Simba SC na Timu zingine 7 Kutocheza hatua za Awali CAFCL bali zitaingia Makundi Moja kwa Moja

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Wakati Timu Moja mbovu mbovu nchini Tanzania na isiyo na Uzoefu wa Kucheza CAFCL japo ilibahatisha kufanya vyema CAFCC ikianza Kucheza Mechi zake Mbili au Nne za Hatua za Awali ambapo GENTAMIYCINE nina uhakika itatolewa na kurejea Kucheza NBC Premier League CAF wametoa Utaratibu mpya ambao unaihusu Timu bora Tanzania na Afrika ya Simba SC.

Taarifa rasmi ikufikie kuwa CAF wameamua Timu Nane ( 8 ) za Barani Afrika ambazo zitacheza Michuano mipya ya SUPER CUP hazitacheza tena Hatua za Awali za Michuano ya CAFCL bali zitaingizwa moja kwa moja katika Makundi na kuanzia huko.

Timu zenyewe ni hizi zifuatazo......

1. Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
2. Al Ahly (Misri)
3. Wydad Casablanca (Morocco)
4. Esperance du Tunis (Tunisia)
5. Simba SC (Tanzania)
6. TP Mazembe (Congo DR)
7. Petro du Luanda (Angola)
8. Enyimba (Nigeria)

Chanzo: Mitandao Mikubwa ya Michezo Afrika

Mkiwa mnaambiwa kuwa kwa Tanzania na Afrika Mashariki Timu Bora ni Simba SC pekee muache kuwa Wabishi na ndiyo maana hata kwa Afrika sasa ni ya Saba ( 7 ) kwa Viwango huku Wasiojua wengine pamoja na Kucheza Fainali ya CAFCC hata katika Top 20 tu hawapo.

Mkubwa ni Mkubwa tu Kudadadeki!!!!
 
Screenshot_20230711-164010.jpg
 
Duuuuh! Kwambq mnaingia makundi moja kwa moja🤣🤣🤣 utaendelea kuwaokota sana vilaza wa umbumbuni🤔🤔 hii kali ya mwaka!
 
Wakati Timu Moja mbovu mbovu nchini Tanzania na isiyo na Uzoefu wa Kucheza CAFCL japo ilibahatisha kufanya vyema CAFCC ikianza Kucheza Mechi zake Mbili au Nne za Hatua za Awali ambapo GENTAMIYCINE nina uhakika itatolewa na kurejea Kucheza NBC Premier League CAF wametoa Utaratibu mpya ambao unaihusu Timu bora Tanzania na Afrika ya Simba SC.

Taarifa rasmi ikufikie kuwa CAF wameamua Timu Nane ( 8 ) za Barani Afrika ambazo zitacheza Michuano mipya ya SUPER CUP hazitacheza tena Hatua za Awali za Michuano ya CAFCL bali zitaingizwa moja kwa moja katika Makundi na kuanzia huko.

Timu zenyewe ni hizi zifuatazo......

1. Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
2. Al Ahly (Misri)
3. Wydad Casablanca (Morocco)
4. Esperance du Tunis (Tunisia)
5. Simba SC (Tanzania)
6. TP Mazembe (Congo DR)
7. Petro du Luanda (Angola)
8. Enyimba (Nigeria)

Chanzo: Mitandao Mikubwa ya Michezo Afrika

Mkiwa mnaambiwa kuwa kwa Tanzania na Afrika Mashariki Timu Bora ni Simba SC pekee muache kuwa Wabishi na ndiyo maana hata kwa Afrika sasa ni ya Saba ( 7 ) kwa Viwango huku Wasiojua wengine pamoja na Kucheza Fainali ya CAFCC hata katika Top 20 tu hawapo.

Mkubwa ni Mkubwa tu Kudadadeki!!!!
hongera kwa simba

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo taarifa na mimi niliiona ila sijajua ina ukweli kwa kiasi gani.

Itafute page inaitwa MZANSI FOOTBALL utaikuta hiyo taarifa.
Mzanzi zipo hadi za Video chafu siwez tafta kitu kama hicho ukiandika Twitter mzanzi unaletewa page za Video za uchi huko south chungu nzima.
Sa sijui we Mzanzi gani hio?
 
Wakati Timu Moja mbovu mbovu nchini Tanzania na isiyo na Uzoefu wa Kucheza CAFCL japo ilibahatisha kufanya vyema CAFCC ikianza Kucheza Mechi zake Mbili au Nne za Hatua za Awali ambapo GENTAMIYCINE nina uhakika itatolewa na kurejea Kucheza NBC Premier League CAF wametoa Utaratibu mpya ambao unaihusu Timu bora Tanzania na Afrika ya Simba SC.

Taarifa rasmi ikufikie kuwa CAF wameamua Timu Nane ( 8 ) za Barani Afrika ambazo zitacheza Michuano mipya ya SUPER CUP hazitacheza tena Hatua za Awali za Michuano ya CAFCL bali zitaingizwa moja kwa moja katika Makundi na kuanzia huko.

Timu zenyewe ni hizi zifuatazo......

1. Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
2. Al Ahly (Misri)
3. Wydad Casablanca (Morocco)
4. Esperance du Tunis (Tunisia)
5. Simba SC (Tanzania)
6. TP Mazembe (Congo DR)
7. Petro du Luanda (Angola)
8. Enyimba (Nigeria)

Chanzo: Mitandao Mikubwa ya Michezo Afrika

Mkiwa mnaambiwa kuwa kwa Tanzania na Afrika Mashariki Timu Bora ni Simba SC pekee muache kuwa Wabishi na ndiyo maana hata kwa Afrika sasa ni ya Saba ( 7 ) kwa Viwango huku Wasiojua wengine pamoja na Kucheza Fainali ya CAFCC hata katika Top 20 tu hawapo.

Mkubwa ni Mkubwa tu Kudadadeki!!!!
Weka reference ni mtandao Gani huo mkubwa?
 
Braza popoma asante kwa taarifa
 
Back
Top Bottom