifanya nn angalao misimu 5 iliyopita.

Usidhani Ni kirahisi rahisi tu.

Halafu utopolo sijui kwa Sasa mnajiona sijui Ni wakaona Nani vile.
 
Lete record ya mazembe kwa hiyo miaka mitano wamevuna kipi? Kati ya Mazembe na Al Hilal ni timu ipi imeonesha performance nzuri kwa misimu mitano?
Huyo Horoya ndio kabisa ameishia group stage tu kwa record ya hivi kariibuni
 
Wewe acha kukaza ubongo hizo timu zimechukuliwa kikanda pia... Yan kila kanda imechukuliwa timu yenye hiyo perfomance bora.
 
Tafuteni hela Vijana! Too much talking of kubishana Simba na Yanga!

Simba ni timu mbovu Haina kombe lolote hata kama imeibahatisha kuifunga Yanga ikienda kwa Wydad safari imeishia hapo, huko Super cup ni aibu tupu inakuja maana nguvu za Giza zimeisha baada ya kushinda derby ya mchongo kona Si Kona halali mpira umeanzishwa bila filimbi ya Refa aliekuwa kageukia kwingine akitoa maelekezo lengo kuvizia Yanga hawajajipanga na ni hakuna VAR goli lingefutwa na mechi ingekuwa tofauti hata huyo kibu asingefunga mnamsifia hata robo ya Mayele Bado , Yanga walipoteana tu kwa goli la mchongo liliwachanganya!

Kelele kibaooo tu wakati ni kipofu kaona mwezi, masikini akipata bwana m... Hulia mbwata and every dog 🐶 has his day!! Tangu 2019 ni kipigo tu kwa Mnyama hadi vijana wa Yanga wakaiona Simba kama Majimaji ndicho kiliwacost sio ubora wa Simba Bali uzembe na dharai za Yanga, wenye akili tunajua !!

Huko super cup na CAF champions league Simba ni kenge tu that is the fact!! Hakuna record yoyote kubwa ya Simba

Ushindi WA derby ya mchongo vijana hata kazi hawafanyi Tena wengi wamepata ajali kibao za magari na bodaboda kusherehekea kupata kombe la kuifunga Yanga! Stupid
 
Super League ilianzishwa na Simba.
Iliwaalika.
TP.Mazembe
Al-hilaly
Simba yenyewe
Asec memosa
Na viongozi wa CAF.

SIMBA tukafungwa na Baleke kwa Tiktak.
Ndio CAF wakaiga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom