Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
- Thread starter
-
- #21
Mwnakijiji tafadhali niko chini ya miguu yako uendeleze kisa hiki hiyo keshokutwa maana kimeninogea tayari.............................nakuaminia
Ok,nitarudi tena..Mbona dedication ya hadithi yako umewalenga watu wachache tu? umesema kwa Kwa heshima ya:
Wale wote ambao wamejikuta wanapenda tena...Na wale waliokata tamaa ya kupenda tena je huoni kama hadithi hii huenda ingewapa moyo wa kupenda tena?
Mwanakijiji malizia basi hadithi jamani i salute you
toa maoni yako unavyojisikia..
Mkuu kweli we chiboko...big up sana!